picha

Jean-Paul "Picha" Walravens (Brussels, Belgium, 2 July 1942) is a Belgian cartoonist, comics artist, animator and film director. He is most famous for his adult animated films, such as Tarzoon: Shame of the Jungle.

View More On Wikipedia.org
  1. Z

    Katazo la upigaji picha

    Mwenendo wa taasisi za serikali na hata sekta binafsi zinavyokataza wananchi kupiga picha ama kuchukua video maeneo yenye kasoro ama kurekodi utendaji wa watumishi wa umma usio endana na maadili , lengo hasa la katazo hili huwa nini? Unaweza ukaenda kwa mfano, muhimbili utakutana kabisa na...
  2. Nambarapi

    Picha zimefutika kwenye locked folder la google photos. Nawezaje kuzipata?

    Habari wakuu, nilisave picha zangu kwenye locked folder la google photo, cha ajabu lile folder limefutika na halina picha hata moja. Je, kuna uwezekano wa kuzipata?
  3. Mjanja M1

    Picha: Unajua mimi ni nani?

    "Kuwa Makini kijana nitakupotezaa"
  4. ndege JOHN

    Picha ya baadhi ya wanyama wakiwa tumboni kwa mama zao

    Kuna tembo, fisi, farasi, dolphin, mbwa
  5. Meni alonso

    Picha Kali

    Hii ni miongoni mwa picha ninazo zipenda sana kwenye simu yangu.
  6. Uzalendo wa Kitanzania

    Msemaji Yanga kazidisha utani. Hebu tazama picha na maelezo

    Wadau hamjamboni nyote? Msemaji yanga kazidisha utani Soma alichoandika ๐Ÿ.๐–๐š๐ฌ๐ข๐ง๐ ๐ž๐ฉ๐ข๐ ๐ฐ๐š ๐Ÿ“ ๐ฐ๐š๐ง๐ ๐ž๐ฌ๐ž๐ฆ๐š. "๐˜๐š๐ง๐ ๐š ๐ข๐ง๐š๐ฉ๐ข๐ ๐š ๐Ÿ“ ๐ญ๐ข๐ฆ๐ฎ ๐ฆ๐›๐จ๐ฏ๐ฎ" ๐Ÿ.๐–๐š๐ฌ๐ข๐ง๐ ๐ž๐ฉ๐ข๐ ๐ฐ๐š ๐ง๐ฃ๐ž & ๐ง๐๐š๐ง๐ข ๐ฐ๐š๐ง๐ ๐ž๐ฌ๐ž๐ฆ๐š "๐˜๐š๐ง๐ ๐š ๐ฐ๐š๐ง๐š๐ง๐ฎ๐ง๐ฎ๐š ๐ฆ๐ž๐œ๐ก๐ข" ๐Ÿ‘. ๐˜๐š๐ง๐ ๐š ๐ข๐ฌ๐ข๐ง๐ ๐ž๐Ÿ๐ข๐ค๐š ๐ซ๐จ๐›๐จ ๐Ÿ๐š๐ข๐ง๐š๐ฅ๐ข ๐‚๐€๐… ๐ฐ๐š๐ง๐ ๐ž๐ฌ๐ž๐ฆ๐š "๐Š๐ฎ๐ฅ๐ž ๐‚๐€๐… ๐ก๐š๐ค๐ฎ๐ง๐š ๐ค๐ฎ๐›๐ž๐›๐š๐ง๐š" ๐Ÿ’. ๐–๐š๐ฌ๐ข๐ง๐ ๐ž๐ฉ๐ž๐ฐ๐š ๐ฉ๐ž๐ง๐š๐ญ๐ข ๐Ÿ–...
  7. ndege JOHN

    Picha: Wafuatao ni samaki tunaowapata sana hasa ukanda huu wa Lindi beach

    Mnaoishi bara Poleni sio kidogo endeleeni kutunyima protein ya nyamaPori, senene na kumbikumbi. Tunaokaa pwani ya Bahari Hindi tunaendelea kufaidi sea food. Kibua-huyu najua maarufu sana hasa Kwa dar Changu-huyu Lindi na Mtwara Kwa wingi Lupapa Chewa - huyu wa supu kabisa moja ya samaki mwenye...
  8. CHURADUME

