Mhandisi Mzalendo JF-Expert Member Aug 23, 2010 6,316 10,402 May 4, 2024 #2 Nasimama na kijana unit 13 zinatosha kwa taa.
Faana JF-Expert Member Dec 12, 2011 32,353 34,114 May 4, 2024 #3 Kiswahili lugha yangu tamu kama ziwa la mama unakwenda wapi wakati dunia imeanza kukutamani?
CriSanToS JF-Expert Member Feb 16, 2024 735 1,864 May 4, 2024 #4 "Kijana sijui hunatafuta nini humekaa kwenye hichi chumba. " Mama atakuwa mkabila gani huyo????
Sakasaka Mao JF-Expert Member Sep 29, 2016 10,352 12,545 May 4, 2024 #5 Mjanja M1 said: View attachment 2980452 Click to expand... Mama mwenye nyumba kabila lake kanda pendwa nini? 'Hu' kazitumia kijinga jinga sana katika kujenga hoja zake. Inaonekana gharama za matumizi ya umeme kazipandisha juu kwa juu bila ya kumshirikisha mpangaji wake ambaye mwanzoni inaonekana walikubaliana elfu5! Tatizo hili la kudharau wapangaji wanalo wenye nyumba wengi sana.
Mjanja M1 said: View attachment 2980452 Click to expand... Mama mwenye nyumba kabila lake kanda pendwa nini? 'Hu' kazitumia kijinga jinga sana katika kujenga hoja zake. Inaonekana gharama za matumizi ya umeme kazipandisha juu kwa juu bila ya kumshirikisha mpangaji wake ambaye mwanzoni inaonekana walikubaliana elfu5! Tatizo hili la kudharau wapangaji wanalo wenye nyumba wengi sana.
fundi bishoo JF-Expert Member Jun 26, 2018 13,336 23,381 May 4, 2024 #6 CriSanToS said: "Kijana sijui hunatafuta nini humekaa kwenye hichi chumba. " Mama atakuwa mkabila gani huyo???? Click to expand... labda mama mwenye nyumba ni muhabeshii
CriSanToS said: "Kijana sijui hunatafuta nini humekaa kwenye hichi chumba. " Mama atakuwa mkabila gani huyo???? Click to expand... labda mama mwenye nyumba ni muhabeshii
P Perth Member Feb 11, 2024 63 99 May 4, 2024 #7 Amuwekee mita yake,mambo ya dar kushare umeme hapana jameni,kila mtu ajilipie umeme wake.