Wizara ya ujenzi inatakiwa kufanya kazi bega kwa bega na wizara ya madini ilikurahisha upatikanaji wa malighafi za ujenzi wa miundombinu ya barabara ili ujenzi uweze kukamilika kwa wakati na wananchi kuanza kupata huduma kupitia miundombinu iliyopo katika maeneo Yao.
Kutokana na mabadiliko ya...
USALAMA KATIKA UJENZI WA MIRADI YA SEKTA YA UCHUKUZI
Sekta hii inausisha ujenzi wa miundombinu kama barabara, reli, madaraja, kingo za barabara, mitaro, kalavati na barabara ndogo ndogo za vijijini, serikali kwa namna ya pekee sana imejitahidi sana kuendelea kupambana na sekta hii kwa kujenga...
Kwa kauli moja Bunge limepitisha bajeti ya Wizara ya ujenzi ya Shilingi trilioni 1.77 kwa asilimia 100 ambayo inakwenda kutekeleza vipaumbele tisa kwenye miradi mbalimbali ikiwemo ujenzi wa barabara, madaraja, vivuko, mizani na ukamilishaji viwanja vikubwa vya ndege.
Jana Mei 29,2024 Waziri...
Mbunge wa Viti Maalum Santiel Eric Kirumba ameishauri Serikali kuweka makato ya Tsh. 50 kwa kila laini ya simu kwa ajili ya Mfuko wa Barabara (Road Fund) ili kuuwezesha kuwa na makusanyo yatakayowezesha ujenzi na ukarabati wa barabara Nchini.
Kirumba ameshauri hilo leo May 30,2024 wakati...
Kuzaliwa kwa mtoto inapaswa kuwa tukio la furaha kwa familia na jamii nzima badala ya huzuni hasa pale inapotokea kupoteza mtoto, mama au wote kwa pamoja.
Tunaendelea kuifanya kazi ya kuboresha huduma zetu za afya ili kukabiliana na changamoto hii ya mwanzo wa maisha ya kila binadamu, kwa...
Ndugu zangu naamini nanyi mnakerwa sana na jinsi fedha za walipa kodi zinavyotumika vibaya kupitia ujenzi wa miundombinu ya barabara, madaraja, majengo ya shule, soko, hospitali na mengineyo chini ya kiwango.
Jambo hili limekuwa sio tu likipoteza fedha nyingi za walipa kodi lakini pia...
Habari zenu mabibi na mabwana,
Naiomba serikali kupitia vitengo vyake vya kusimamia majengo nchini kulifungia haraka sana hilo jengo linahatarisha maisha ya mwanaadamu.
Jengo la ghorofa 8 ni mwaka wa 5 sasaivi lifti yake haifanyi kazi sisi kama wapangaji tunapata tabu sana.
Nijuavyo mimi...
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amesema wizara kupitia Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS) imejipanga kufanya matengenezo makubwa kwa lengo la kurudisha mawasiliano kwenye barabara, madaraja, makalvati pamoja na vivuko zilizokatika kutokana na mvua za El-Nino.
Akizungumza na Shirika la...
Hili daraja linapatikana mkoa wa Ruvuma Manispaa ya Songea linatenganisha kata ya msamala na mshangano.Bampa za pembeni zimekatwa kila uapande mita kama 15 Tazama picha.Pia hapa daraja hili jembamba sehemu ya wapita njia hakuna lingepanuliwa kuepusha ajali mana magari mengi sana yanapota hapa.
Ni muda wa miezi kadhaa sasa usafiri wa Treni za mizigo na abiria kati ya Mkoa wa Dar es Salaam, Tanga na Arusha umekwama kutokana na sababu kuu mbili.
Sababu ya kwanza ambayo nimeisikia na imekuwa ikitajwa ni kuwa reli ilikuwa inafanyiwa marekebisho ya hapa na pale.
Pili baada ya kukamilika...
