Timu ya mkoa wa Arusha ina kikosi cha maangamizi, mshambuliaji Mrisho Gambo, huku mkabaji ni Paulo Makonda.
Timu imekamilika haswa, wadudu wote wa Arusha wametulia.Sasa kuna sehemu moja tu inahitaji marekebisho ambayo ni sehemu ya mshambuliaji, inamhitaji Lengai Ole Sabaya akasimame pale juu...
Habari,
Muda mfupi uliopita DC MASWA amewaagiza askari wa uhamiaji kumkamata Baraka Kabezi na familia yake yote mkazi wa Marampaka Maswa kuwa siyo raia wa Tanzania na hivi sasa anashikiliwa na ofisi za uhamiaji Maswa.
Chanzo ni mgogoro wa ardhi baina ya Baraka na Diwani wa eneo hilo na DC wa...
Tumeamka asubuhi na makelele ya loudspeaker: "Mkuu wa mkoa wa Mara anafika Butiama leo, ndio mara yake ya kwanza kuja hapa toka alipoteuliwa na Dakta Samia, mama wa shoka............."
Nasema "naye", maana yake kama Makonda. Alikuwa anasikiliza kero za wananchi: ugomvi wa viwanja, matatizo ya...
Rais hakukosea kumteua Paul Makonda. Wengi wa wanaomchukia Makonda ni wale waliozoea blabla, shingwini shingwini na kona kona.
* Makonda akiagiza Ofisa kupaza sauti kwenye kisemeo - waovu eti ananyanyasa!
* Makonda akisimamisha watumishi kwa tuhuma kadhaa ili wapishe uchunguzi - waovu eti haki...
Habari wakuu,
RC Makonda leo kampandisha cheo afisa mtendaji kuwa msaidizi wa mkuu wa mkoa papo hapo baada ya kumona anajua na kuelezea vizuri kero za wananchi wake
Afisa kala shavu ofisi ya mkuu wa mkoa, na kesho ana ripoti ofisi ya mkuu wa mkoa.
Swali langu atafanya kazi kama nani pale na...
Nawashauri sana viongozi wa serikali, mimi ninaishi Songea, ninasoma mitandao ya kijamii lakini nasikiliza maoni ya watu mitaani, vijiweni na hata kwenye viwanja vya mpira.
Paul Makonda anapendwa sana kwa namna anavyotumia kipawa chake kutatua kero za wananchi, kwa namna anavyosikiliza na...
Hii ni makala maalumu kwa ajili ya kuweka fursa adhimu zilizopo kwenye mikoa yote iliyopo Tanzania. Zipo fursa ambazo zinajulikana na kila mtu, ila hapa napendekeza tuorodheshe fursa mbalimbali ambazo tuna uhakika wageni katika eneo hilo hawazijui.
Zipo fursa zilizojificha ndani ya fursa...
Nilifuatilia vita dhidi ya matapeli wa ardhi Morogoro, nikagundua wote wana hati za ofisi za ardhi Morogoro, Jerry, fumua hiyo ofisi ya ardhi Mkoa na Manispaa ya Morogoro, bila kuibomoa hiyo ofisi, ni kilio tu Morogoro. Fuatilia hati za Mkundi, au itisha mkutano wa hadhara, asilimia kubwa...
Hizi taasisi za serikali haziko kutatua matatizo ya watanzania, ukitoka Arusha kuelekea Moshi kuna vituo vikubwa km Tengeru, Leganga, Usa-River, Maji ya Chai, Maroroni, Kikatiti. Shida kutoka Maroroni mpk Kikatiti ni zaidi ya kilomita 15 hakuna kituo. Kwanini TANROADS msijenge kituo pale shule...
Wadau hamjamboni nyote
Mheshimiwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda anaelekea Wilaya ya Longido katika ziara ya kukagua miradi mbalimbali ya maendeleo na kusikiliza kero za wananchi.
Ziara hiyo ya siku sita imeanza leo Mei 23 na itamalizika Mei 30, 2024.
Viva Paul Makonda
Wadau hamjamboni nyote?
Napendekeza Mkoa mmoja upewe jina la Mama Samia ikiwa ni njia ya kumuenzi & kumpa hamasa azidi kuchapa kazi Kwa nguvu kubwa kwa maslahi mapana ya Watanzania.
Mama huyu aliye jemedari mahiri amefanya makubwa yenye manufaa
Ndiye mwanamke pekee aliyewahi kuongoza Jamhuri...
KITUO CHA MABASI MWENGE
Kipo chini ya manispaa ya Kinondoni
Ujenzi ulianza 1/7/2019 mpaka 30/11/2023
Ufadhili:fedha za ndani
Kitahudumuia : Daladala 100 na Bajaji 60 kwa wakati mmoja.
Gharama ya ujenzi : Billioni 15
Hongera sana Manispaa ya Kinondoni ,mmeonesha uthubutu.
STENDI YA MABASI YA...
Kamanda ambaye hakuna Mechi ya NBC Premier League iwe Kwa Mkapa au Chamazi anakosa sasa huo Utendaji wake hadi kufikia nae kupewa hiyo Nishani jana na IGP Wambura ni upi? Kama kuna Makamanda ambao nawakubali hasa Kiutendaji wao basi wale wa Tabora, Kigoma, Arusha, Rukwa, Morogoro, Lindi na Kwetu...
Future wife ni mjasiriamali mzuri ila mkoa ninapofanyia kazi hakuna mishe mishe mzunguko mdogo watu wengi hawana kazi so wamekalia majungu sana na usengenyaji nilichofikiria ni kupanga maghetto mawili moja mkoa mwingine akae mke so nachokifanya ni kila ijumaa mchana namfuata mke tunakaa wote...
Uwekaji wa jiwe la Msingi katika Ofisi ya Kamanda wa Polisi Mkoa wa Manyara.
Ujenzi wa ofisi hii hadi kukamilika kwake kutagharimu kiasi cha zaidi ya Shilingi Bilioni moja , ikiwa hadi sasa immeshagharimu kiasi cha Shilingi milioni 800,000,000 zimekwisha kutolewa kwa ajili ya ujenzi.Haya ni...
Baada ya Serikali kupitia pesa za walipa kodi kuweza kujenga stand kubwa ya mabus ya magufuli mbezi mwisho, na pia Serikali tumehamua kwa makusudi shughuli zote za mabus na abiria kuruhusu zifanyike Urafiki/shekilango, ifike hatua sasa tubadilishe matumizi ya Stand ya Bus na iwe Soko, eneo la...
Nadhani kila Mkoa nchini Tanzania una alama yake au kitu fulani maarufu sana kinachutambulisha Mkoa bila hata kuambiwa ukiona unajua tu hii kitu ya mkoa fulani.
Twende kazi wadau, nini kinautambulisha mkoa wako?
📌Kituo cha Afya Kinyerezi
🗒️15/5/2024
Mwenyekiti Uwt Mkoa Dar es salaam Mwajabu Rajabu Mbwambo ameungana na Shirika lisilo la kiserikali TAHECO linalojishughulisha na masuala ya Afya na Mazingira chini ya mkurugenzi wake Shabani Maliyatabu na baadhi ya viongozi wa serikali za mitaa, chama na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.