Utangulizi
Wazo kuu ni kuboresha mchakato wa ununuzi wa umeme ili kuruhusu kuwaka moja kwa moja (automatic) mara baada ya units za umeme kununuliwa na mtumiaji, mfumo huu (HeWasha) unalenga kuleta urahisi mkubwa kwa wateja, na kuondokana na changamoto ambazo kwa sasa wanazipitia kama kwenda kwa...
Furahia umeme wa nishati ya jua (Solar Energy) kwa gharama nafuu ambazo zitakupunguzia ulipaji wa bili kubwa za umeme,utumiaji mkubwa wa mafuta kwa ajiri ya uendeshaji wa pump za maji.Karibu tukufungie Automatic Power Backup System,Solar Pumping System za gharama nafuu kabisa.
Tunapatikana...
Wakuu kichwa cha habari nadhani kinajieleza vya kutosha.
Hakuna uharibifu wowote nilioupata upande wa vifaa kutoka na "Hitilafu" hii ya umeme lakini dili zangu zinaharibika sababu ya hitilafu hiyo.
Kazi nyingi zinategemea umeme, unapata dili fresh, unapokea advance na kazi inabidi ikamilike...
Uzalishaji wa umeme unapokidhi mahitaji nchini unachangia kwenye ukuaji wa uchumi kutokana na shughuli nyingi za viwanda vikubwa na vidogo kuendeshwa kwa utegemezi wa umeme Umeme unapokua wa uhakika uzalishaji wa bidhaa huongezeka na gharama za uendeshaji hupungua.
Wananchi waliojiajiri kupitia...
Habari za muda huu ndugu zangu,
naombeni msaada wenu, nimenunua nyumba mwezi mmoja sasa hapa jijini dar es salaam, mita ya maji na lukuya umeme inasoma majina ya mwenye nyumba wa zamani (ambaye ameniuzia mimi), nilikuwa naomba utaratibu wa kufata ili niweze kubadili majina pamoja na namba ya...
itakayo weza kukupa uhakika wa matumizi ya simu yako
Vaa mkanda twende pamoja
🔋💡 Chaji Bila Wasiwasi na Green Lion 22.5W Power Bank 💡🔋
Karibu kwenye thread yetu kuhusu power bank ya Green Lion 22.5W! Mimi ni Abubakari muuzaji wa power bank za Green Lion, na nataka kushiriki nawe kuhusu...
TUUVUNE NA KUUHIFADHI UMEME KWA MATUMIZI YA BAADAE ILI KUPUNGUZA TATIZO LA MGAO NA KUKATIKA KWA UMEME KATIKA NCHI YETU
Utangulizi
Tanzania ni miongoni mwa nchi zinazojitegemea...
Kumbe ndo maana tunashambuliwa kila mahali na kila kona, nimecheki Uingereza former english empire only 38% ya railway network yake ndio kuna treni ya umeme au electrified na iliyobakia ni diesel engines hivyo > 50% ya treni za UK ni diesel na nchi ya Ireland ndo kabisaa treni ya umeme ni mji...
Kampuni ya COSCO Shipping, ambayo ni mali ya serikali ya China, imeanzisha meli kubwa zaidi inayoitwa Green Water 01.
Meli hii kubwa, yenye uzito wa zaidi ya tani 10,000, inafanya kazi kwa kutumia umeme pekee. Ina urefu wa mita 119.8, upana wa mita 23.6, na kina cha mita 9. Inaweza kutembe...
Tanzania tuitakayo ni nchi yenye umeme endelevu na imara, ambayo inawezesha maendeleo ya kiuchumi na kijamii kwa wananchi wake. Kwa kuzingatia hili, serikali itaanzisha mpango wa kuimarisha miundombinu ya umeme nchini kote, ikiwa ni pamoja na kuboresha mitambo ya kuzalisha umeme, kupanua mtandao...
Habari wananchi kwa majina naitwa SADIKI JAFU ABDALA Napatikana Mkoa wa MTWARA wilaya ya NEWALA Natoa mafunzo ya umeme wa majumbai kwa vijana kuanzia miaka 10-17 kwa umri huo Amna malipo kuanzia miaka 18 na kuendelea utachangia kidogo karibuni sana
Kwa mawasiliano №0624250426...
Shida ya umeme ilipofikia sasa mkoa wa mtwara si pazuri, leo ni siku ya nne umeme hauwaki mchana unawaka usiku tu, tena hiyo usiku unaweza kusema labda kaachiwa mtoto achezee kidogo umewaka kidogo umekata ili mradi kero tu, Tulitangaziwa kuwa umeletwa mtambo wa megawati 20 kumaliza tatizo mpka...
Shida ya umeme ilipofikia sasa mkoa wa mtwara si pazuri, leo ni siku ya nne umeme hauwaki mchana unawaka usiku tu, tena hiyo usiku unaweza kusema labda kaachiwa mtoto achezee kidogo umewaka kidogo umekata ili mradi kero tu.
Tulitangaziwa kuwa umeletwa mtambo wa megawati 20 kumaliza tatizo mpaka...
Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limetoa taarifa kwa Wateja wake kuwa kumetokea hitilafu kwenye mfumo wa Gridi ya Taifa majira ya 08: 40 usiku May 04 20224 na kusababisha kukosekana kwa huduma ya umeme kwenye baadhi ya maeneo iliyounganishwa na Gridi hiyo.
TANESCO wanasema Juhudi za...
Je, ulipo kuna umeme?
Umeme umekatika saa 8 na dk 39 usiku huu na watu wengi sana wanasema makwao hakuna umeme
Tusubirie walete zile ngonjera za hitilafu kwenye grid hili shida halina staha kabisa tena limekosa haya na stara ya kuitwa shirika.
Ni uhayawani wa hali ya juu na umajinuni mkubwa...
Tunapozungumza leo, uwekezaji uliopo nchini wa viwanda na migodi (Mfano Mgodi wa Geita kwa siku moja unatumia umeme wa Mkoa mzima wa Njombe, huo ni mgodi mmoja tu je tuna migodi mingapi?, hapo hatujazungumzia Viwanda na matumizi binafsi).Vilevile namna serikali ilivyosambaza kwa ukubwa Umeme...
Nimechangia Bungeni namna mahitaji na matumizi ya Umeme yalivyoongezeka nchini, wakati TANESCO inaanzishwa idadi ya watu ilikuwa ndogo, usambazaji wa umeme ulikuwa kwa kiwango kidogo.
Tunapozungumza leo, uwekezaji uliopo nchini wa viwanda na migodi (Mfano Mgodi wa Geita kwa siku moja unatumia...
Kama ilivyo ada neno miundombinu haliwezi kuwa geni sana kwenye maskio ya watu. Miundombinu ni zile rasilimali ambazo zinapatikana nchini kwa lengo la kuwasaidia wananchi katika kaisha yao.
Mfano wa miundombinu ni kama barabara, shule, vituo vya afya nk. Ningependa kueleza ni kwa namna gani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.