ajabu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. ndege JOHN

    Mwaka huu kutakuwa na njaa, heri ukose hela ila uwe na chakula ndani

    Chukua hii nakupa; japo hatupangiani maisha kila mtu anajua jinsi anavyoyaendesha ila kiukweli life ni gumu ndugu zangu na mwaka huu huku mashambani hali sio hali hasa Kwa upande wa zao la mahindi. Mikoa ambayo sio wazalishaji wakubwa wa chakula tumepata pata ila sio ya kuuza ni kwa ajili ya...
  2. Yoda

    Paredi la ubingwa Yanga na vibweka vyake

    1. Harmonize anaonyesha ishara za lugha za matusi hadharani hasa zikiwadhalilisha wanawake na mashabiki wanazishangalia, jambo la kushangaza mpaka sasa sio LHRC, TAMWA, BASATA, TFF au taasisi nyingine yoyote iliyokemea na kulaani vitendo hivyo. 2. Kingereza kibovu mno katika platform ambayo...
  3. O

    Stationery kukosa flash na usb ni ajabu

    Umeanzisha stationery machine zote muhimu unazo isipokiwa flash na usb Leo flash Hadi buku 5 unapata usb 1500 kwa 2000 Unajikuta unakosa jero ya wateja bure printer ya Epson 300-400k, photocopier ya canon 700-1000k na vikorokoro vingine unakosa usb na flash
  4. Excel

    Ajabu sana: Dereva wa basi ahatarisha maisha ya watu 60 kwa kuikwepa bajaj yenye watu watano

    #HABARI Abiria waliokuwa wakisafiri kutoka Dar es salaam kwenda Dodoma kwa kutumia basi la Kampuni ya Shabiby namba T 341 EEU, wamenusurika kifo baada ya basi hilo kuanguka katika eneo la Kihonda Manispaa ya Morogoro na kujeruhi abiria kadhaa. Kwa mujibu wa mashuhuda wa ajali hiyo wanasema...
  5. KENZY

    Nina rafiki wa ajabu sijapata kuona!

    Alikuja akaniazima ghetto,bila hiana nikamuazima alikuwa na pisi yake moja maridhawa! mtoto mchongoko,uno la kigoda ngozi nyepunyepu halafu kamdomo kale kakuombea miamala!.. ujinga wa huyu rafiki yangu upo hapa mfukoni alikuwa na vile vidonge vya pii two!,sasa baada yakumaliza mchezo...
  6. M

    Lissu alipaswa kuwajibika, ajabu anachangisha anunuliwe gari

    Chadema imepitisha watuhumiwa wa Rushwa kuwa wagombea wa Uwenyekiti wa kanda kwa mujibu wa tuhuma za Makamu Mwenyekiti wao Tundu Lissu REACTION ANAYETUHUMU WENGINE KWA RUSHWA ni kuomba anunuliwe gari.? Kama Tundu Lissu ni msafi why he still associated with the worst criminals waliopokea...
  7. Kinyungu

    Wanawake wana Ujasiri wa Ajabu sana!

    Shaquille O'nel na mpenzi wake mpya wa miaka 21 wakila raha Spain.... Hapa kuna mtu atapata murder case🤣🤣
  8. Masikio Masikio

    Kuna ndoto tatu niliota zilinistaajabisha sana

    Ndoto ya kwanza Niliota mimi flani nimezaliwa mwaka 1800's na ukijimlisha miaka 100 ni miaka ya 1900's ndo utapata mwaka niliozaliwa hii ndoto niliota kwa msisitizo mkubwa sana na ilinistaajabisha sana Ndoto ya pili Niliota niko sehemu ila kuna nyoka wengi wametapakaa kila mahali najaribu...
  9. N

    SoC04 Uwekezaji wa viwanda vya uzalishaji na utengenezaji simu ni muhimu kwa maendeleo ya Tanzania

    Utangulizi Zipo teknolojia nyingi sana ambazo ni kama zimetupita barani Afrika hususan nchi za Kusini mwa Jangwa la Sahara ikiwemo Taifa la Tanzania. Katika teknolojia hizi zilizotupita kidogo, ipo teknolojia ya kifaa cha ajabu ambayo hatupaswi tuendelee kuiacha itupite, na kifaa hiki si...
  10. M

    Tundu Lissu atahadharisha uchaguzi ndani ya chama kuingiliwa na fedha za Rais Samia na mwanae Abdul

    Kuna fedha za ajabu ndani ya Chadema ambazo chanzo chake hakijulikani. Hizi hela kama siyo za Abdul na mama yake, ni za nani? Kuna fedha za ajabu, Iringa, njombe na kwingineko. Pesa za Abdul na mamake zitatuangamiza. Chagueni viongozi ambao hawatatuangamiza. Kuweni macho na hizo pesa...
  11. mdukuzi

    Siku moja kabla ya kifo chake Mafisango aliteketeza milioni 10 kwa starehe,cha ajabu hakuwa amejenga kwao

    Marehemu asemwi vibaya ila huyu mwamba alinifurahisha sana. Mmoja kati ya viungo bora kabisa wa enzi zake,siku moja kabla ya kifo chake,Isnsil Aden Rage akimpatia milioni zaidi ya kumi kama sehemu ya ada ya usajili wake. Mafisango akaita marafiki zake wakaitumbua aswaa,ilikuwa ni kuhama bar tu...
  12. U

    Furaha yatawala Iran kuwashambulia Israel, tutegemee shinikizo kwa Israel kusitisha vita kipigo kikikolea?

