kituo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Son of the universe

    SoC04 Itungwe sheria ya kila nyumba ya ibada kuwa na kituo cha kulea watu wenye mahitaji maalum kama yatima, wazee na walemavu

    Nyumba za ibada kwa maana ya makanisa na misikiti ni sehemu ambazo waumini wa dini kuu mbili yaani wakristo na waislamu hukutana katika siku zao maalumu kwa ajili ya kufanya ibada na mikusanyiko mingine. Kwa kipindi kirefu nyumba hizi zimekuwa na mchango mkubwa katika jamii kwa kushiriki moja...
  2. ngara23

    Hivi kituo cha sheria na haki za binadamu(LHRC), kinawatetea tu wanawake

    Nashangazwa na utendaji kazi wa taasisi hii (LHRC) Huwa wanaibuka pale anapoguswa mwanamke lakini kati hutawaona mwanamke akidhalilisha mwanaume. Sasa wanamwandama makonda , Jana walimwandama Ngosha wa Goba, juzi wakamwanda Oscar Oscar. Lakini hawakujikutokeza kumuonya Christina Shusho...
  3. S

    TANROADS Mkoa wa Arusha jengeni kituo Maroroni kwa Pallangyo

    Hizi taasisi za serikali haziko kutatua matatizo ya watanzania, ukitoka Arusha kuelekea Moshi kuna vituo vikubwa km Tengeru, Leganga, Usa-River, Maji ya Chai, Maroroni, Kikatiti. Shida kutoka Maroroni mpk Kikatiti ni zaidi ya kilomita 15 hakuna kituo. Kwanini TANROADS msijenge kituo pale shule...
  4. Elli

    Ongezeko la kuvunjika Ndoa, natoa RAI kituo Jumuishi cha Taifa cha Familia - Temeke kichunguzwe

    Sipingi Watu kutengana kwa kukubaliana kutokukubaliana, LAKINI inafikirisha zaidi pale unapogundua kuwa "kuachanishwa" kwenu kulikua na nguvu flani nyuma yake. Katika pita pita Zangu mara kadhaa nimeona kituo hiki kikitajwa kuwa na "Vishoka" kama ilivyo sehemu nyingine kama TANESCO ambao...
  5. Northern Lights

    Kituo cha maziwa Kiluvya (ufugaji wa ng'ombe)

    Hello farmers, Nimesikia pale Kiluvya kuna kituo cha maziwa, ningependa anayepafahamu ashee ni maeneo gani na mmiliki ni nani. Nataka kuanza kufuga kwa ajili ya maziwa kwa hiyo nataman kujifunza zaidi. Yeyote pia anayefuga kibiashara naomba kujifunza shambani kwako. Shukrani
  6. M

    SoC04 Kuwepo mfumo mmoja wa kuhifadhi na kutuma taarifa za wagonjwa wanapotoka kituo kimoja cha kutolea huduma na kupewa rufaa ya kwenda kituo kingine

    Huduma za afya katika nchi yoyote hutolewa kwa kuzingatia madaraja mbalimbali ya vituo vya kutolea huduma. Hii Ina maana kuwa kuna baadhi ya magonjwa au maradhi ambayo huweza kutibiwa kwenye ngazi za msingi za utoaji wa huduma za afya kama vile zahanati na vituo vya afya huku magonjwa mengine...
  7. greater than

    Kituo cha Mabasi Mwenge na Stendi ya Mabasi ya Mkoa Arusha

    KITUO CHA MABASI MWENGE Kipo chini ya manispaa ya Kinondoni Ujenzi ulianza 1/7/2019 mpaka 30/11/2023 Ufadhili:fedha za ndani Kitahudumuia : Daladala 100 na Bajaji 60 kwa wakati mmoja. Gharama ya ujenzi : Billioni 15 Hongera sana Manispaa ya Kinondoni ,mmeonesha uthubutu. STENDI YA MABASI YA...
  8. Mjukuu wa kigogo

    Ngoja tu nipitilize kituo

    Ilikuwa nishuke kituo A ila hakuna tatizo hata nikishukua kituo B au C
  9. Stephano Mgendanyi

    Mwenyekiti UWT Mkoa wa Dar, Cde. Mwajabu Mbwambo Ashiriki Maadhimisho ya Siku ya Familia Duniani Kituo cha Afya Kinyerezi

    📌Kituo cha Afya Kinyerezi 🗒️15/5/2024 Mwenyekiti Uwt Mkoa Dar es salaam Mwajabu Rajabu Mbwambo ameungana na Shirika lisilo la kiserikali TAHECO linalojishughulisha na masuala ya Afya na Mazingira chini ya mkurugenzi wake Shabani Maliyatabu na baadhi ya viongozi wa serikali za mitaa, chama na...
  10. Stephano Mgendanyi

