Nimepata mchumba na nimekuwa nae kwenye mahusiano ya uchumba mwaka sasa, nahitaji kumpeleka nyumbani ila kikwazo inakua dini zetu tofauti.
Nifanyeje ili hali tunapendana sana ila dini inakua kikwazo?
Ushauri Wana JF
Hallo wana JF.
Nimekuja na hoja binafsi, Kwanini sasa hivi kumeibuka wimbi la wanaojiita wachungaji, pale wanapofanya maombi either kwa njia ya hadhara au kwenye TV au Radio na mitandao ya Jamii, hutanguliza mbele Sadaka ili waweze kukuombea matatizo yako!?
Naomba nitoe mfano ili niweze...
Askofu TD Jakes ambaye amemtumikia Mungu kwa miongo mingi amejiuzulu kwa madai ya kuwa na mahusiano na mmoja wa waumini wa kanisa lake.
Source: Tecnico Informatico
Salaam, Shalom!!
Ndugu Chalamila, uliwahi Kutoa kauli kuhusu kuhamasisha maandamano na kuandika mabango Ukiwa RC Mwanza.
Ulisema, ni Ruksa kubeba mabango yenye jumbe mbalimbali.
Ni muhimu ukawapa ushirikiano CHADEMA maana Dar Ina wapiga kura pia ambao wangependa kushuhudia na kushiriki...
My Take
Wachungaji wa Makanisa ya Voda fasta tafuteni kazi za kufanya badala ya kutapeli Waumini Kwa visingizio vya Zaka za bwana.
====
Mgogoro wa ama ni mkopo au sadaka ya fungu la kumi (zaka) baina ya Mchungaji John Mtuka wa Kimara na muumini wake, Neema Wawa umehitimishwa na Mahakama Kuu...
Mimi sikubaliani na wanasiasa wanaotaka kutuyumbisha kwa kutaka kutengeneza katiba mpya huu ni usanii, upuuzi na ufujaji wa mapato.
Tujikite kwenye katiba iliyopo tuboreshe maisha ya Watanzania.
Watanzania wanataka maji,elimu,afya na fedha mfukoni ...baasi haya mingine ni indoctrination ya...
Haya Waandishi wa Habari njooni upesi Kawe jirani na ulipo Msikiti maarufu wa Londa kisha tembeeni hatua chache ulizeni Nyumba ya Mmiliki ( sasa Marehemu ) wa Hoteli Kongwe na Maarufu ya Kawe iitwayo Maifea na mkifika tu hapo ulizeni Nyumba ya Mama wa Kihaya ( Mtani wangu ) aitwae Mama Queen ili...
Mwanaume mmoja aliyefahamika kwa jina la Maazi Chukwudiaso Onyema ametoa maagizo hayo ya pesa alizotoa kwa miaka miaka mingi akidai hana nia ya kwenda mbinguni kama ilivyokuwa awali
Onyema amerekodi video akilitaka Kanisa la Dunamis International kutimiza kile anachokitaka kwa kuwa alifanya...
Muumini wako Mmoja wa Kike aliyepanda Kutoa Ushuhuda wake kati ya Saa 5 na Robo hadi Saa 5 na dakika 20 leo Kachemsha na Kututhibitishia kuwa ni kweli hawa Watu wa Shuhuda huwa Unawapanga na Kuwaandaa.
Mwamposa huyo Dada mbele yako akiwa anashuhudia alikuambia kuwa alikuwa na Ndugu yake Mgonjwa...
MCHUNGAJI wa Kanisa la Anglikana Yombo Kiwalani jijini Dar es Salaam Edwin Taji, amesimamishwa kutoa huduma ya kichungaji baada ya kudaiwa kumtorosha mke wa muumini wake na kumpangishia nyumba maeneo ya Pugu Kajiungeni.
Madai hayo yametolewa na muumini wa kanisa hilo ambaye ni Mume wa mwanamke...
Mwandishi wa vitabu na makala maarufu Profesa Salman Rushdie amevamiwa na kuchomwa kisu akiwa kwenye mhadhara na anaedhaniwa kua ni muumini wa dini ya kiislamu huko New York.
Kwa Tusiofahamu Bwana Rudhdie ndie muandishi wa Kitabu cha Satanic Verses ambacho kinasema kua dini ya kiislamu na Quran...
Usiku wa kuamkia leo, mfanyakazi mwenzetu alijitwalia jiko, kama katibu wa kamati ya maandalizi, nilihakikisha natoa ushirikiano kwa wajumbe ili tukio lifane.
Kweli bwana tukio lilipendeza, watu walikula na kunywa, watu waliburudika wakasahau shida zao kwa muda.
Miongoni mwa walio hudhuria ni...
Timu haina hata Wiki Moja tokea iende Kimafungu huko Ismailia nchini Misri na hata Kocha Mkuu hajajuana na Wachezaji wake halafu mnalazimisha Mechi Mazoezi ya Timu ya Vijana ya Ismailia na kutoka nayo Sare mnakimbilia 'Kuposti ' Matokeo Mitandaoni na kuanza Kujisifia.
Naipenda sana Simba SC...
Kanisa la KKKT Dayosisi ya Konde leo imetangaza kumwondolea wakfu wa Uaskofu aliyekuwa askofu wa Dayosisi hiyo, Dk. Edward Mwaikali.
Pia imeviondolea wakfu vifaa vya Kiaskofu alivyokuwa anatumia kama pete, msalaba pamoja na fimbo ambavyo alikabidhiwa tarehe 18 Januari 2018 alipowekwa wakfu...
Baada ya uteuzi huu wa kuwa Balozi kwa nchi ya Baba Askofu Bw Chakwera ambaye ni Mmagharibi kimtizamo. Je, Polepole atachanja au hatachanja?
Ni mgogoro wa kidiplomasia au ndio demokrasia itashika hatamu?
Bwana Yesu akitoa mamlka kwa kila Muumini kushughulika na vijini/pepo.
Ni utapeli kuwageuza waumini watuhumiwa wa mapepo alafu eti kuna MTU mmoja star. Ndiye anayeyatoa.
Kwa Mujibu wa Yesu hii ni KAZI mdogo kuliko zote kanisani na inafanywa na muumini tu. Tena ilitakiwa watoanie mapemo huko...
Mwinjilisti maarufu wa Marekani Michael Todd azua tafrani na kuibua hisia za hasira miongoni mwa watu baada ya video yake akimpaka mate muumini kusambaa.
Katika ibada hiyo ya Jumapili Mchungaji huyo alipokuwa akiongoza ibada iliyokuwa mbashara alionekana akitema mate kisha kumpaka muumini wake...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.