nahitaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Action and Reaction

    Naomba kusaidiwa Offline Bible Software ya kutumia kwenye pc

    Tafadhali Mwenye Offline Biblia software ninayoweza kutumia kwenye laptop au desktop yangu anitumie ni dowload!
  2. S

    Jamani kijana wenu nimeaibika nahitaji msaada wenu ili kuyaepuka haya yasijirudie

    Wakuu heshima yenu, Mimi ni kijana Aged 27 sijaoa ila nina mchumba tangu mwaka 2020 ila bado hatujatambulishana makwetu, sina mtoto na wala sijawahi kumpa ujauzto manzi yeyote. Kilichonileta hapa Jukwaani ni kutaka msaada wenu kwa wale wakali wa hizi kazi ( Mambo ya kitandani). Iko hv Juzi...
  3. Chinese blade

    Wapi kutakuwa na wakazi wengi kati ya peponi na motoni?

    Amani ya Mungu muweza wa yote iwe nanyi. Nimekuwa nikitafakari kuhusu hili suala la kiimani, kuhusu wapi kutakuwa na wakazi wengi kati ya peponi na motoni? Naomba mnisaidie kusolve kwa ushahidi wa maandiko.
  4. S

    Nahitaji Mining Supervisor

    Nahitaji Mining Supervisor awe na sofa zifuatazo: 1. Awe na umri kuanzia miaka 30 2. Awe na uzoefu wa Underground mining kwenye migodi mikubwa au ya kati si chini ya miaka 4. 3. Awe na shahada/Astashahada kwenye Mambo ya Mining. 4. Awe na blasting licence ambayo ipo up to date. Waombaji wote...
  5. Adrianshield

    Msaada nahitaji kujifunza key programming za magari.

    Samahani wana JF kama kuna fundi wa Key programming za magari naomba kujifunza. Mimi ni begginer kabisa ujuzi nilionao ni wa program za doagnosis na repair ndogo ndogo za umeme wa magari.
  6. Sister Abigail

    Nahitaji mwanaume wa kuzaa nae

    Nahitaji mwanaume wa kunitimizia hili na pia awe na shida na kama hii pia yaani naye anahitaji mtoto. I have been so lonely, naamini mtoto atakuwa faraja yangu. Na kunisaidia kuishi maisha yenye kusudi, na pia atanipa Ari na moral ya kujitafuta zaidi. Kwa upande wangu unaweza kujiuliza Sina...
  7. MALKIA WA TABASAMU

    'Nahitaji sana pesa' kauli hii ni ya kila asiyenazo za kukidhi japo mahitaji yake ya lazima

    Kauli hii ni ya kila asiyenazo za kukidhi japo mahitaji yake ya lazima. Kauli hii hutamkwa hata na wale wenye nazo za kukidhi ila hazijawakinaisha. Nikisema nazihitaji, mtauliza tofauti yangu na wao ni ipi ama ni nini? Nahitaji pesa ili niikomboe kesho inayonitafuna sana moyoni. Ningepewa...
  8. Mwezeshaji1

    Nahitaji likizo, baada ya kumaliza ujenzi

    Acheni jamani, Naumwa. Yani nina kama burn out fulani, hata siwezi kupokea simu za watu. Ujenzi unachosha sio tu mfuko, na wewe pia unayesimamia unachoka hovyo kabisa. Nilianza mwezi wa saba mwaka jana, na mwezi huu nimemaliza. Utukufu kwa MUNGU Mkuu.
  9. Midazolam

    Nahitaji pikipiki aina ya Honda au yamaha kwa Bei nzuri

    Tangazo juu hapo inajitosheleza,nahitaji piki piki aina ya Honda au yamaha,kwa ajili ya folen i ya hapa na pale ndani hili jiji
  10. aBuwash

    Nahitaji mtu aliepo Morogoro, Ifakara anipe ABC za mchele sasa hivi?

