mwanza

  1. Friedrich Nietzsche

    Wapi wanauza artificial plants/ maua kwa jumla Mwanza?

    Nimekua napenda kufanya hii mambo! Mtandaoni naona maduka mengi yapo Dar. Na napata shaka kuagiza kupitia mtandao kwani matapeli na uongo uongo ni mwingi. Je, napata wap kwa mwanza ambako wanauza hii bidhaa kwa bei ya jumla?
  2. navigator msomi

    Mwanza mshikaji wenu nimetia mguu, nipeni ramani

    Wadau kama nilivokwisha kutoa habari hapo kabla ya kuwa na nia ya kuja kuishi mwanza, hatimae nimetimba kibabe takribani zinakatika wiki mbili... Kwasasa niko maeneo ya Buhongwa Nyamagana ila cha ajabu mpaka saizi sijaona inshu gani nifanye ili niweze ingiza mia mbili tatu. Kuanzia asubuhi...
  3. K

    Wananchi tunauliza kulikoni ujenzi wa reli ya kisasa toka Mwanza hadi Isaka?

    Wananchi tulishuhudia ujenzi wa reli ya kisasa toka Mwanza mpaka Isaka - Shinyanga na ghafla tunaona ujenzi huo umesimama. Tunauliza kulikoni?. Ni vema Serikali ikawajulisha wananchi sababu za kupelekea ujenzi huo kusimama ghafla.
  4. GITWA

    Pamba jiji Mwanza (wana tupwisa lindanda mazembe kawekamo)

    Kwa wale wapenzi na mashabiki wa PAMBA timu ya Mwanza iliyopanda ligi. Timu iliyowahi kutupa furaha watu wa Mwanza na viunga vyake especially Kanda ya ziwa. Tukutane hapa kuwa tunapeana updates za chama letu la PAMBA.
  5. Z

    Tetesi: Serikali yashindwa kulipa wakandarasi, mradi wa SGR Mwanza wasimama

    Mradi wa SGR Mwanza umesimama baada ya serikali kushindwa kulipa wakandarasi. Mmoja wa vibarua kwenye mradi huo amenambia walitangaziwa na wakandarasi kuwa hakuna pesa hivyo shughuli zinasimama mpaka serikali itakapolipa.
  6. Pfizer

    Naibu Waziri Mkuu Biteko: Aliyemkubwa na amfanye mdogo pia apate furaha kazini

    "Siyo sawa, aliyemkubwa na amfanye mdogo pia apate furaha kazini," Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Mhe. Dkt. Doto Biteko akizungumza katika Mkutano wa Kumi na Moja wa Kitaaluma wa Makatibu Mahsusi Tanzania uliofanyika uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza.
  7. T

    Wakusanya tozo za parking Jijini Mwanza wala Rushwa wakubwa mtaa wa Kalutta

    Mkurugenzi wa jiji kuna kikundi kinachotoza tozo za parking jijini Mwanza hususani eneo la mtaa wa Kaluta wanakamata magari na kuyafunga minyororo huku wakidai Rushwa msipoangalia kikundi hiki kitawaharibia kabisa CCM kipindi hiki kwa vile wanafai kutumwa kufanya hivyo na Mkurugenzi Kibamba...
  8. A

    DOKEZO Nyamanoro - Mwanza wanalazimisha tulipe Service Levy kwa cash, kwanini wasitupe Control Number?

    Kata ya Nyamanoro Mkoani Mwanza wamekuwa wakiendesha kampeni ya kufunga maduka na kuchukua waliopo Madukani, hilo linafanyika kama unakuwa hujalipa Service Levy. Hili suala sijui limetoka wapi na mimi kama Mfanyabiashara ni mara ya kwanza kusikia natakiwa kulipia Service Levy ya Shilingi...
  9. Friedrich Nietzsche

    Plot4Sale Lete Milioni 1.2 upate kiwanja Mwanza

    Lete hela ujishindie kiwanja cha ofa! Umeme upo. maji yapo. Eneo Wilaya ya Nyamagana (Jiji) Kata Fumagira Ikumbukwe hamna bei kama hii maeneo haya.
  10. S

    Serikali inahitaji kuingalia Mwanza kwenye miundombinu, ni jiji zuri sana kutembelea

    Wakuu heshima yenu! Heading inajieleza, mimi ni kati ya wale watanzania waliobahatika kuishi mikoa mingi hapa nchini, kiukweli Nchi yetu kwa kiasi chake imebarikiwa kwa uzuri nimeishi Maeneo kama Lushoto, Moshi, Dodoma, Kahama na Morogoro na nimebahatika kutembelea kwa sana mikoa ya Dar, Arusha...
  11. M

