chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. chiembe

    Kuelekea 2025 Joseph Mbilinyi (Sugu) ashinda uchaguzi Kanda ya Nyasa, amgaragaza Mchungaji Msigwa

    Wananiita Sugu!!! Nani!! Mbombo ngafu. Bilionea Joseph Mbilinyi aibuka kidedea. Mbowe ni fupa la mzimu, jitihada za Lissu kuunda kundi la kumuengua Mbowe uenyekiti chadema zimegonga mwamba. Kule Pambalu kasambaratishwa vipande vipande na Hezekiah Wenje, kamanda mtiifu wa Mbowe, huku Sugu...
  2. Allen Kilewella

    Kuelekea 2025 Ni kweli Mbowe hawataki Lissu, Heche, Lema, Msigwa na Wenje ndani ya CHADEMA?

    Kuna uvumi mkubwa sana ndani ya CHADEMA kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Freeman Mbowe hawataki ndani ya chama viongozi wenzake walioko ndani ya Kamati Kuu ya sasa CHADEMA. Inasemekana kuwa Mbowe anahisi wajumbe hao wa Kamati Kuu wana mrengo wa kuunga mkono harakati za Makamu Mwenyekiti...
  3. MamaSamia2025

    CHADEMA ni watanzania wenzetu ambao pia wanahitaji neno la faraja kwa wanayoyapitia.

    CHADEMA ni watanzania wenzetu ambao pia wanahitaji neno la faraja kwa wanayoyapitia. Mimi ninawasihi wasikate tamaa kwenye nyakati hizi ngumu ila nao wajishushe na kwenda kumwomba msamaha aliyekuwa hawara wa Dr Slaa kwa kumtelekeza pamoja na kwamba alikuwa mhanga wa maandamano ya Januari 5, 2011...
  4. B

    Maigizo ya Balozi Dkt. Nchimbi kwenye mikutano yake yanakidhalilisha chama, abadilishe mapigo kidogo

    Balozi Dr Emmanule Nchimbi kama mwanasiasa mbobevu ndani na nje ya Tanzania sikutegemea kama angefanya matukio ya kuigiza kwenye kila anachodai ni kusikiliza kero za Wananchi. Kwanza ifahamikw kwamba Kero na shida za Wananchi zinajulikana kazi walioshindwa Chama na serikali ya ccm ni kuzitatua...
  5. JOHNGERVAS

    Kuelekea 2025 Godbless Lema ajitoa kwenye mbio za kugombea Uenyekiti Kanda ya Kaskazini

    Hii ni kwa mujibu wa taarifa yake aliyoitoa leo kupitia mtandao wake wa kijamii --- Kwa ajili ya ustawi wa chama changu na uimara wake ktk kujenga misingi bora na muhimu haswa ktk kipindi hiki tunachoelekea ktk uchaguzi wa serikali za mitaa, vijiji na vitongoji na uchaguzi Mkuu 2025...
  6. J

    Kuelekea 2025 Mchungaji Msigwa: Sikuingia CHADEMA kutafuta Vyeo bali Kuwatumikia Wananchi, nitaendelea kukitumikia chama Katika Jimbo lolote mtakalonihitaji!

    Mchungaji Msigwa amesema kuwepo kwake CHADEMA siyo kwa ajili ya kutafuta Vyeo kwani Vyeo huwa vinakuja na kuondoka lakini Wananchi wa kuwatumikia wapo muda wote. Hivyo ataendelea kukitumikia chama kwa Uaminifu na yuko tayari kwenda popote atakapoitwa kutekeleza majukumu ya kichama japo hana...
  7. Yoda

    CHADEMA huu mfumo wa uongozi wa Mwenyekiti wa kanda unawasadiaje?

    Nimeona vita vikali vya siasa kati ya pande za Mchungaji Msigwa na Sugu kuwania uenyekiti wa kanda ya Nyasa ndani ya CHADEMA. Sijui ni sababu gani hasa zilizopelekea kuwa na mfumo wa aina hii unaonyima fursa na kuzua minyukano isiyo na ulazima au afya katika chama chenu, sioni mantiki ya mfumo...
  8. Erythrocyte

    Kuelekea 2025 Maandalizi ya Uchaguzi wa Viongozi wa CHADEMA Kanda ya Nyasa yamekamilika. Tunawatakia kila la heri Wagombea wote

    Maandalizi yote ya Uchaguzi wa Chadema Kanda ya Nyasa yale ya ndani ya Ukumbi, Nje ya Ukumbi, pamoja na mazingira yote kabisa yamekamilika. Wajumbe wote kwa wingi wa 100% wamewasili na kwa uhakika wako tayari kabisa, na kwa kweli tunawatakia kila la heri Ujumbe wetu kwa wahusika wote ni huu...
  9. J

    Kuelekea 2025 Kumekucha: Mchungaji Msigwa amkataa John Mrema kuwa Msimamizi wa Uchaguzi Kanda ya Nyasa

    Mchungaji Msigwa ambaye ni Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Nyasa anayemaliza muda wake amepinga Mjumbe wa sekretari Mrema kusimamia Uchaguzi jimboni kwao Source Jambo TV Yajayo yanafurahisha😀 Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kanda ya Nyasa, ambaye pia anagombea kutetea...
  10. Expensive life

    CHADEMA kuna jimbo la bure kule kwa babu tale wekeni mtu makini 2025

    Jimbo la bure kabisa lile mkiweka mtu makini mchana kweupe mnalipata lile jimbo. Wekeni kichwa haswa pale, mbunge wa sasa wa pale ni mweupe peeee kichwani.
  11. F

    Medani za Siasa: Nyasa tunaenda na nani?

