kukosa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Tlaatlaah

    Umewahi kukosa kitu gani kwa sababu ya kusema ukweli?

    Katika maisha kuna baadhi ya mambo unaweza kuyapata kirahisi kwa kusema uongo au kudanganya, lakini pia kuna mambo mengine unaweza kuyakosa au usifanikiwe kwakua tu umesema ukweli. Je, ni mambo gani katika maisha ulitumia ukweli ukayakosa na ulipotumia uongo ukayapata kirahisi? Ukweli mchungu.
  2. O

    Stationery kukosa flash na usb ni ajabu

    Umeanzisha stationery machine zote muhimu unazo isipokiwa flash na usb Leo flash Hadi buku 5 unapata usb 1500 kwa 2000 Unajikuta unakosa jero ya wateja bure printer ya Epson 300-400k, photocopier ya canon 700-1000k na vikorokoro vingine unakosa usb na flash
  3. L

    RC's kuweni wabunifu, punguzeni utegemezi hasa wa huduna za Afya kwa kukosa vifaa muhimu.

     Ni aibu kubwa mkoa unakuwa na watu zaidi ya 600K na Hospital ya Rufaa lakini inakosa vifaa muhimu kama machine ya CTI Scan ambayo gharama yake haizidi 4B. Mnaridhika kabisa wagonjwa kupewa rufaa kwenda mikoa mingine? Just imagine mnapoteza watu wangapi kwa ukosefu wa vifaaa muhimu kama...
  4. M

    Kushindwa kubeba ujauzito na kukosa hedhi kwa muda mrefu

    Habari zenu wadau, Naomba kushea hii kitu, kuna mtu nimekutana naye ana shida ya uzazi lakini mwanzo aliweza kubeba ujauzito na kujifungua mtoto mmoja. Baada ya hapo hakuweza tena kubeba ujauzito wala kupata hedhi kwa muda wa miaka 4 hadi sasa. Mwenza wake alijuzwa na madaktari kuwa mkewe...
  5. STEYAN MEJA

    Kukosa pesa ni kipimo tosha cha kutokuwa na akili

    Kama hutaki njoo Niue nipo tandale huku naishi chumba Cha Giza Cha Kodi ya TSH 25,000/= ( simu zangu naachaga Kwa mangi kipindi Cha mvua maana mafuriko yakitokea huenda yakaondoka na simu zangu 😂😂🙌 ) Sikia rafiki ikiwa unafanya kazi ya ulinzi kama Mimi😂 ya kulipwa 120k per month siyo case...
  6. Manyanza

    Mambo mengine sio uchawi, ni kukosa maarifa tu

    Hii ni kwa mujibu Chama cha Madaktari Nchini Canada
  7. Liverpool VPN

    Mjadala kwa wanaokataa Kuoa (Ndoa)

    Maana ya Ndoa Ndoa ni muunganiko kati ya mwanamume na mwanamke, walio amua kwa ridhaa yao wenyewe kuishi pamoja kama mke na mume mpaka mwisho wa maisha yao ya ndoa. Aina za ndoa kwa mujibu wa sheria Kuna aina mbili tu za ndoa zinazotambulika na sheria ya ndoa Tanzania Ndoa ya mke mmoja na mume...
  8. B

    CHADEMA kukosa neno, utawala wa Sheria Migomo Marekani; ni Pigo kwa Chama, na pia kwa Ukombozi!

    1. Kwamba kinachoendelea Marekani ni jitihada za Serikali ya huko kupinga haki ya watu kujieleza?! 2. Kutokuheshimiwa huku kwa wazi kwa misingi ya kawaida kabisa ya utawala wa sheria, ni wa kulaaniwa vilivyo na kila mtu na hasa mtanzania aliye mzalendo. 3. Kwamba CHADEMA chama tegemeo kwa...
  9. G

    IT wetu hawana ubunifu? Router ambazo hazina watumiaji wengi nje ya mipaka hawawezi kuzi-unlock, wanasubiri wazungu na wachina wawatafunie wao wameze

    Hapo zamani mitandao ilileta routers na modem za kampuni maarufu kama Huawei na zote, Ma IT na mafundi wengi waliweza kuzifungua kwasababu wazungu, wachina, wahindi, waarabu, n.k. walikuwa wanaumiza vichwa kubuni mbinu za kuzifungua, mafundi wetu walikuwa wanafuata maelekezo, modem na router...
  10. MINING GEOLOGY IT

    Madini yenye damu nyingi iliyofanya Congo kukosa amani, kampuni ya Apple ikishutumiwa sana

    Congo ni taifa lenye historia ndefu na utajiri wa kitamaduni katika eneo la Afrika ya Kati. Kuna Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) na Jamhuri ya Congo (pia inajulikana kama Congo-Brazzaville). Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) ni nchi kubwa zaidi katika eneo la Afrika ya Kati, iliyopo...
  11. R

