mwaka

"Mwaka Moon" is a song by French rapper Kalash featuring Damso and Sfera Ebbasta released in October 2017. The song reached number one on the French Singles Chart.

View More On Wikipedia.org
  1. PAZIA 3

    Tunakumbushana tu, mwaka wa ku-force umefikia nusu

    Sote tumekubaliana huu mwaka ni wa kufosi, Leo ni tarehe 1/06/2024, maana yake tumeimaliza nusu ya kwanza, tunaanza nusu ya pili. Je, mpaka Sasa ume force kiasi gani? au bado unasubili mchongo flani utiki?
  2. G

    Binamu yangu ana matatizo? Baada ya kusoma mwaka wa kwanza chuoni akiwa kwangu nimemwacha huru aishi gheto lakini nasikia hakuna binti kawahi kuvusha

    Ni mwaka jana huyu binamu yangu alianza degree alikuwa anaishi kwangu kwasababu ni karibu na chuo pia alikuwa mgeni kwenye mkoa. Niliona namnyima uhuru wa maisha yake ya kimapenzi maana chuoni ndiko wengi tuli experience mapenzi kwa uhuru, nikamruhusu aende kupanga awe na gheto lake, uzuri ni...
  3. TUKANA UONE

    Unakumbuka nini kuanzia Mwaka 1998 hadi 2000?

    Mimi binafsi nimezaliwa mwaka 1988 wakati ambao Tanganyika & Zanzibar zilikuwa kwenye muungano uliozaa Tanzania. Wiki ikiyopita niliamua kujipa likizo binafsi,kwakuwa ninafanya kazi nyingi kwa takribani mwaka mzima bila kupumzika,nikaona huu ni muda muafaka wa kuipumzisha akili! Hivi sasa...
  4. Upepo wa Pesa

    Utabiri: Mwaka huu hautaisha kabla ya Dola ya Marekani kufika 3000Tsh

    Sio kwamba tunaongea au kuombea mabaya la hasha. Tunajaribu kuangalia hali halisi! Mpaka kufikia leo katika bureu de change dola moja inanunuliwa kwa 2660Tsh. Hii rate inapanda kila siku kwa kasi ya ajabu! Nikijaribu kuangalia uwezo wa viongozi tulionao (Samia, Mwigulu, Majalia nk nk) na...
  5. peno hasegawa

    Dr Mollel : Naibu waziri wa Afya tunaomba uweke hapa Waraka Namba Moja wa mwaka 2021 wa wizara ya afya wa kutokuzuia maiti .

    Sasa wananchi wamekuwa wakinyanyaswa kupewa wapendwa wao,kwa ajili yamazishi. Tunaomba huo waraka No.1/2021 wa wizara ya Afya uwekwe hapa tuuone na tuusome na ubandikwe kwenye maeneo husika nchini.
  6. Pfizer

    Bodi ya Mfuko wa Barabara imekusanya mapato kwa asilimia 77 ya mapato yote ya bajeti ya mwaka 2023/24

    BODI YA MFUKO WA BARABARA YAKUSANYA MAPATO KWA ASILIMIA 77 Bodi ya Mfuko wa Barabara imekusanya mapato kwa asilimia 77 ya mapato yote ya bajeti ya mwaka 2023/24. Haya yamebainishwa bungeni na Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa wakati wa kuwasilisha makadirio ya mapato na matumizi kwa mwaka...
  7. B

    Benki ya CRDB yahamasisha mageuzi ya uchumi Afrika katika Mkutano wa Mwaka wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AFDB)

    Nairobi, Mei 28, 2024 – Katika jitihada za kuboresha maisha na kukuza uchumi wa masoko inayoyahudumia, Benki ya CRDB imeendesha mjadala uliolenga kujadili ukuzaji wa huduma za benki zinazovuka mipaka ya nchi za Afrika ili kuchochea mageuzi ya uchumi barani Afrika. Mjadala huo rasmi umefanyika...
  8. ndege JOHN

    Mwaka huu kutakuwa na njaa, heri ukose hela ila uwe na chakula ndani

    Chukua hii nakupa; japo hatupangiani maisha kila mtu anajua jinsi anavyoyaendesha ila kiukweli life ni gumu ndugu zangu na mwaka huu huku mashambani hali sio hali hasa Kwa upande wa zao la mahindi. Mikoa ambayo sio wazalishaji wakubwa wa chakula tumepata pata ila sio ya kuuza ni kwa ajili ya...
  9. BARD AI

    Wizara ya Ujenzi kutumia Tsh. Trilioni 1.76 mwaka 2024/25

    Katika mwaka wa fedha 2024/25, Wizara ya Ujenzi inaomba kuidhinishiwa jumla ya Shilingi 1,769,296,152,000 kwa ajili ya Matumizi ya Kawaida na utekelezaji wa Miradi ya Maendeleo. Kati ya fedha hizo Shilingi 81,407,438,000 ni kwa ajili ya Matumizi ya Kawaida ya Wizara na Taasisi na Shilingi...
  10. BARD AI

    Wizara ya Mambo ya Nje: Mikataba na Hati za Makubaliano 78 zilisainiwa kati ya mwaka 2023/24

    Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki imesema katika mwaka wa Fedha 2023/24, Serikali ilisaini Mikataba na Hati za Makubaliano 78 baina ya Tanzania na nchi 23 Nchi hizo ni Algeria, Indonesia, Falme za Kiarabu, Zambia, India, Noway, Urusi, Uganda, Cuba, Hungary, Malawi, Korea...
  11. mdukuzi

