kanda

Kanda Shrine (神田明神, Kanda-myōjin, officially 神田神社 Kanda-jinja), is a Shinto shrine located in Chiyoda, Tokyo, Japan. The shrine dates back 1,270 years, but the current structure was rebuilt several times due to fire and earthquakes. It is situated in one of the most expensive estate areas of Tokyo. Kanda Shrine was an important shrine to both the warrior class and citizens of Japan, especially during the Edo period, when shōgun Tokugawa Ieyasu paid his respects at Kanda Shrine. Due in part to the proximity of the Kanda Shrine to Akihabara, the shrine has become a mecca for technophiles who frequent Akihabara.

View More On Wikipedia.org
  1. Roving Journalist

    TANESCO yatangaza maboresho ya Mita za LUKU, soma ujue jinsi ya kuingiza Token upya kuanzia Juni 1, 2024

    MABORESHO YA MITA ZA LUKU KWA WATEJA WA TANESCO KANDA YA ZIWA NA KANDA YA MAGHARIBI Jumatatu, 27 Mei 2024 Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linawataarifu wateja wake wa mikoa ya Mwanza, Kagera, Mara, Geita, Simiyu, Tabora, Katavi na Shinyanga kuwa zoezi la maboresho ya mfumo wa LUKU litaanza...
  2. kipara kipya

    Kuelekea 2025 Mchungaji Msigwa kuongea na Waandishi wa Habari baada ya kushindwa Uchaguzi wa Uenyekiti Kanda ya Nyasa

    Kama heading inavyojieleza mpaka muda huu mgombea aliyeshindwa kanda ya nyasa amegoma kusema lolote, ameahidi kuita press na kuongea yote yaliyojiri kwenye huo uchaguzi kifupi hajaridhirika. Hizi habari ni za ndani sana kaeni tayari kwa mvurugano! PIA SOMA - Kuelekea 2025 - Joseph Mbilinyi...
  3. Yoda

    CHADEMA huu mfumo wa uongozi wa Mwenyekiti wa kanda unawasadiaje?

    Nimeona vita vikali vya siasa kati ya pande za Mchungaji Msigwa na Sugu kuwania uenyekiti wa kanda ya Nyasa ndani ya CHADEMA. Sijui ni sababu gani hasa zilizopelekea kuwa na mfumo wa aina hii unaonyima fursa na kuzua minyukano isiyo na ulazima au afya katika chama chenu, sioni mantiki ya mfumo...
  4. H

    SoC04 Uvuvi ni hazina ya ajira kwa wakazi wa Kanda ya Ziwa na Tanzania yote

    Uvuvi ni chanzo cha ajira pia ni chanzo Bora cha kitoweo kama ilivyo ufugaji hasa kwa hapa Tanzania. Ili uvuvi ulete Tija na mtokeo ya kueleweka sana ndani ya taifa ni vizuri kama taifa likaanza kuingiza mikakati Bora kama ifuatavyo hasa Kwa wakazi wa Kanda ya ziwa hasa vijana wa maeneo hayo...
  5. Erythrocyte

    Wenje ashinda Uenyekiti wa Kanda ya Victoria

    Hii ni baada ya kubaki Mgombea pekee , kabla ya Uchaguzi huo Mpinzani wake John Pambalu alitangaza kujitoa Bado haikujulikana sababu ya John Pambalu kujiondoa ====
  6. Uchumi TV

    Kagera: Yanayojiri Uchaguzi CHADEMA Bukoba kanda ya Victoria

    Update. Matokeo yalitangazwa usiku. Wenje alitangazwa mshindi. Hali ilivyokuwa tazama hapa https://www.youtube.com/live/mVv2HX9_cSM?si=epq5lcKJWCW9ZQPC ........... UPDATE: Saa 4:04PM Breaking News: John Pambalu na timu ya watu wengine kama saba hivi wametoka katika ukumbi wa mkutano na...
  7. ngara23

    Wanaume wa Kanda ya ziwa, enyi wanawake jaribu kutuelewa

    Nimeona nitoe tahadhari, Tanzania ni kubwa na tamaduni tofauti. Kwa kilichotokea huko Goba, Dar kiwe funzo Kwa wanawake wa mjini kujia tamaduni za wanaume ngangari na wagumu hasa kutoka Kanda ya ziwa. Mwanaume wa Kanda ya ziwa huwezi kumwita majina yenu ya danga, yaani mtu wa Geita, Mara...
  8. R

    Ansbert Ngurumo azungumzia namna ya kuchagua viongozi wabaya

    Moderators naomba clip hii muiache kwa manufaa ya wapiga kura wa chadema na watanzania kwa ujumla. Erythrocyte
  9. MamaSamia2025

    Kuelekea 2025 Mwananyasa mumchague Sugu kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA kanda ya Nyasa

    Kuelekea uchaguzi wa mwenyekiti wa CHADEMA kanda ya nyasa ninawasihi wenzetu katika demokrasia kumchagua kwa kishindo Joseph Mbilinyi (Sugu). SUGU ANATOSHA. Sababu ni zifuatazo; 1. Hana njaa ni tajiri. Hatatafuna michango yenu hovyo. 2. Ana misimamo binafsi. Hajamkabidhi akili Mbowe wala...
  10. MURUSI

    SoC04 Tuanze na kilimo cha Pamba GMO isio kuwa na hatari kiafya, Ili kukuza zao hilo mikoa ya Kanda ya Ziwa

