A barabara or barabora (Russian); ulax̂, ulaagamax, ulaq, or ulas (plural) (Aleut); and ciqlluaq (Alutiiq ~ Sugpiaq) were the traditional, main or communal dwelling used by the Alutiiq people and Aleuts, the indigenous people of the Aleutian Islands. They lay partially underground like an earth lodge or pit-house, and most of the house was excavated from the dirt so as to withstand the high forces of wind in the Aleutian chain of islands. Barabaras are no longer used, as present-day Aleuts live in modern houses and apartment buildings.
Hii Tabia Imeota mizizi na inakera sana kisa kiongozi unazuia watumiaji wa BaraBara Kubwa mfano BaraBara kubwa Unazuia mabasi na magari Yote yakusubiri utoke uliko na msafara unasubirisha magari zaidi ya masaa 2.
Kama mnapenda Kutumia barabara pekeenu tengenezeni Lane za Kutumia viongozi ili...
Hii Tabia Imeota mizizi na inakera sana kisa kiongozi unazuia watumiaji wa BaraBara Kubwa mfano BaraBara kubwa Ya Mwanza kwenda Musoma Unazuia mabasi na magari Yote yakusubiri utoke uliko na msafara unasubirisha magari zaidi ya masaa 2.
Kama mnapenda Kutumia barabara pekeenu tengenezeni Lane za...
MHE. ZAINABU KATIMBA: MKANDARASI CRJE EAST AFRICA LTD KAMILISHA UJENZI WA BARABARA KWA WAKATI
NAIBU Waziri, Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Mhe. Zainab Athman Katimba amemuagiza Mkandarasi M/s CRJE East Africa LTD kuhakikisha anakamilisha ujenzi wa barabara...
Wizara ya ujenzi inatakiwa kufanya kazi bega kwa bega na wizara ya madini ilikurahisha upatikanaji wa malighafi za ujenzi wa miundombinu ya barabara ili ujenzi uweze kukamilika kwa wakati na wananchi kuanza kupata huduma kupitia miundombinu iliyopo katika maeneo Yao.
Kutokana na mabadiliko ya...
Serikali imuhimize mkandarasi anayesimamia ujenzi wa barabara ya Njombe-Ludewa ikamilike kwa wakati ili kuepusha usumbufu wa muda mrefu kwa wananchi wanaotumia barabara hiyo muhimu kwa maendeleo yao.
Hali ilivyo barabara ya Tambani Mkuranga inayopita Mbande (Temeke) kwenda Kitonga(Ilala) tangu mwezi wa 1 haina marekebisho wala haipitiki na imekatika kabisa. TARURA Mkuranga na Mkurugenzi wa Mkuranga mmekaa kimya.
Wizara ya Ujenzi inasema yafuatayo:
1. Matayarisho ya Manunuzi (kumpata Mkandarasi) yanakamilishwa. Barabara litajengwa kwa awamu mbili, kwa kuanza na km 40.
2. Randama (Kitabu cha Bajeti) kinasomeka hivi;
(2a) Ukurasa wa 116 unaorodhesha barabara hilo kwenye Bajeti ya Mwaka wa Fedha 2024/2025...
BODI YA MFUKO WA BARABARA YAKUSANYA MAPATO KWA ASILIMIA 77
Bodi ya Mfuko wa Barabara imekusanya mapato kwa asilimia 77 ya mapato yote ya bajeti ya mwaka 2023/24.
Haya yamebainishwa bungeni na Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa wakati wa kuwasilisha makadirio ya mapato na matumizi kwa mwaka...
Mbunge wa Viti Maalum (CCM), Maimuna Ahmad Pathan amehoji juu ya mamlaka kutochukua hatua juu ya ujenzi wa Barabara ya Kibiti-Lindi akidai imejengwa katika kiwango cha chini na ilionesha kuharibika hata kabla ya Mkandarasi hajaikabidhi.
Pia soma - Tusimung'unye maneno, barabara ya Kusini...