    Wewe ni mnene mweupe? Natoa mahari milioni 5, ndoa mwaka huu

    Umri wowote,dini yoyote,kabila lolote, Kama ww ni mweusi au kimbaumbau no thank you!
  12. ndege JOHN

    Kutana na kobe Jonathan mnyama mwenye umri mkubwa kuliko wote duniani alitotolewa mwaka 1832

    Ni dume na mate wake anaitwa federik huyu mate wake sio mkubwa sana kwani kazaliwa 1991..Jonathan anaishi huko saint Helena kisiwani ana kilogram 150..alitotolewa kwenye visiwa vya shelisheli Bahari ya hindi.. Walitotolewa yeye na wenzake watatu yeye akahamishiwa huku saint Helena kwenye shamba...
  13. JF Member

    Nimekosa Mkopo benki kisa nilichelewesha rejesho mwaka 2018 kwa siku 60

    Wadau njooni hapa tufarijiane. Huko serikali imeshaweka mazingira magumu Tena kwenye kukopa. Mimi 2018 nilichelewesha rejesho kwenye Moja wapo benki hapa nchini. Mambo ya yangu hayakwenda vizuri, nilicheleweshewa malipo sehemu, ila benki tulikuwa tunawasaliana vizuri tu. Badae nikalipa na mda...
  14. G

    SoC04 Maono ya Kiubunifu kwa Sekta ya Afya ya Tanzania: Mwaka 2024 hadi 2049

    Utangulizi Sekta ya afya ni msingi wa ustawi wa jamii na maendeleo ya kiuchumi. Ili kuifikia Tanzania tunayoitamani, ni muhimu kuunda mikakati madhubuti na bunifu itakayotekelezeka ndani ya miaka 5, 10, 15, na 25 ijayo. Andiko hili linaangazia njia za kuboresha sekta ya afya kwa kutumia...
  15. M

    Natafuta kazi yoyote ile nina elimu ya education ila nimeahirisha mwaka

    Habari viongozi, Mimi ni kijana wa miaka 24 mkazi wa Dar, Nina ELIMU ya chuo kikuu na nimehairisha MWAKA kutokana na changamoto mbalimbali ila nahitaji kufanya KAZI itakayo nipa kipato ili niweze kukusanya pesa za Kuni somesha ,KAZI YOYOTE ila kikubwa iwe halali, namba 0785598033
  16. L

    CHADEMA inapokea Ruzuku ya Tsh. Millioni 107 kwa mwezi sawa na Tsh. Billion 1 na Millioni 284 Kwa mwaka!

    Ndugu zangu Watanzania, Chama kikuu cha upinzani hapa Nchini CHADEMA kinapokea Ruzuku kutoka serikalini ya takribani Millioni 107 kwa Mwezi ambayo ni sawa na Billion 1 na Millioni 284 kwa mwaka. Yaani: 107,000,000 x 12= 1,284,000,000/=. Ambapo hata hivyo CHADEMA inasema kiasi hicho ni kidogo...
  17. BARD AI

    Wizara ya Sanaa, Utamaduni na Michezo yaomba Bajeti ya Tsh. Bilioni 258 kwa mwaka 2024/25

    Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo imewasilisha Bungeni maombi ya Bajeti ya Tsh. 285,318,387,000 kwaajili ya matumizi ya Wizara na Taasisi zake kwa Mwaka wa Fedha 2024/25 Kati ya fedha zilizoombwa, Tsh. 11,280,116,000 zitatumia kulipa Mishahara ya Watumishi na Tsh. 15,847,483,000 ni kwaajili...
  18. Logikos

    Algeria wameshabadilisha Magari zaidi ya Milioni Moja kutumia LPG (Sio CNG bali LPG) - Gesi tunayopikia Majumbani

    Gesi hii ambayo wanaiita Auto-Gas ndio mixture ya (Butane na Propane au Propane) na ndio huku tunapikia majumbani...; nimetoa hii habari hapa kuonyesha kwamba ni busara kutumia ulichonacho na Algeria hii gesi ndio bei rahisi sana nadhani kuliko sehemu nyingine... Wamefanikisha hayo kwa kutumia...
  19. OMOYOGWANE

    Biashara itakayonitajirisha mwaka 2035: Uwekezaji wangu utajikita katika huduma ya mihemko (Euphoria)

    Euphoria a feeling or state of intense excitement and happiness. Habari wakuu, Hii ni Dira ya maendeleo binafsi kwa wapambanaji wote. Biashara inayozingatia uwekezaji ktk kutoa huduma za mihemko kisasa zaidi haiwezi kumtumpa mtu. Zifuatazo ni boashara zitakazo nitajirisha mwaka 2035...
  20. E

    SoC04 Tanzania tuitakayo kupitia sekta zake kufikia mwaka 2050

    Nchi ya Tanzania inaendelea kufanya juhudi kubwa tangu kupata kwake uhuru, inaendelea kupanua wigo na maendeleo makubwa katika sekta mbalimbali za kijamii na ina matarajio ya kuendelea kufanya vizuri zaidi katika miaka ijayo hadi kufikia mwaka 2030.hivo bhasi hapa nitaelezea baadhi ya maeneo...
Back
Top Bottom