    Usafirishaji mzigo mkubwa kutoka Mbeya kwenda Mwanza

    Wakuu habari.... Nahitaji huduma ya kusafirisha mzigo mkubwa kutoka mbeya kwenda mwanza tarehe 14 mpaka 16 may 2024 kama kuna mtu ana lori na ana safari ya mbeya mwanza ama yeyote anayehusika kusafirisha mzigo mkubwa kwa tarehe tajwa hapo juu naomba tuwasiliane kwenye namba hii 0758630294...
  12. Minjingu Jingu

    Nahitaji msaada wa Lodge au Hotel Mwanza

    Mimi ni mgeni jiji la Mwanza week hii naenda huko ntakaa mwezi mzima.30 days. Naombeni mnisaidie wapi nitapata Lodge au Hotel nzuri sehemu tulivu ambapo pia si mbali na Mjini. Cost iwe tsh 30,000 mpaka 40,000. Sehemu isiwe yenye kelele. Iwe nzuri pia ja yenye heshima.isiwe katika mji sehemu...
  13. Staphylococcus Aureus

    Natafuta mtu mwenye geto kali Mwanza awe ananiazima

    Mimi ni kijana mwaminifu kabisa sio mwizi ila natafuta mtu wa kua ananiazima geto hata kwa masaa kwa ajili ya shughuli zangu ndogo ndogo! Nitakua nampooza ya maji!! NB: Wenye ushauri wa uende lodge/hotel siwataki
  14. Truth Bot AI

    DOKEZO/KERO:Tumechoshwa na Biashara ya Ngono Inayofanyika Katika Eneo la Shule maana Mabaki ya Kondomu Yanazagaa Uwanja Mzima Kirumba mwanza

    Mwanza. Ni jambo ambalo halikutarajiwa na wengi na isivyo bahati, uwe mgeni ama mwenyeji hapa mjini Mwanza ukipita pembezoni mwa mazingira ya shule za msingi Kitangiri A na C zilizopo pembezoni mwa uwanja wa CCM Kirumba kuanzia majira ya saa moja jioni utakutana na makundi ya wanawake wanaofanya...
  15. Mgosi Mbena

    Flat ya kawaida tubadililishane na Smart tv plus laki moja juu? Mwanza

    Jamani Mgosi nawaletea dili hili, kama una shida ya pesa ya fasta bila kupoteza. TV INCH32, Kampuni PineTech Flat screen ya kawaida pesa -100k cash
  16. T

    Mbunge Tabasamu usitoe sifa za bure kwa Prof. Mbarawa Bungeni kuhusu uwanja wa Ndege wa Mwanza

    Nimefuatilia hotuba ya kuchangia ya Mhe. Tabasamu kwenye Bajeti ya Uchukuzi na kusikitishwa na sifa na shukrani aliyoitoa kwa waziri wa uchukuzi kuwa amewezesha ujenzi wa uwanja huo kuwa wa kimataifa. Ajabu uwanja huo haujaanza kujengwa wala site mobilization haipo, na mitambo ya kudanganyia...
  17. N

    Naomba msaada wa wakili mzuri aliyepo Sengerema, Mwanza atakayeweza kusaidia hili suala la NMB kugoma kutoa hati ya mteja wao kwa miaka mitano

    Ndugu zangu naomba tumsaidie huyu mama anayezungushwa na NMB kupewa hati yake aliyoitumia kama dhamana ya mkopo miaka 5 iliyopita. Naomba msaada wa kisheria kama kuna wakili humu ambaye yuko Sengerema, Mwanza anaweza kusimamia hili suala. NB: MKOPO UMESHALIPWA MIAKA 5 ILIYOPITA Pia soma...
  18. Mwanaumke wa mithali

    Kufungua Bucha la samaki Dar kutoka Ziwa Victoria

    Kwa hapa Dar, je naweza kufungua butcher la samaki wabichi sato, sangara n.K kutoka Mwanza ? Kwa mtaji wa 2 milioni. Kwa wazoefu na soko la SAMAKI na usafiri pia Kutoka MWANZA to Dar hiyo pesa inatosha ?? Naomba mnielekeze
  19. Mgosi Mbena

    Natafuta bloggers wa Mwanza kwa ajili ya mentorship

    Wakuu natafuta bloggers waliopo mwanza kwa ajili ya mentorship ya vipengele mbalimbali. Panapo majaliwa tutakua tunapeana kazi
Back
Top Bottom