UTANGULIZI
Miundombinu ni moja ya nyenzo kubwa inayo tumika kuleta maendeleo nchini kwasababu inachangia kwa kiwango kikubwa maendeleo ya sekta nyingine kama vile sekta ya elimu, afya, biashara na mawasiliano.Hivyo, ni muhimu kuboresha elimu katika sekta hii ili kupata Tanzania tuitakayo.Ziko...
● Pesa zitatumika kujenga minara mipya 200 na kuongeza upatikanaji wa huduma ya mawasiliano vijijini
● Upanuzi wa miundombinu utaboresha upatikanaji wa mtandao, na kuongeza nguvu kwenye jitihada za serikali za kufikia malengo ya kidijitali, huduma jumuishi za fedha pamoja na kutoa nafasi za...
Kuhusu usafiri wa haraka nchini Tanzania, kuna jitihada za kuboresha miundombinu na huduma za usafiri, hasa katika miji mikubwa kama Dar es Salaam. Mradi wa mabasi yaendayo kasi ni moja ya mikakati inayolenga kupunguza msongamano wa trafiki na kuboresha usafiri mijini. Hata hivyo, bado kuna...
WANANCHI WAIPONGEZA TANROADS-MOROGORO KWA KUREJESHA MIUNDOMBINU YA BARABARA WILAYANI MALINYI
Baadhi ya wananchi katika Wilaya ya Malinyi mkoani Morogoro wameipongeza Wizara ya Ujenzi kupitia Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS) kwa kuendelea na kazi ya urejeshaji wa miundombinu ya barabara na...
Kumewekuwepo na upotevu mkubwa wa maji hasa katika sehemu tajwa hapo juu. Hii ni kutokana na miundombinu mibovu hasa ya maji.
Ukitembea hatua chache uanakuta barabara zimejaa maji na maji hayo yanatokana na ubovu wa miundombinu ya maji.
Kila baada ya hatua kumi unakuta maji yanabubujika na hii...
Wakuu heshima yenu! Heading inajieleza, mimi ni kati ya wale watanzania waliobahatika kuishi mikoa mingi hapa nchini, kiukweli Nchi yetu kwa kiasi chake imebarikiwa kwa uzuri nimeishi Maeneo kama Lushoto, Moshi, Dodoma, Kahama na Morogoro na nimebahatika kutembelea kwa sana mikoa ya Dar, Arusha...
Kuna Barabara ni tokea alivyojenga MWALIMU NYERERE, je mnategemea zitakuwa ni bora kwa maisha ya sasa?
Mfano barabara ya kutoka Morogoro mpaka dodoma yaan kila mita 100 kuna shimo! njia nzima ni mashimo tuuu je hizi ajali mnalaumu Askari wa usalama.barabarani?
nimeona barabara ya bagamoyo hasa...
KAZI YA UREJESHAJI WA MIUNDOMBINU SOMANGA INAKAMILISHWA, NGUVU YAELEKEZWA SONGAS.
Wizara ya Ujenzi, Timu ya Wataalam kutoka Wakala ya Barabara (TANROADS) ikishirikiana na Makandarasi, wanaendelea na zoezi la urejeshaji wa Miundombinu ya Barabara katika eneo la Songas ambalo nalo lilikatika...
Lengo la uzi wangu siyo kumfundisha kazi Mhe. Rais. Bali kumshauri kwa uzingativu wa mamlaka aliyonayo kikatiba.
Tunamuona Waziri wa Ujenzi Mhe. Bashungwa akipiga kambi kusini kusimamia urejeshwaji wa mawasiliano ya barabara na madaraja yaliyobomolewa na maji ya mvua zinazoendelea kunyesha...
Shirika la umeme Tanzania wakati mwingine mnalipa fidia kwa uzembe, au kusababisha hasara na majeruhi kwa kutofanya ukaguzi kwenye nguzo za umeme. Mfano tazama nguzo hiyo ilivyooza.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.