    Tanzania ni moja ya wazalisahi wa Pamba hapa Africa ikiwa sambamba na chi kama Benin, Ivory coast, Burkina Faso, Cameroon, Sudan, Mali, na Nigeria na South Africa.Tanzania inatajwa kuazlisha tani 26,000 mwaka 2023 kutoka tani 16,000 mwaka 2021/2022. Ukilinganisha na miaka ya nyuma, kilimo cha...
  11. CCM MKAMBARANI

    Uchaguzi wa kanda CHADEMA, wajue waliofanikiwa kupenya

    Siku za hivi karibuni chama cha upinzani chadema kimeanza kufanya chaguzi zake za ndani,yapo makandokando mengi sana yameibuka kwenye zoezi hilo. Miongoni mwa kashfa zilizoibuliwa ni nzito hasa kuhusu rushwa inayotumika kutoka vyama hasimu nao,makamu mwenyekiti wao ameongoza vita ya kukataa...
  12. mdukuzi

    Asilimia kubwa ya wanawake/ wasichana wa kanda ya ziwa wana chale mwilini

    Unatongoza binti mbichi kabisa wa 2000 mkifika kwa mkapa akivua jezi unakuta chale mgongoni,kwenye matiti au sehemu yeyote mwilini,ukimuuliza anakwambia nikiwa mdogo niliumwa sana ndio nikaoakwa dawa. Hii kitu nawezw kusema ni asilimia zaidi ya 80 ya wanawake wa kanda ya ziwa,bila kujali kabila...
  13. MINING GEOLOGY IT

    SoC04 Uchimbaji wa Mawe Kanda ya Ziwa Kuwa Mchango Mkubwa Katika Ujenzi wa Miundombinu

    Kanda ya Ziwa katika eneo la Afrika Mashariki, ambayo inajumuisha maziwa makubwa kama Ziwa Victoria, Ziwa Tanganyika, Ziwa Nyasa, na maziwa mengine madogo, ina utajiri wa rasilimali za jiolojia, ikiwa ni pamoja na aina mbalimbali za mawe. Kanda ya Ziwa ni eneo lenye umri wa kijiolojia wa...
  14. R

    Msaada: Anayejua zilipo ofisi za EWURA Kanda ya Mashariki (Dar es Salaam) anitajie zilipo

    Ndugu zangu naomba kujua zilipo ofisi za EWURA hapa Dar es Salaam. Nime-Google sehemu nyingine wanasema ziko Kijitonyama PSPF Tower, sehemu nyingine wanasema ziko Mawasiliano Tower, Sam Nujoma Road na simu zilizopo kwenye tovuti yao hazi patikani. Tafadhali kama unajua zilipo pamoja na namba...
  15. Erythrocyte

    Shangwe la Msigwa akirejesha fomu Kanda ya Nyasa latikisa Mbeya

    Hii ndio Taarifa mpya inayozunguka mitandaoni hivi sasa . Pichani ni umati wa wafuasi wa Chadema wakimsindikiza Mchungaji Msigwa akirejesha fomu ya kuomba tena Uenyekiti wa Kanda ya Nyasa . Ilibidi Jeshi la Polisi lifanye kazi ya ziada kupanga misululu ya wat
  16. Erythrocyte

    Joseph Mbilinyi arejesha Fomu ya kugombea Uenyekiti Kanda ya Nyasa, Asindikizwa na William Mungai

    Bwana Sugu ambaye ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema , leo Amerejesha fomu ya kuomba uenyekiti wa Kanda ya Nyasa. Bilionea huyo amesindikizwa na Umati wa Matajiri wa Kanda hiyo kutoka Kyela, Mbeya yenyewe, Njombe na Iringa. Hali ilikuwa hivi .
  17. Uchumi TV

    Pambalu na Polisi ana kwa ana wakati akichukua fomu ya kugombea Uenyekiti wa Kanda ya Victoria

    Polisi wamelazimika kufika zilipo ofisi za chadema mjini Bukoba baada ya aliyekuwa Mwenyekiti wa vijana Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA John Pambalu kwenda kuchukua fomu za kugombea nafasi hiyo akiwa na msafara wa boda boda. hata hivyo polisi walipofika katika eneo hilo walioneka na...
  18. Erythrocyte

    Kwanini Uchaguzi wa Kanda za CHADEMA una msisimko mkubwa kiasi hiki?

    Niko kwenye Chama hiki kwa miaka yote na nashuhudia Chaguzi nyingi sana za ndani, lakini kiukweli sijawahi kuona Uchaguzi wa ndani ya Chama hiki ulio na msisimko kama uchaguzi wa mwaka huu, na hasa kwenye ngazi ya Kanda. Naomba sana Busara itawale ili Chama kisipasuke Angalia mambo haya.
  19. Miss Zomboko

    Takriban watu milioni 55 wanakabiliwa na njaa kanda ya Afrika Magharibi na Kati kutokana na kupanda kwa bei za vyakula

    Takriban watu milioni 55 wanakabiliwa na kitisho cha njaa katika kanda ya Afrika Magharibi na Kati kutokana na kupanda kwa bei za vyakula. Taarifa ya pamoja iliyotolewa na Shirika la Mpango wa Chakula duniani WFP, Shirika la kuhudumia watoto UNICEF na lile la Chakula na Kilimo, imesema kuwa...
  20. Erythrocyte

    Mtifuano wa Uchaguzi wa CHADEMA kwenye Kanda usipime. Hakuna mwenye uhakika wa kushinda

    Hii ndio Taarifa ya sasa inayozunguka kila mahali. === Pazia la uchukuaji na urejeshaji fomu za kusaka uongozi katika kanda nne za kiuongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), linafunguliwa rasmi leo Ijumaa Aprili 12 hadi 22, saa 10 alasiri. Nafasi zinazowaniwa ni mwenyekiti na...
Back
Top Bottom