basi

  1. D

    Hivi Mungu amemshindwa shetani kabisa? Basi shetani tumpe maua yake

    Haiwezekani mbinguni au katika ulimwengu tusiojua wanaishi viumbe wawili wanaoogopana. Sasa tutajua nani mwenye nguvu? Inasemekana shetani ni mbaya kama tulivyokalilishwa na Mungu lakini inakuwaje Mungu ashindwe kumuangamiza kama kweli Mungu hashindwi chochote? Hata wachungaji/mapadre wenyewe...
  2. Eli Cohen

    Kama Kompany ameweza kuwa kocha wa Bayern basi tambua hata wewe una nafasi ya kufikia malengo yako tu kwa viwango usivyotarajia

    We pambana pambana tu, mishe huzaa mishe nyingine kukuletea mishe nyigine kutoka katika mishe nyingine.
  3. Chakaza

    Kama CCM imeshindwa na Makonda kaweza, CCM ya Nini tena?

    Nimeona madudu yanayoibuliwa na Makonda na kushangiliwa sana na watu wa CCM wakiona kama Makonda ndiye CCM na taasisi na wengine wote ni Chauma au UDP. Labda niwakumbushe watu wa Arusha, haya anayo yaibua Makonda ndiyo madhaifu ya serikali ya CCM. Rushwa, ubadhilifu, kunyima haki raia, matumizi...
  4. Kabende Msakila

    Sitamani Ukuu wa Mkoa - ikitokea nikawa basi ukali wangu ni zaidi ya Paul Makonda

    Rais hakukosea kumteua Paul Makonda. Wengi wa wanaomchukia Makonda ni wale waliozoea blabla, shingwini shingwini na kona kona. * Makonda akiagiza Ofisa kupaza sauti kwenye kisemeo - waovu eti ananyanyasa! * Makonda akisimamisha watumishi kwa tuhuma kadhaa ili wapishe uchunguzi - waovu eti haki...
  5. Tlaatlaah

    Wanasiasa wa Upinzani, jiandaeni basi walau hata kuwa Kambi Rasmi ya Upinzani

    kiujumla, upinzani umekata tamaa kabisa, licha ya ukweli kwamba ukata wa fedha za kufanya mikutano ya hadhara, umekita mizizi kwenye vyama vyao. hakuna uhakika wa chochote katika chaguzi zijazo, licha ya kwamba mazingira sawa ya kufanya siasa yamewekwa na serikali iliyopo madarakani.🐒...
  6. D

    Kama una Mume asiyechepuka, basi ana mojawapo kati ya sababu hizi

    1) Hana pesa 2) Ni Mwenye hofu ya Mungu. 3) Ni mgonjwa. Nje ya hapo, bakora ni lazima😜😜
  7. Nehemia Kilave

    Kuna haja ya sheria ya Ndoa kufanyiwa maboresho, watu wakizaa pamoja basi ihesabike ni Ndoa halali

    Ni hayo tu , haiwezekani unazalisha mwingine unakwenda oa mwingine kisa hampendani au kuendana au una zaa na mwingine kirahisi tu unakwenda olewa na mwingine. AU huoi kabisa Haya maumivu ya kisaikolojia wanayosababishiana watu hayana afya kwa jamii
  8. Seif Mselem

    ⚠️Kama Wewe ni SOCIAL MEDIA MANAGER na Umekosa KAZI za Kufanya Basi Fanya Hivi…

    1). Tafuta Biashara kubwa ambazo Zinataka Kukuza Uwepo wake Mtandaoni. 2). Ongea na Biashara nyingi kadri Utakavyoweza ili Uweze Kupata Biashara 4 au 5 za Uhakika. (Nitakwambia Kwanini Biashara 4 au 5) 3). Wakati Unaongea nao Mmoja Mmoja Wape hii OFA Hapa Chini… Mwambie Mimi Nataka...
  9. D

    Simba ndio basi tena?

    Nafasi ya pili hiyoo inayeyuka! Kwa msimamo wa ligi ulivyo Sasa, ndio kusema Ili Simba iwe nafasi ya pili basi mechi yake ijayo na JKT, ifunge bao 10 bila majibu. Wakati huo huo na Azam ishinde kwa bao Moja tu dhidi ya Geita. Sijui, ila labda kwa Simba hii ya Mgunda na Ahmed Ally, miujiza hii...
  10. GENTAMYCINE

    Siku hizi naogopa sana Wanasiasa Wakongwe wanaozindua Vitabu vyao, kwani wengi Wao wakishazindua tu basi Huaga dunia ndani ya muda mfupi

    Wengi mnamfahamu Mzee Yussuf Makamba kwa misemo na nukuu zake za vitabu, ni miongoni mwa wanasiasa mashuhuri nchini na amewahi kuhudumu nyadhifa tofauti ikiwemo kuwa katibu mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Mzee Makamba ambaye kwa sasa amejikita katika uandishi wa vitabu amekuja na kitabu chake kipya...
  11. Excel

    Ajabu sana: Dereva wa basi ahatarisha maisha ya watu 60 kwa kuikwepa bajaj yenye watu watano