    Ziara ya Juliana Shonza Katika Kituo cha Afya cha Tunduma

    Ziara ya Juliana Shonza Katika Kituo cha Afya cha Tunduma Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Songwe, Mhe. Juliana Daniel Shonza ametembelea Kituo cha Afya Tunduma kwa lengo la kukagua mazingira ya utoaji huduma na kuwajulia hali wanawake waliojifungua pamoja na watoto wachanga waliozaliwa Katika...
  11. MK254

    Magaidi wenye mlengo wa kiislamu wachinja watu kwenye kituo cha afya DRC

    Huyu 'mungu' wao anapenda damu sana.... At least eight civilians died on Thursday in an attack on a health centre in eastern Democratic Republic of Congo, according to media reports that cited locals. The attack was carried out in DRC's North Kivu Province. Locals said the attack was carried...
  12. mkalamo

    Kapteni Sunita Williams na Butch Wilmore waelekea kwenye kituo cha Kimataifa cha Anga(ISS)

    Mwanaanga mwenye asili ya India, Kapteni Sunita Williams na mwenzake mzoefu wa NASA, Butch Wilmore, wako tayari kuruka kuingia kwenye Kituo cha Kimataifa cha Anga (ISS) kwa spacecraft mpya kabisa, Boeing Starliner siku ya Jumatatu. Waili hao watatua angani kutoka Kituo cha Nguvu cha Anga cha...
  13. Roving Journalist

    Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC) kinara Tuzo ya Taasisi Bora ya Uwekezaji Afrika

    Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji, Dkt. Tausi Kida amepokea Tuzo ya Taasisi Bora ya Uwekezaji Afrika iliyokwenda Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC) kwa niaba ya Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji, Prof. Kitila Mkumbo (Mb), Mei 8, Abu Dhabi. Akizungumza na Vyombo...
  14. Baba Kisarii

    Ulishawahi kulazwa kituo cha polisi na mkeo?

    Niliwekwa ndani na mke wangu baada ya mimi kugoma kutoa mchango wa kumdhamini kaka yake aliyekamatwa na pembe za ndovu. Zilitakiwa milioni 5 kumdhamini kaka wa mke wangu, ndugu zake walijikusanya wakachanga milioni 3. Zile mbili zilizopungua mke wangu alikuja kuniomba nitoe hizo hela ili...
  15. Webabu

    Kwa Israel kukishikilia kituo cha mpaka cha Rafah ndio imekamilisha kampeni yake ya kutumia chakula kama silaha ya vita

    Alfajiri ya kuamkia leo jeshi la Israel kwa kutumia vifaru na mashambulizi ya anga wamefanikiwa kufikia kituo cha mpaka wa Gaza na Misri na kukishikilia kituo hicho kutokea upande wa Gaza. Mara baada ya kufanikiwa kukishika kituo hicho jeshi la Israel limezuia uingizwaji wa misaada ndani ya...
  16. Roving Journalist

    Polisi yawashukuru Wananchi waliofanya maboresho ujenzi wa Kituo cha Polisi

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha limesema litaendelea kuwashukuru wananchi wanaoendelea kushiriki katika jitihada za Serikali katika kuboresha mazingira bora na yakisasa katika vituo vya Polisi Mkoani humo huku likibainisha kuwa litaendelea kutoa huduma bora na za kisasa kwa wananchi Hayo...
  17. TODAYS

    Nigeria: Wafungwa wapatao 100 watoroka baada ya gereza kuanguka kwa mvua kubwa

    Taharuki nchi nzima, watu wanapiga simu kuuliza ndugu zao kama wamepona kutokana na kuanguka kwa ukuta wa gereza. Ila hawa jamaa wa TBC Digital wakazusha taharuki kubwa kuweka picha ya uongo wa tukio. Angalia hiki kituko hapa. --- More than 100 inmates have escaped from a prison in Nigeria...
  18. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Dkt. Christina Mnzava atembelea Kituo cha Afya cha Ushetu, Kahama

    Mbunge Dkt. Christina Mnzava Atembelea Kituo cha Afya cha Ushetu, Kahama Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Shinyanga, Mhe. Dkt. Christina Mnzava ametembelea Kituo cha Afya cha Ushetu, Kahama-Shinyanga na kukagua utekelezaji wa Ilani katika Kituo cha Afya Ushetu. Vilevile, Mhe. Dkt. Christina...
  19. Erythrocyte

    Boniface Jackob afika kituo cha Polisi cha Oysterbay ili akamatwe kama alivyoagiza RPC

    Meya huyo wa Zamani wa Kinondoni na Ubungo ameongozana na Wakili wake Hekima Mwasipu. Boniface Jacob ambaye ni Mwanachama wa Chadema amefikia kwenye kituo cha polisi cha Oysterbay akiwa sambamba na wakili wake Hekima Mwasipu, ikiwa ni siku chache toka kamanda wa polisi kanda maalumu ya Dar es...
Back
Top Bottom