    Ni Furaha na Shangwe zimetawala katika siku hii ya Leo iran ilipoishambulia Israel kwa makombora takribani 200 huku mengine 80 yakiongezwa, baadhi yametunguliwa na mifumo ya ulinzi baadhi yameweza kupiga target. Ni furaha kama ile ya 7 October mwaka jana Palestina ilipoishambulia Israel lakini...
  13. U

    Mauaji ya Kimbari hayaepukiki kujirudia, Kwa ukabila huu wa kundi dogo kuitawala Rwanda huku wakilitenga kundi kubwa si ajabu yakajirudia ya 1994

    Idadi / population ya warwanda Wahutu 85 % Watutsi 14 % Watwa 1%. Kwa hisoria fupi, mauaji ya Kimbari 1994 yalianza baada ya waasi wa kitutsi wakiongozwa na Kagame kulipua ndege aliyokuwemo Rais wa Rwanda mhutu (pia akiwemo rais wa Burundi mhutu), ndipo Wahutu wa Rwanda wakaamua kulipa kisasi...
  14. Ileje

    Lema awataja Mawaziri wanaomtukana Rais Samia

    Sikiliza hapa: Katika Mkutano huo wa Hadhara jijini Arusha Gobless Lema amedokeza kuwa wapo baadhi ya Viongozi wa Serikali wanamtulana Rais Samia. Akifafanua jambo hilo Lema anasema: "Natoa maelekezo kwa Viongozi wa Kanda na Makatibu Rais Samia yupo Arusha apewe Kadi ya CHADEMA. Anatukanwa...
  15. Mzee makoti

    Dunia ni ya ajabu sana

    As/aleikum wakuu Dunia ina mambo sana, kuna jamaa ametangaza kuuza nyumba yake kikawaida uku akimtegemea Mungu, imepita miaka ajaiuza, na nyumba ipo sehemu nzuri tu, akaona bora amtafuta mtaalamu anaemjua yeye, akaja akamfanyia ya uongo na kweli, akamuambia haidhidi wiki au mwez utaiuza, kwel...
  16. kyagata

    TTCL inadai Tsh Bilioni 21 ila haijui inayemdai

    Hawa watu sijui ni wanamdharau mama au ni nini hiki? Yani inawezekanaje usimjue mdeni wako? -- Ukaguzi wa CAG umebaini TTCL ina madeni makubwa ya TZS bilioni 21, lakini uongozi haukuweza kutambua wadaiwa husika. Shirika hilo limetoa pendekezo kwa bodi kufuta deni la bilioni 7.51.
  17. Makamura

    KERO Ving'ora na Plate Number zisizo rasmi vimekuwa kero Mitaani

    Hizi namba za 3D imekuwa Ghafla sana kung'olewa, na Jeshi la polisi limesimama imara katika Hili, Ombi langu kwa Jeshi la Polisi ni hili:- Namba za Ajabu Mtaani huku kuna namba nyingi ambazo sio rasmi, Nyeusi, Nyeupe na Njano hapo nyuma mlitoaga tamko lakini hizi namba bado zipo na hatujui...
  18. TODAYS

    Mliopo Dar es Salaam kuna kitu kinapita maeneo yenu angani

    Kuna kitu sijui naweza kusema ni nini, maana si ndege kwa muonekano wa taa ulivyokuwa mrefu, ila nimeshindwa kuelewa kwa sababu ya giza. Kimetokea uelekeo wa Bagamoyo kwenda kigamboni, mliopo huko hadi mbagara mnaweza kutujuza au anayeweza kuelewa ni kitu cha aina gani. Kwenye komenti No. #7...
  19. N

    Hii nchi ina mambo ya ajabu sana! Eti wanapima uzalendo kwa mtu kuteseka

    Kuna picha moja inatend ya mmoja wapo wa mtumishi wa Afya akiwa amebeba vaccine carrier kwa maana chanjo akivuka mto kwenda kutoa chanjo. Ile picha imenifikirisha sana kwanza yule mtumishi wa Afya ni mpumbavu,mjinga na hajielewi yaani unavuka kwenye mto ili iweje? Je, haoni hatari ilioje? Na...
  20. wa stendi

    Ongezeko la panya wa ajabu mtaani

    Huku mtaani kuna vipanya fulani hivi vina pua ndefu na mlio mkali sana vikilia utadhani ni mtu anasugua chuma. Cha ajabu hivi vipanya ukitega kwenye mtego kikanasa panya mwenzake akija kukikuta hapo anamla utumbo na nyama laini zote za ndani ngozi anakuachia hapo. Kingine hawa panya hata...
Back
Top Bottom