    Utitiri wa vyama vya wafanyakazi chanzo cha kukosa umoja wao

    Kuelekea maadhimisho ya siku ya wafanyakazi duniani,wafanyakazi nchini wako kwenye mjadala wa kikokotoo,bima ya afya,nyongeza ya mishahara,kupanda n.k. huku wakikosa umoja na mtetezi atakayesimama kuwasemea ili kufika pale wanapotaka. Kwa miaka kama tisa au kumi tangu utawala wa Rais...
  12. Ncha Kali

    Kuitana 'babe' kwenye mahusiano ni utoto na mwanzo wa kukosa kuheshimika, hasa kwa mwanamme

    Imagine mwanamme unaitwa babe sijui baby, yaani mtoto? Hii sio kweli. Kwa mwanamke ni sawa, sababu hata kwa kiswahili tunawaita watoto yaani 'totoz' au 'bebez'.... kwa mwanamme ina maana gani? Kama ni kwa mahaba, basi iishie siku za mwanzo tu za uchumba ile kudanganyia.... ukishanasa haina...
  13. D

    Tatizo la Timu za Vijana kukosa ufadhili

    Katika maisha ya soka dunia nzima vijana ndio msingi mzuri wa maendeleo ya soka. Katika taifa letu la Tanzania jamii ikiongozwa na TFF kwa msaada wa serikali imekuwa ikijitahidi kuinua mchezo wa soka, lakini inasikitisha kuona wanachokifanya ni KUTENGENEZA PAA LINALO MEREMETA WAKATI MSINGI NI WA...
  14. USSR

    Nini kifanyike kuokoa ndoa kwa sababu ya wanawake kukosa nguvu za kike?

    Kumekuwa na kasi kubwa ya wanawake wengi hasa mijini kukosa nguvu za kike, nao moja tu uaanza kulalamika eti amechoka na visingizio kibao mara amechoka,mara anamaumivu mara anamawazo na n.k Nini kifanyike hawa viumbe wawe kama zamani unalala unaikoboa na bado asubuhi wanadai . Kazi ya kucheka...
  15. Suley2019

    Mbozi: Zahanati ya Kijiji yafungwa kwa kukosa Wahudumu. Wananchi wateseka

    Zaidi ya wananchi 1,000 wa Kijiji cha Namwangwa, Kata ya Hezya Wilaya ya Mbozi mkoani Songwe, wamekosa huduma za afya kwa miezi mitatu sasa, baada ya tabibu anayehudumu kwenye zahanati ya kijiji hicho kustaafu. Wananchi hao wamekumbwa na changamoto hiyo baada ya mhudumu wa awali kustaafu tangu...
  16. MINING GEOLOGY IT

    Sababu ya madini mengine kukosa soko na changamoto zake

    Kwa nini Tanzania madini mengine yanakosa soko hapa ndani ukilinganisha soko la dhahabu. Kuna sababu kadhaa zinazoweza kuchangia aina fulani za madini kutokuwa na soko kubwa ndani ya Tanzania ikilinganishwa na dhahabu. Baadhi ya sababu hizo ni pamoja na: Ubora na Wingi wa Malighafi: Baadhi...
  17. A

    DOKEZO Sikonge: Walimu na Wanafunzi wa Shule ya Msingi Kiswahilini tunateseka kwa kukosa huduma muhimu

    Nina kero kadhaa kuhusu Shule ya Msingi Kiswahilini inayopatikana Wilaya ya Sikonge, Kata Igigwa, Kijiji cha Tumbili, Kitongoji cha Kiswahilini yenye Wanafunzi 300 ina changamoto kadhaa 1. Mbali na kuwa na Wanafunzi 300, shule hiyo ya Mkoani Tabora ina matundu ya vyoo mawili tu tena yenye...
  18. Friedrich Nietzsche

    Ndoa ina mwezi mmoja, nishaanza kukosa amani

    Jaman ndoa ndo zilivo. Yaan tangu nimuoe nimuweke ndani naanza kuona tabia zinazoanza kuninyima aman.Had natamani nimwambie bana tumeshindwana Tabia anazoonesha 1. Kisiran 2. Kununa 3. Kuzalisha migogoro Haya yote alivyokuwa kwao sikua nayaona aisee nishachoka.Nimeukumbuka uhuru wangu
  19. KAGAMEE

    Unyonge wa Wachezaji wa Yanga ndo umefanya timu kukosa nusu fainali

    Salama mtasalimiwa na Refa. Japo lawama zote zinaenda kwa refa na jopo lake lkn mimi nadhan tunapaswa pia kuwalaumu wachezaji wa yanga.Tujiulize; 1. Kwanini hawakukusanyika kwa referee na kumtaka akaangalie VAR? 2. Je walikosa uzoefu wa mashindano?Hawaoni hata wachezaji wenzao huko ULAYA...
Back
Top Bottom