picha za utupu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Tlaatlaah

    Nini dhumuni la video na picha za utupu?

    Achilia mbali kwajili ya kuuza upate pesa au hata kama huzitumii, lengo na madhumuni ya kurecord video na picha za utupu na kuzihifadhi kwenye simu au laptop yako nini hasa? Ili iweje unazitunza? Nini hasa kinachochea ujichanue kwa hiyari yako au uchanuliwe na mwenzi wako sehemu za siro zikae...
  2. Yehoyada Yedidia

    Furaha Dominic akamatwa akisambaza picha za Utupu

    Furaha Dominic anashitakiwa kwa kosa la kurekodi video zisizo na maadili za viongozi mbalimbali kisha kuzitumia kujipatia pesa kwa kuwatisha (blackmailing). Furaha Dominic ni yule kijana ambaye Magufuli alimkata jina na kusisitiza kuwa hafai kuwa mbunge wa Kawe. Magufuli huenda alikuwa anajua...
  3. C

    Acha kujirekodi video za utupu, zikivuja msambazaji wa kwanza ni wewe!

    Ikitokea jambo lako limesambaa ujue kabisa msambazaji wa kwanza ni wewe! usingejirekodi wengine wasingepata nafasi ya kusambaza, unatoa mwenyewe mwanya wa kudhalilika, usilaumu wengine wakiwa hawana muda wa kufikiria hasara utakayopata maana umeamua mwenyewe udhalilike, unless umerekodiwa...
  4. U

    Hivi ndivyo account za facebook zinavyodukuliwa, chukua tahadhari, chunga account yako

    Wadukuaji wanaiba account za wengine kufanyia shughuli ambazo wanaogopa kuzifanyia kwenye account zao au ndugu zao, shughuli hizi ni: kuposti picha / video za uchi, kuposti linki kwenye magroup kuziuza account, kuweka link na kuwatag marafiki kutapeli kutukana / kudhalilisha watu maarufu, n.k...
  5. F

    Sipati usingizi mpaka niwaze wanawake

    Usingizi unapaa nanga mpaka niwawaze wanawake wazuri wazuri wenye mikia au maziwa kama yale ya kwenye video za dawa za macho. Humu kumejaa watalamu, naomba mnipe ushauri ni kwanini?
  6. mshamba_hachekwi

    Kwanini baadhi ya wanawake mnatuma picha za utupu kwa wapenzi wenu?

    Leo nikiwa nipo kwa mshikaji tunapiga stori za hapa na pale, alinionyesha baadhi ya picha, video na rekodi za sauti anazotumiwa na mpenzi wake. Zinaonyesha utupu wake, akiwa anajishikashika pamoja na kutoa sauti za kimahaba. Sikusita kumuonya kuhusu hili lakini alijitetea kwamba mpenzi wake...
  7. Sossi

    Ukizifuma picha za utupu za anayemfukuzia mkeo utachukua hatua gani?

    Ni Jamaa ambaye alishawahi kuwa hawara wa mkeo, akamwacha kwa kashfa kibao alimchafua mitaani na huko Facebook, wewe bila kujali udhalilishaji aliofanyiwa bila kujali kashfa ukaamua kumuoa. Sasa baada ya miaka kadhaa kupita Jamaa anaaanza kummendea mkeo,mara atume watu mara apige simu, Mkeo...
  8. Mayu

    Alinitishia kusambaza picha zangu za utupu kama nisipompa milioni 1. Nilitoa taarifa polisi akakamatwa

    Wakuu hii issue ni ngumu kidogo naomba tuwe serious kutoa ushauri badala ya kulaumu, shit happens sometimes! Hebu vaa hivi viatu kisha toa ushauri. Una familia yako mke na watoto na una mchepuko wako, ghafla mchepuko ambao mnakwenda nao sawa muda wote unatega kamera na kuchukua tukio wakati...
Back
Top Bottom