    Picha za dada na mchepuko wake zimenivuruga

    Ndugu zangu leo sister alikuja kunitembelea home nikamuomba simu nipige picha maana camera yake ni nzuri. Sasa nimemaliza kupiga picha nikajirushia na kuzifuta nikaenda kwenye recycle bin nikazifute jumla ndipo nikakuta mambo yaliyo nitoa kwenye mood. Maana nilikuta picha kama kumi za dada...
  9. NALIA NGWENA

    Msaada wakuu ni app gani inatumika kuedit au kuweka maneno KWENYE picha kama haya

    Wakuu swali langu ni Hilo nataka nijue ni app gani inatumika KUANDIKA maneno juu ya picha hivyo
  10. Tlaatlaah

    Nini dhumuni la video na picha za utupu?

    Achilia mbali kwajili ya kuuza upate pesa au hata kama huzitumii, lengo na madhumuni ya kurecord video na picha za utupu na kuzihifadhi kwenye simu au laptop yako nini hasa? Ili iweje unazitunza? Nini hasa kinachochea ujichanue kwa hiyari yako au uchanuliwe na mwenzi wako sehemu za siro zikae...
  11. VINICIOUS JR

    Wapiga picha na walio wai kupiga picha kujeni hapa

    Kwema ndugu zangu, leo nikiwa naelekea kuwapelekea wateja picha mtaani, nimekutana na binti mmoja akiwa na watoto wawili. Nikiwapita hadi mbele kidogo, nikashangaa kuna dogo ananifata na kuniambia, "Dada anasema uje umpige picha Jumatatu." Sasa ikabidi nigeuke, nikamwona huyo dada kasimama...
  12. Mohamed Said

    Picha ya Dr. Bushiri Tamim Daily News Mgomo wa Madaktari

    DR. BUSHIRI TAMIM PICHA MBELE YA DAILY NEWS YUKO KAZINI MADAKTARI WENZAKE WAKO KATIKA MGOMO Nilikuwa nimefadhaika sana kwa kukosa picha ya Daily News ikimuonyesha Dr. Tamim akiwa kazini wakati madaktari wenzake wamo katika mgomo. Nilikusudia kuweka picha hii kwenye taazia yake na nilipoikosa...
  13. Wadiz

    Je, Awamu ya 4 ibebe Lawama kwa mambo ya muungano yaliyoondolewa kinyemela na kupewa Zanzibar? Karibu tujadili kwa facts

    Shalom, Tuunduiz Lissua myopia hawazungumzii haya mazito Nasikitika kusema kwamba mambo ya muungano yalikuwa 22 na hakuna kikao halali cha Bunge la muungano kimeondoa baadhi ya mambo ya muungano. Cha ajabu Baraza la wawikilishi Zanzibar limefanya mabadilliko mengi yaliyoipa Zanzibar uhuru na...
  14. Ikaria

    Jesca Magufuli afurahi kupanda matatu yenye picha za babake jijini Nairobi

    Binti ya Hayati Rais John Pombe Magufuli, Jessica Magufuli, akiwa ni mwenye furaha baada ya kupanda matatu yenye graffiti za sura ya marehemu babake Jijini Nairobi. Matatu ni neno la mtaa lenye maana sawa na daladala, au basi au Coaster nchini Kenya. Jessica alikuwa amezuru Kenya pamoja na...
  15. Muuza madafu wa Ikulu

    Picha za Mapambano ya kutafuta mkate wa kila siku kwa wanaume.

    Tuweke picha zetu wanaume namna tunavyopambana kupambania familia zetu. Lengo la huu uzi ni kutiana Moyo na kuombeana katika mapambano ya kila siku. Hakika tutakula kwa jasho. Mathayo 6:6-9 "Nanyi mnapokuwa katika kusali salini mkiomba. Baba yetu uliye mbinguni Jina lako Litukuzwe Ufalme...
  16. L

    Umejifunza nini katika picha hii ambayo Dkt Tulia amepakatwa na Mama Yake Mzazi?

    Ndugu zangu Watanzania, Hapa chini ni picha ya Mama mzazi wa Mheshimiwa Dkt Tulia Acksoni Mwansasu ,speaker wa Bunge letu pamoja na Rais wa umoja wa mabunge Duniani yaani IPU. Tukio hili la kugusa hisia za watu na ambalo liliteka hisia za watu wengi sana mitandaoni na DUNIA nzima kwa ujumla...
Back
Top Bottom