katiba

  1. Pascal Mayalla

    Ombi kwa Rais Samia, Sheria Mpya ya Uchaguzi Bado ina Ubatili, Haki ya Kuchagua na Kuchaguliwa, Imeporwa!. Tunakuomba Irejeshwe kwa Mujibu wa Katiba!.

    Wanabodi, Hii ni makala yangu, Gazeti la Nipashe ya Leo. Makala ya leo ni kutoa shukrani na Asante kwa Rais Samia kwa Sheria Mpya ya Uchaguzi, ila Haki ya Watanzania Kuchagua, na Kuchaguliwa, Bado Imeporwa kwa kukasimiwa kwa Vyama vya Siasa. Hili ni ombi, haki hiyo Irejeshwe kwa Wananchi...
  2. Abdul S Naumanga

    TLS waendesha Mjadala wa Wazi Mchakato wa Upatikanaji wa Katiba Mpya Tanzania

    Fatilia mjadala wa wazi wa wadau uliyo andaliwa na chama cha wanasheria Tanzania bara (TLS) kuhusu mchakato wa upatikanaji wa katiba mpya Tanzania. Je, ni lini katiba mpya itapatikana Tanzania?. RECORED today:👇 https://www.youtube.com/live/1mqjtzRdvN4?si=r9LuZeIFoyzjlD-d RECORDED 🎥...
  3. Crocodiletooth

    Umefika wakati, Jakaya Kikwete ajitokeze na aseme kwanini alisitisha mchakato wa Katiba Mpya

    Simply watanzania walikuwa bado hawajapevuka, hasa katika kuyaelewa mapungufu yaliyopo, na kipi walichokuwa wakikihitaji kwa wakati ule! Just simply case! Namshauri ajitokeze ajipange vizuri aje na hoja za kimsingi ili lawama juu yake zimuondoke, na hatimaye apumue!
  4. BARD AI

    Kwa jinsi hali ilivyo nchini, ukipewa nafasi kuwa Waziri wa Katiba na Sheria utabadili nini kuongeza Uwajibikaji na Haki?

    Kama leo imetokea umepata nafasi ya kuwa Waziri wa Katiba na Sheria, ukangalia hali ya masuala ya Kisheria nchini pamoja na mfumo wa utoaji Haki, utaanza na mabadiliko gani ili kuongeza Haki na Uwajibikaji nchini?
  5. wheedenTz

    Vipengele wezeshi kwa vijana katika mchakato wa katiba mpya bado vinazungumzika?

    Ni mara ya kwanza kuandika kitu humu ila wadau wa jukwaa la katiba naomba kuuliza hivi vile vipengele wezeshi kwa vijana (enabling provision) walivyodai kuwekwa kwenye ile Katiba ya Warioba bado ni vinapewa kipaumbele kuelekea hili sakata la katiba mpya? Au vijana tushapigwa chini watu...
  6. Wimbo

    Pongezi kwa CDF Mstaafu Mabeyo kutuvusha katika kipindi kigumu, baada ya hapo kwanini Katiba haikulindwa?

    Pongezi kwa Mabeyo Mkuu wa majeshi Mstaafu kwa kusaidia kutuvusha katika kipindi kigumu, baada ya hapo suala la kuifunga awamu kipindi kinachompa ruhusa ya makamu wa Rais kushika madaraka kwanini ilitokea kizungumkuti na kuamua kubadili gear angani nakuanza awamu mpya awamu ya sita lengo...
  7. B

    Kuelekea 2025 Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 bila Katiba mpya ni mwendelezo wa kuchafua uchaguzi kama 2019

    Wakuu habari za wakati. Tunakumbuka yaliyotokea mwaka 2029 kwenye mchakato mzima wa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Vijiji na Vitongoji. Watendaji ngazi ya mitaa na vijiji walielekezwa kuweka vikwazo kwa wagombea wasiotokana na CC kwa nafasi zote. Wakurugenzi wa Halmashauri walishirikiana na...
  8. jiwe angavu

    Sababu za CHADEMA kutaka katiba mpya ndio sababu za CCM kukataa katiba Mpya

    Wakuu, ukweli uko wazi CCM hawaitaki katiba mpya kwasababu ndio anguko lao la kiutawala, pia uwepo wa tume huru ndio msumali wa mwisho kwenye jeneza lao la utawala wa ulaghai. Muungano huu ni feki na hauna faida kwa watanganyika zaidi ya kuwalalia na kuwanyonya, Kinana hajaweza kujibu hoja...
  9. G

    Ipo siku waliotaka "kukiuka katiba" baada ya kile kifo watapewa tuzo

    Kwa namna mambo yalivyo na namna mambo yanavyoendelea, nashawishika kusema waliotaka kukiuka katiba baada ya kile kifo walikuwa sahihi sana. Watu hawa wana macho makali yanayoona mbali kama ndege aina ya tai. Kiukweli pasipo inda, chuki wala choyo watu hawa wanastahili tuzo. Mambo hivi sasa...
  10. chiembe