    #HABARI Abiria waliokuwa wakisafiri kutoka Dar es salaam kwenda Dodoma kwa kutumia basi la Kampuni ya Shabiby namba T 341 EEU, wamenusurika kifo baada ya basi hilo kuanguka katika eneo la Kihonda Manispaa ya Morogoro na kujeruhi abiria kadhaa. Kwa mujibu wa mashuhuda wa ajali hiyo wanasema...
  12. G

    Yanga kutumia helikopta na basi la kisasa zaidi kwenye Parade

    “Helikopta ya parade la ubingwa itaanza safari yake majira ya saa nne asubuhi ikiwa imebeba kombe, itapita maeneo mbalimbali jiji la Dar Es Salaam. Tumempa Rubani maelekezo kuna maeneo akifika pale Kariakoo, aishushe chini kidogo ili kila mtu ashuhudie parade la angani. Baadae mchana Helikopta...
  13. Forrest Gump

    Tambua kuna watu basi tu wana bahati nzuri na wengine wana bahati mbaya

    Some people are just lucky sio kwamba eti wametoka kwenye familia tajiri au yenye kusapotiana au nchi iliondelea au labda ni juhudi zao, hapana au ni wezo mkubwa wa kiakili, ni basi tu kila wanacho fanya hawakitolei machozi, jasho na damu kama wewe. Wanaokuambia eti Hardwork beats Luck ni njia...
  14. Seif Mselem

    Kama ningekuwa naanza kujifunza kitu chochote kile basi ningeanza kwanza kujifunza hivi vitu vitatu (3) hapa...!

    PS: Sio Copywriting, Sales, Content Marketing, Freelancing, Affiliate Marketing, Forex, Crypto, Graphic Design wala Coding! 1). Ningejifunza Kuhusu…MINDSET! Kwanini? Hakuna kitu kina SHAPE Tabia ya mtu kama vile…“BELIEVE SYSTEM”. Imani ndio Inafanya watu Waabudu SANAMU na MIBUYU na Imani...
  15. Mnyunguli

    Kama unahangaika kuwapata watu wenye uhitaji ili upate baraka/twawabu basi fika vyuoni hasa vyuo vikuu vya serikali

    Naandika haya nikiwa jikoni kabisa.Nimelia sana kwa maneno ya wabunge wanaokula posho za bure kwa kugonga meza na kudharau wanazuoni. Jamani kuna kundi kubwa sana la wanafunzi wa vyuo ndoto zao zinaisha njiani na kufa kabisa kwa sababu za ada,watu wanakosa malazi,watu wanapitia msoto mkali...
  16. ndege JOHN

    Ndege JOHN nakupa mchongo uufanyie kazi, deal na breakfast ya vyakula vya asili

    Anzisha mgahawa weka wafanyakazi wawili tafuta eneo zuri deal na breakfast ya vyakula vya asili tu. Nunua sahani 20 za udongo na Uma 20 na vijiko 20 na sufuria 5. Mazingira yawe masafi yenye maji ya kutosha na yanayovutia bila kusahau jiko kubwa la gas na friji liwepo. Asubuhi nenda sokoni...
  17. Ncha Kali

    Sababu ya wapenzi wapya kufurahiana na kuongea sana ni kwa kuwa hamjuani sana, mkishazoena na kujuana basi stori zinaisha.

    Isa wikendi, yeesi iliiiiziiii. Hii saikolojia iliyothibitishwa. Kitu chochote ukishakijua sana huendelei kukidadisi, unakuwa unajua ukianza hivi kitatokea hivi ama vile. Hata kwa wapenzi ni hivyo hivyo, hakuna tofauti ya kweli kivile. Wengine huenda mbali zaidi kiasi cha kuwachukia wenzi wao...
  18. mjizu123

    Upigaji Punyeto: Zijue hasara/ madhara pamoja na njia sahihi za kuacha tabia hii

    Punyeto/kujichua ni nini? Kufanya au kupiga punyeto, ni tendo la kutomasa sehemu zako mwenyewe za siri ili kujisisimua kimapenzi. Kwa hivyo katika kupiga punyeto hamna hofu ya kuambukizwa magonjwa yanayosambazwa kupitia ngono, kwani haimshirikishi mtu mwengine. Punyeto ni toshelezo kamili la...
  19. Webabu

    Haya ndiyo Hamas waliyokubali ili vita visimame.Na kama Israel itayakataa basi bora vita viendelee

    Msemaji wa Hamas,Osama bin Hamdan alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari mjini Beirut jana Jumanne, amesema iwapo Israel itaendelea kutoyazingatia mambo hayo na kuendelea na kuivamia Rafah basi hakuna namna nyengine ila ni kuendeleza vita. Walichokubali Hamas ni : 1 .Kuwepo usitishwaji...
  20. H

    Kinana, Kama uchaguzi sio tume, basi wapinzani wapewe nafasi ya kuunda tume ya uchaguzi

    Tumemsikia Kinana akisema uchaguzi sio tume, na kwamba hoja ya wapinzani kulilia tume huru haina mashiko. Kama Kinana na CCM wanaamini hivyo, embu wajaribu kuwapa fursa wapinzani kipindi hiki waunde tume ya uchaguzi. Kama watakuwa tayari kwa hili tutaamini kauli ya Kinana kuwa uchaguzi sio...
Back
Top Bottom