    Natumai wote mko sawa humu ndani. Naombeni msaada mtu yeyote au mfanyabiashara yeyote aliyepo Dar anipe maelekezo vizuri kuhusu mchele. 1. Bei zipoje sasa mashineni 2. Je ni kweli muda si mrefu bei zitashuka na zikishuka huwa zinafikia bei gani 3. Usafiri mpka dar kwa kilo mia bei gani na...
  11. P

    Nahitaji Mwenza

    Habari ya muda huu Mimi ni mwanamke mwenye miaka 32, ninahitaji mwanaume wa kuwa nae katika mahusiano tukielewana tufunge pingu za maisha. Sifa zangu ni Mweusi Mkristo Ninafanya bihashara Nina watoto 2 Naishi dar es salaam. SIFA ZA MWANAUME. Rangi yoyote Awe mrefu, asiwe na kitambi Kabila...
  12. B

    Nahitaji msaada, natafuta Ajira. Nina Advanced Diploma ya Uhasibu

    Kama kichwa kinavojieleza natafuta kazi ya kuweza kujikimu, nina diploma ya uhasibu Kwa yeyote anayeweza kunisaidia au kunipa mawazo ya jinsi ya kujikwamua, mitihani ya utumishi nimeshafanya mingi ila sijafanikiwa kupita. Sina uzoefu sana nimefanya internship zile za TAESA ila ni mwepesi...
  13. MEGATRONE

    Nahitaji home furniture

    Habari wakuu, Nilikuwa naomba kujuzwa wapi nitapata furniture za nyumbani kama sofa sets, dinning table, coffee table na tv showcase kwei ya kizalendo. Najua huku kuna watu washanunua hivi vitu, hivyo kama kuna sehemu ulinunua ukapewa product nzuri naomba unielekeze na mimi nikapate! Asanteni!
  14. Binti1

    Nahitaji mtu aliyeko Uganda Kampala

    Habari nahitaji mtu aliepo Uganda Awe na uzoefu wa masuala ya teknolojia na social media. Pia awe kijana mchangamfu yani kijana wa mjini ukipewa kazini unafanya kwa uhakika.
  15. K

    Nahitaji kazi nipate laki 8 nadaiwa chuoni tokea 2021

    Habari wanajukwaa Mimi ni binti wa miaka 28 nimesoma diploma ya pharmacy changamoto niliyonayo ni kusikia nimemaliza chuo 2020 sjabahatika kupata Chet nadaiwa sina wazazi. Naombeni mnisaidie jamani hata kazi yoyote tafadhal nichukue chet changu asanteni Mungu awabariki.
  16. Imchomvu

    Nahitaji mke mtarajiwa

    Habari wapendwa Naishi Moshi Umri 35 Nahitaji mwenza wa maisha Awe na umri 25-35 Ambae yupo tayari kutafuta wote maisha tuwe na familia Km yupo anicheki DM
  17. Mwanaumke wa mithali

    Naombeni wazo la Biashara kwa mtaji wa kati ya Milioni 2-3 kwa Dar es Salaam

    1: UWAKALA WA MITANDAO YA CM M-pesa Tigopesa Airtel money Halopesa 2: Duka la maziwa fresh+mtindi + juice fresh 3: Banda la chipsi + vinywaji ANGALAU KWA MWEZI NIINGIZE 300,000 TU (300,000)
  18. N

    Nahitaji Toyota Premio

    Habari wadau wa agari, nina milion 9 cash nahitaji toyota premio used ianze namba DF kuendelea mbele iwe haijwah kupata ajali kabisaa iwe haijawah kurudiwa rangi kabisaa hata bampa yaan! Lakini iwe haijawah kuguswa engine zaidi ya kubadilisha oil tu: Mi nipo kigoma naomba isiwe ya silver wala...
  19. Martine Nzwanilo

    Ushauri: Nahitaji kuoa ila mchumba wangu ni muumini wa dini tofauti

    Nimepata mchumba na nimekuwa nae kwenye mahusiano ya uchumba mwaka sasa, nahitaji kumpeleka nyumbani ila kikwazo inakua dini zetu tofauti. Nifanyeje ili hali tunapendana sana ila dini inakua kikwazo? Ushauri Wana JF
  20. N

    Kwa sasa sipo tayari kuolewa, nahitaji kufanya mambo yangu

    Ushawahi kusikia kauli kama hii kutoka kwa mwanamke? Ukweli ni kwamba ambae anakua tayari kwa kuoa ni mwanaume ambae ataenda kubeba jukumu la kutoa security katika familia, kwa maana iyo mwanaume anatakiwa kusimama kiuchumi kwanza ndipo awe tayari kwa kuoa. Kwa mwanamke atapofika umri wa kuwa...
Back
Top Bottom