    Uchaguzi ndani ya CDM unatumia rushwa ili kupata viongozi watakaopambana kuleta katiba mpya ya kupinga rushwa na ufisadi

    Nadhani bora zimwi ulijuali halikuli ukakwisha. Uchaguzi wa chadema unaenda kuleta viongozi wala rushwa ambao wataongoza mapambano ya kupata katiba mpya ambayo, pamoja mambo mengine, itapambana na rushwa. Chichi dodo
  11. Forest Hill

    Kumbukizi: Mahojiano kati ya Alie kua mkurugenzi wa MCL TIDO Mhando Na Jaji Warioba Kuhusu Katiba Mpya, Muungano

    Salaam,mahojiano haya yalifanyika mwaka 2013 na kuchapishwa Na magazeti yote Yaliyo chini ya MCL,Gazeti la jumamosi June 8 mwaka 2013,, Swali: Kwa nini mlipendekeza Serikali tatu? Warioba: Upande wa Zanzibar wapo waliotaka Serikali mbili, Serikali ya mkataba na wengine kutaka Serikali tatu...
  12. NAMBA MOJA AJAYE NCHINI

    Kama muda wa kuandika Katiba mpya hautoshi, mbona wa kuuza Bandari na kufukuza wamasai ulitosha?

    Ninawasanua makada wenzangu wa chama chetu CCM, hebu tujaribu kulijibu hilo swali kimantiki!! Hoja za lissu tumeshindwa kujibu na hilo swali tunaweza kulijibu? Ifikie hatua tuache kujibu mipasho masuala mtambuka ya kitaifa na nchi yetu Kwa ujumla. Mzee Warioba ni mwanaccm na anaitaka Katiba...
  13. E

    SoC04 Tanzania ya mageuzi ya katiba mpya ya wananchi

    UTANGULIZI Katika nchi yeyote duniani ili kuendelea ni lazima iwe na katiba nzuri na yenye kujali maslahi makubwa ya wananchi , bila hivyo tutajidanganya wote tunafahamu kuwa katiba nzuri ndo mwongozo na dira ya nchi yoyote . Ili kuwa na mabadiliko chanya na maendeleo katika taifa letu ni...
  14. GoldDhahabu

    Katiba ya Tanzania ni nzuri, lakini ya Kenya ni bora zaidi kuliko ya Tanzania

    Inasemekana, Naibu Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama Kenya, Jenerali Ogolla, alitumwa kuzuia Ruto asitangazwe kuwa mshindi wa kiti cha Urais Kenya, lakini azma hiyo haikufanikiwa. Viongozi wa Tume ya uchaguzi hawakuuogoopa Ujenerali wake. Waliiheshimu na kuisimamia Katiba yao kikamilifu...
  15. K

    Nape amuombe radhi Tundu Lissu, sio kosa kumuita Rais Samia Mzanzibari, ni takwa la Katiba ya Zanzibar

    Salam Wakuu, Tumemuona Waziri wa Habari, Teknolojia na Mawasiliano akimkemea na kumwagia shombo Lissu ndani ya Bunge kua Lissu amefanya ubaguzi kumuita Rais Samia mzanzibari ambae anatawala Tanganyika. Naomba tusome kidogo katiba ya Zanzibar Tumsikilize Rais Samia mwenyewe...
  16. R

    Kwa dhambi hii ya kuiacha katiba mbovu inayomfanya Rais kuwa "Mungu Mtu", Nyerere hapaswi kuwa Mtakatifu

    Dhambi kubwa aliyofanya Nyererew ni kuiacha katiba ambayo mwenyewe kwa kinywa chake alisema katiba hii akiipata dictator, ataumiza sana watu/ WATANZANIA/WATANGANYIKA. Kwa vile ilikuwa inampa mamlaka ya kidikiteita akaiacha hivyo hivyo. Sasa wamekuja madikiteita marais waliopita na kuitumia...
  17. G

    Hoja ya Nape kuwa Samia ameruhusu maandamano na kumrudisha Lissu nchini ni ya kipuuzi. Hivi anaelewa Katiba?

    Ama kweli ujinga hauondolewi na taji/cheo (the crown does not change the mind). Nape ni mfano wa mtu mwenye cheo lkn mjinga. Kauli kwamba "Lisu alikimbia nchi halafu Rais Samia kamrudisha",...." rais karuhusu maandamano" ....ni kauli zinzothibitisha jinsi Nape asivyo na uelewa wowote kuhusu...
  18. K

    Wana CCM wazalendo ungeni mkono demokrasia, katiba mpya kwa manufaa ya nchi yetu

    Kuna watu wengi ambao wapo CCM na ni wazalendo. Lazima muelewe sio matakwa yote ya CCM ni kwa faida ya nchi kuna mambo mengi sana ambayo ni kwa mafanikio ya tabaka la utawala ndani ya CCM. Tabaka hili lenye mtandao mkubwa ni wale wakubwa ambao ndiyo wanafanya maamuzi ikiwa ni pamoja na kuingiza...
Back
Top Bottom