Wizara ya Ujenzi kupitia taasisi zake ERB na TANROADS inaandaa utaratibu wa kutumia wataalam wa ndani waliostaafu katika ujenzi na matengenezo ya barabara.
Haya yamebainishwa na Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa wakati wa kuwasilisha bungeni makadirio ya mapato na matumizi kwa mwaka 2024/25...
Kwanza nitumie fursa hii kuipongeza serikali kupitia wizara ya ujenzi, TANROADS na TARURA kwa miradi yote ya ujenzi wa barabara iliyokwisha kamilika, inayoendelea kukamilishwa na itakayokamilishwa nchini kote.
Napenda kuzungumzia barabara kuu zinazopatikana ndani ya majiji katika nchi yetu ya...
Wizara ya Ujenzi kupitia taasisi zake ERB na TANROADS inaandaa utaratibu wa kutumia wataalam wa ndani waliostaafu katika ujenzi na matengenezo ya barabara.
Haya yamebainishwa na Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa wakati wa kuwasilisha bungeni makadirio ya mapato na matumizi kwa mwaka 2024/25...
Mbunge wa Jimbo la Madaba, Joseph Mhagama amesema Wananchi wa Jimbo hilo na wengine wa maeneo ya Jirani pamoja na wengine wanaotumia Barabara ya Makambako kuelekea Songea yenye urefu wa Kilometa 296.
Amesema Barabara hiyo imebomoka vibaya na inahatarisha watumiaji wa vyombo pamoja na...
BASHUNGWA AWEKA WAZI MIRADI ITAKAYOONDOA MSONGAMANO WA MAGARI KATIKA MAJIJI.
Serikali itaendelea na utekelezaji wa miradi inayolenga kuondoa kero ya msongamano wa magari katika majiji.
Haya yamebainishwa na Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa wakati wa kuwasilisha makadirio ya mapato na...
Barabara ya kutoka Mbezi (Kwa Yusufu) kwenda Mpiji Magoe hadi Bunju imekuwa kama sehemu ya kitega uchumi.
Ipo chini ya TANROADS na serikali ya Magufuli iliweka bajeti ijengwe lakini bajeti hatujui ilienda wapi baada ya kufariki Mzee wetu.
Leo inakarabatiwa kila kukicha(jambo zuri tupate...
Chanzo: Latest news and case studies
Utangulizi
Tanzania ni nchi iliyojengwa kwa taswira ya amani na usalama kwa raia. Hii imepelekea nchi yetu kutambulika kama kisiwa cha amani. Licha ya sifa hizi nzuri, tafiti za hivi karibuni zinaonyesha kwamba ukuaji wa kasi wa miji na majiji yetu...
Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Akson ameisisitiza Wizara ya Ujenzi kupitia Wakala ya Barabara (TANROADS) kuhakikisha miradi yote ya barabara inayokamilia inapimwa ubora kwa kutumia vifaa maalum kabla ya Makandarasi kuikabidhi kwa Serikali akitoa mfano Barabara ya Dodoma – Iringa ambayo imekuwa na...
MITAMBO YA KUPIMA UBORA WA BARABARA KULETA MAGEUZI: DKT. TULIA
SPIKA wa Bunge, Dkt. Tulia Akson ameisisitiza Wizara ya Ujenzi kupitia Wakala ya Barabara (TANROADS) kuhakikisha miradi yote ya barabara inayokamilia inapimwa ubora kwa kutumia vifaa maalum kabla ya Makandarasi kuikabidhi kwa...
MTATIRO ABOMOA KARAVATI LILILOCHAKACHULIWA
Mkuu wa Wilaya ya Shinyanga, Wakili Julius Mtatiro amesimamia ubomoaji wa karavati moja kati ya sita, lililokuwa linaendelea kujengwa, katika mradi wa shilingi 111,822,000 (Mil. 111) wa barabara ya kilomita 5 wa Lyabusalu Mwajiji - Halmashauri ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.