Naingia kwenye mada moja kwa moja. Ndugu zangu naomba ushauri! Mimi ni mwanaume wa miaka 35 nimeoa mwaka huu mwezi wa pili na mwanamke niliyemuoa nimekuwa naye kwenye mahusiano kwa miaka mitatu, ningeshamuoa tangu zamani ila kuna vikwazo vilikuwa vinazuia tusioane ikiwemo masomo na kupangilia...
Habari zenu wakuu?
Nina mwanangu amemalz o-level na amepangwa Mining Engeneering na TAMISEMI lakini yeye hataki anataka asome Computer Engeneering.
Je, nimuache asome anachoktaka ama aend 2 huko alipopangiwa na TAMISEMI?
Nina kiasi flani naombeni ushauri nifanye biashara gani
Kwa kiasi flani naweza kufanya biashara gani
Nimeachiwa urithi kiasi kadhaa nifanye biasara ipi
Hayo ni baadhi ya maswali yanayoonyesha wazi kwamba mtu hana uzoefu wala connection ya kufanya biashara, watu wengi wa aina hii biashara zao...
Wanajamvi Jana nilileta mada hapa kwamba nasumbuliwa na vidonda vya tumbo mwezi Sasa yapata licha ya kumeza dawa za hospital Kuna mdau amenishauri kwamba maji ya moto ni dawa ambayo watu wengi hatuijui naomba niwaulize wanajamvi hivi nikweli unywaji wa maji ya moto yanasaidia kuponyesha...
Unachangiwa na tatizo la saikolojia za baadhi ya wahudumu kwenye vituo vya afya. Mfano unakuta mhudumu anamsongo wa mawazo kwa namna yeyote na afikapo kazini anamhudumia dawa mgonjwa badala ya kuandika2*3 ataandika2*2 mwisho wa siku mgonjwa haponi. Ushauri kuwe na watalam wa saikolojia huko...
MDOGO WANGU!
Dada yako Eva Mrema, nimewiwa kukuambukiza maarifa. Haya ni mambo matano ambayo nakuomba sana uyawekee mazingatio katika umri wa ujana kuelekea utu uzima wako.
1. ZINGATIA KUJIKUZA.
Katika umri wa ujana mbichi binti wa kisasa unawaza usome, uhitimu; upate kazi, upate mwanaume...
Matumaini yangu mlio wengi humu ndani mlikua na weekend njema.
Ni miaka sita sasa tangu nimeoa na nimebarikiwa kua na watoto wawili. Kabla sijaoa nilikua nna marafiki wengi na bahati nzuri rafiki hao angalau wanajiweza wao wenyewe na familia zao. Namshukuru sana Mungu kwa ajili yao kwa sababu...
Wakuu nimepata gari aina ya nisan pick up. Nilitakujua changamoto ya gari hizi ni nini na kwahabari ya spea zake zikoje ni gharama sana au ni cheap naomba kwa mwenye uzoefu aniambie
Naomba kuwasilisha
Tuache bei ya chuma yenyewe, ila TRA wanataka Mil 185 ukileta hii kitu tena ya 2024. Sasa sijui ikiwa 0 kilometa kuna excuse?
Kusema kweli kuna magari mazuri ila ushuru kichomi.
Tukipishana nayo njiani tuwe tunaacha space. Tusije pasua taa.
Kwema ndugu zangu, leo nikiwa naelekea kuwapelekea wateja picha mtaani, nimekutana na binti mmoja akiwa na watoto wawili. Nikiwapita hadi mbele kidogo, nikashangaa kuna dogo ananifata na kuniambia, "Dada anasema uje umpige picha Jumatatu." Sasa ikabidi nigeuke, nikamwona huyo dada kasimama...
Wadau wa Jamiiforums mnipe MBINU na njia sahihi ya uendeshaji wa Microfinance. Eli Mimi na wateja wangu wote tufaidike, wao wapate mkopi nafuu wenye kutimiza malengo yao, na Mimi nipate japo faida kidogo.
Kwa Sasa interest rate yangu 3.5% Kwa mwezi (0.035%). Gharama nyingine ni ndogo sana...
Suala la ukosefu wa ajira hapa nchini Tanzania limekuwa sio stori tena ni suala ambalo linaonekana ni kama changamoto sana kutokana na sababu mbalimbali, lakini andiko langu nitagusia sana katika ujifunzaji wa lugha za kigeni hususani lugha ya kichina katika kupanua soko la ajira kwa vijana...
Sikuwahi kutarajia hii hali. Nina mshikaji wangu ambaye tulikutana kwenye kituo cha kazi mkoa x kipindi hicho mimi ndo nimetoka kumaliza chuo. Hatuzidiani sana umri sema mimi ndo namzidi jamaa kama mwaka mmoja. Ila yeye alitangulia kuoa, so nikawa nampa heshima zake. Mwaka huo huo mimi nikaoa...
Salaam,Shalom!!
Nimesikia Mh Mwigulu, waziri wa Fedha akilalama kuwa, Wafanyabiashara waliopewa nafasi ya kukusanya Kodi Kwa niaba ya Serikali ni chanzo Cha kukosekana mapato ya Serikali.
Ukisikiliza Kwa ufahamu kauli hiyo, analenga kuwaelekeza TRA warudi tena Kwa wafanyabiashara na kuwabana...
Fainali ya Kombe la CRDB itakuwa kati ya timu ya YANGA na AZAM. Uongozi wa TFF ulipendekeza kuwa fainali hiyo uchezwe Mjini Babati lakini kutokana na wingi wa mashabiki/ watazamaji na ukubwa wa uwanja unaokadiriwa kuchukua watazamaji wachache.
Ninaishauri TFF kuwa mchezo huu uhamishwe kwenye...
Karibuni tuinvest katika soko letu la hisa iwe meridian, iplay8 casino, m-bet, premier betting, skybet, landbrokerz, bet365... n.k
GG (maana yake tim zote zifungane).. GGGG ( tim zote zifungane kila kipindi)
2+ (katika mechi yote...
chanzo ni; yotube
Hata sasa kwa Nchi ya Tanzania , Huduma ya upatikanaji wa namba za nida au vitambulisho vya nida bado imekuwa changamoto na mfumo huo kusumbua. Ofisi inayohusika na namba za nida utaikuta ipo wilayani tu au mkoani tu , yaani ofisi hizi za nida zinapatikana katika halmashauri...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.