    Nafuatilia kipindi cha Medani za Siasa kinachorushwa na Star Tv, kuna mdahalo mkali katika ya Sugu vs Msigwa. Nimejifunza yafuatayo: 1. Upatikanaji wa Viongozi Moja ya vyama vyenye hazina ya viongozi bora ni vyama vya upinzani. 2. Uwezo wa kujieleza na kujibu hoja Viongozi kutoka vyama vya...
  12. chiembe

    Chadema imemfanya Lissu kufilisika, enzi akifanya shughuli za uwakili, alikuwa ana mabilioni kwenye akaunti, sasa anatembeza bakuli

    Nadhani Chadema kuna tatizo, katika mawakili wa bei mbaya nchi nzima alikuwa Tundu Antipas Lissu, alikuwa bilionea. Tangu ajiunge Chadema, amefilisika kabisa, hana kitu, mpaka anaomba omba hela ya kununua gari. Atakuja kupata mjukuu aitwaye Majuto, na hapo bado ana nguvu, chadema watamtumia...
  13. Uchumi TV

    Kagera: Yanayojiri Uchaguzi CHADEMA Bukoba kanda ya Victoria

    Update. Matokeo yalitangazwa usiku. Wenje alitangazwa mshindi. Hali ilivyokuwa tazama hapa https://www.youtube.com/live/mVv2HX9_cSM?si=epq5lcKJWCW9ZQPC ........... UPDATE: Saa 4:04PM Breaking News: John Pambalu na timu ya watu wengine kama saba hivi wametoka katika ukumbi wa mkutano na...
  14. Mnyunguli

    Kumbe Nusrat Hanje bado Yupo CHADEMA

    Nipo kwenye mdahalo wa kitaifa wa vijana kuhusu miaka mitatu ya Raisi Samia Hassan na utekelezaji wa ajenda za vijana ......huu mdahalo umeandaliwa na Huyu Mbunge wa viti maalum Nusrat Hanje,mgeni rasmi akiwa PM Majaliwa Nimeshangaa hapa anajitambulisha anatoka CHADEMA. Ila ubunge unalipa kama...
  15. MIMI BABA YENU

    Uchaguzi wa CHADEMA kanda ya Victoria wagubikwa na Ugomvi

    HUU NI UCHAGUZI WA VIONGOZI WA CHADEMA KANDA YA VICTORIA, UCHAGUZI HUO UMEFANYIKA USIKU WA TAREHE 24.05.2024, WAMEPIGANA KWA KUTUHUMIANA KWA VITENDO VYA RUSHWA. WAMEANZA KUPIGANA WAO KWA WAO....TUTAONA MENGI SANA...YETU MACHO. KWA HALI HII MWISHO WA CHADEMA UMEKARIBIA.
  16. Idugunde

    Watanzania wamekosa chama cha upinzani. Chama tawala kinajisimamia na kujikagua. Mbowe na CHADEMA yake wanawaza pesa tu

    Inashangaza sana na inatia huruma. Maana Chadema ambayo ni mali binafsi ya Mbowe inapokea ruzuku ambazo ni kodi za wananchi. Lakini kero na matatizo ya Watanganyika yanazungumzwa na chama tawala! Chadema ambayo ni mali binafsi ya Mbowe wanawaza ruzuku na kulamba asali huku wakitengeneza...
  17. L

    Ni Aibu Kubwa Sana CHADEMA kupigana Ngumi katika Uchaguzi mbele ya Naibu katibu Mkuu wake Benson Kigaila

    Ndugu zangu Watanzania, CHADEMA ni chama cha ajabu sana,ni chama kinachotia aibu sana,ni chama kinacholeta fedheha kubwa sana,ni chama kinachoendeshwa na kwenda utafikiri mtu aliyepofuka macho,ni chama kisicho heshimu hata uwepo wa viongozi wake wa ngazi za juu,ni chama ambacho kinawakatisha na...
  18. K

    Uchaguzi wa CHADEMA Njombe wadaiwa kuvurugika

    CHADEMA wanaojiita watenda haki Leo uchaguzi wavurugika Njombe washindwa kufikia mwafaka kupata viongozi wanaowataka. --- Uchaguzi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) uliokuwa ufanyike leo Mjini Njombe umevurugika tena baada kufuatia baadhi ya wanachama wa chama hicho kudai...
  19. R

    Ansbert Ngurumo azungumzia namna ya kuchagua viongozi wabaya

    Moderators naomba clip hii muiache kwa manufaa ya wapiga kura wa chadema na watanzania kwa ujumla. Erythrocyte
  20. L

    CHADEMA inapokea Ruzuku ya Tsh. Millioni 107 kwa mwezi sawa na Tsh. Billion 1 na Millioni 284 Kwa mwaka!

    Ndugu zangu Watanzania, Chama kikuu cha upinzani hapa Nchini CHADEMA kinapokea Ruzuku kutoka serikalini ya takribani Millioni 107 kwa Mwezi ambayo ni sawa na Billion 1 na Millioni 284 kwa mwaka. Yaani: 107,000,000 x 12= 1,284,000,000/=. Ambapo hata hivyo CHADEMA inasema kiasi hicho ni kidogo...
Back
Top Bottom