Kwa Israel kukishikilia kituo cha mpaka cha Rafah ndio imekamilisha kampeni yake ya kutumia chakula kama silaha ya vita

Webabu

JF-Expert Member
Apr 29, 2010
7,453
11,427
Alfajiri ya kuamkia leo jeshi la Israel kwa kutumia vifaru na mashambulizi ya anga wamefanikiwa kufikia kituo cha mpaka wa Gaza na Misri na kukishikilia kituo hicho kutokea upande wa Gaza.

Mara baada ya kufanikiwa kukishika kituo hicho jeshi la Israel limezuia uingizwaji wa misaada ndani ya Gaza ikitoa visingizio kuwa ina taarifa ya kutumiwa kituo hicho kwa vitendo vya kigaidi.

Kwa sasa njia zote za ardhini za kuingia Gaza ambazo huwa zinatumiwa na mashirika ya misaada kuwafikishiwa wapalestina chakula na mahitaji mengine zitakuwa zinashikiliwa na jeshi hilo la Israel

Upande wa kaskazini ya Gaza eneo la Erez kwa muda mrefu limekuwa likishikiliwa na jeshi hilo ambapo kiasi kinachoruhusiwa ni kile cha kuwafanya wakazi wa eneo hilo wasife tu kwa njaa lakini wasishibe na kuishi kama binadamu wengine.

Umoja wa mataifa na mashirika mengi ya misaada yamekuwa yakiilalamikia Israel kuwa kiasi wanachoruhusu kuingia Gaza ni kama tone tu la mahitaji kwenye bahari.Hata hivyo lawama hizo hazijaifanya Israel kulegeza kamba
 
Upande wa kaskazini ya Gaza eneo la Erez kwa muda mrefu limekuwa likishikiliwa na jeshi hilo ambapo kiasi kinachoruhusiwa ni kile cha kuwafanya wakazi wa eneo hilo wasife tu kwa njaa lakini wasishibe na kuishi kwa binadamu wengine.
Umoja wa mataifa na mashirika mengi ya misaada yamekuwa yakiilalamikia Israel kuwa kiasi wanachoruhusu kuingia Gaza ni kama tone tu la mahitaji kwenye bahari.Hata hivyo lawama hizo hazijaifanya Israel kulegeza kamba
Wasijali wapalestina. Allah mwenyewe huruma muweza wa yote atawashushia chakula na maji na kuliteketeza na kuifuta taifa ovu la Israel kwenye ramani ya dunia.
 
Amin kwa dua yako.
Na hata wasipoteremshiwa chakula kutoka mbinguni Allah atashukuriwa akiwaangamiza mayahudi na wapalestina waendelee kutumia ardhi zao kulima na kujipatia mahitaji kama binadamu wengine.Kwa Allah hilo ni jepesi sana.
 
Alfajiri ya kuamkia leo jeshi la Israel kwa kutumia vifaru na mashambulizi ya anga wamefanikiwa kufikia kituo cha mpaka wa Gaza na Misri na kukishikilia kituo hicho kutokea upande wa Gaza.

Mara baada ya kufanikiwa kukishika kituo hicho jeshi la Israel limezuia uingizwaji wa misaada ndani ya Gaza ikitoa visingizio kuwa ina taarifa ya kutumiwa kituo hicho kwa vitendo vya kigaidi.

Kwa sasa njia zote za ardhini za kuingia Gaza ambazo huwa zinatumiwa na mashirika ya misaada kuwafikishiwa wapalestina chakula na mahitaji mengine zitakuwa zinashikiliwa na jeshi hilo la Israel

Upande wa kaskazini ya Gaza eneo la Erez kwa muda mrefu limekuwa likishikiliwa na jeshi hilo ambapo kiasi kinachoruhusiwa ni kile cha kuwafanya wakazi wa eneo hilo wasife tu kwa njaa lakini wasishibe na kuishi kama binadamu wengine.

Umoja wa mataifa na mashirika mengi ya misaada yamekuwa yakiilalamikia Israel kuwa kiasi wanachoruhusu kuingia Gaza ni kama tone tu la mahitaji kwenye bahari.Hata hivyo lawama hizo hazijaifanya Israel kulegeza kamba
Nyie si mmesema mzee Neta kasalimu amri,au wewe si ndugu wa Ritz katika Imaan?
 
Mshaleta Udini hapa,Vita ikiingia Tz watu watauana via Au sana sababu ya udini nawaambia.
 
Alfajiri ya kuamkia leo jeshi la Israel kwa kutumia vifaru na mashambulizi ya anga wamefanikiwa kufikia kituo cha mpaka wa Gaza na Misri na kukishikilia kituo hicho kutokea upande wa Gaza.

Mara baada ya kufanikiwa kukishika kituo hicho jeshi la Israel limezuia uingizwaji wa misaada ndani ya Gaza ikitoa visingizio kuwa ina taarifa ya kutumiwa kituo hicho kwa vitendo vya kigaidi.

Kwa sasa njia zote za ardhini za kuingia Gaza ambazo huwa zinatumiwa na mashirika ya misaada kuwafikishiwa wapalestina chakula na mahitaji mengine zitakuwa zinashikiliwa na jeshi hilo la Israel

Upande wa kaskazini ya Gaza eneo la Erez kwa muda mrefu limekuwa likishikiliwa na jeshi hilo ambapo kiasi kinachoruhusiwa ni kile cha kuwafanya wakazi wa eneo hilo wasife tu kwa njaa lakini wasishibe na kuishi kama binadamu wengine.

Umoja wa mataifa na mashirika mengi ya misaada yamekuwa yakiilalamikia Israel kuwa kiasi wanachoruhusu kuingia Gaza ni kama tone tu la mahitaji kwenye bahari.Hata hivyo lawama hizo hazijaifanya Israel kulegeza kamba
Yaan mpaka huruma kwa Hawa ma Hamas yaani wanatainiwa bila carricullum Wala syllabus
 
dogo we fatilia story vizuri kila taifa linalo fanya uharibufu duniani na udhulumaji huo ndio linaga dunia.

Israel siku zake zimefika we baki oh taifa la Mungu, sa hilo taifa limefika mwisho wake sijui wakristo mtatufulia taifa lingine la Mungu lipi bada ya hilo.
 
Ila Waislam wanasemaga wakifa wanaenda pepopi, sasa wanalamika ninj
Tatizo la vichaa mnadhani wakati wakufa wengine wanaona .akao ya wenzao wako wapi, au wakristo nyie.mnawaona wakristo wenzenu wako peponi 😄

Hayo we muombe Mungu ufe upo kwenye ukristo afu ukifika kaburini tupigie call kama umeokolewa na Yesu 😄
 
Umekuwa brainwashed vibaya sana
 
dogo we fatilia story vizuri kila taifa linalo fanya uharibufu duniani na udhulumaji huo ndio linaga dunia.

Israel siku zake zimefika we baki oh taifa la Mungu, sa hilo taifa limefika mwisho wake sijui wakristo mtatufulia taifa lingine la Mungu lipi bada ya hilo.
October 7 si mlishangilia mauaji ya wayahudi 1300 na 230 kuchukuliwa mateka sasa mwisho wa israel wa nini? Wakati mliwachokoza wenyewe na Benjamin netanyahuu likifika swala la usalama wa israel huwa hacheki na kima
 
Back
Top Bottom