kusema

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Tlaatlaah

    Umewahi kukosa kitu gani kwa sababu ya kusema ukweli?

    Katika maisha kuna baadhi ya mambo unaweza kuyapata kirahisi kwa kusema uongo au kudanganya, lakini pia kuna mambo mengine unaweza kuyakosa au usifanikiwe kwakua tu umesema ukweli. Je, ni mambo gani katika maisha ulitumia ukweli ukayakosa na ulipotumia uongo ukayapata kirahisi? Ukweli mchungu.
  2. MamaSamia2025

    Maria Tsehai acha upotoshaji kusema Lissu hajalipwa stahiki zake ili achangiwe kununua V8, VXR nyingine

    Nimesikitishwa sana na kauli yenye nia ovu kutoka kwa bibi Maria Sarungi kuwa Tundu Lissu hakulipwa stahiki zake hivyo inatupasa watanzania tuchange kumnunulia Lissu gari lingine (V8, VXR) ili kumrahisishia shughuli zake. Huo ni uongo kwa sababu Lissu mwenyewe alishakiri kulipwa stahiki zake...
  3. Mkalukungone mwamba

    Serikali kupunguza foleni Dar

    waziri wa mambo ya ndani ya nchi Mhe. Daniel Sillo, amesema Serikali imepanga kushirikisha halmashauri ya jiji na manispaa zake pamoja na TANROADS Ili kubaini na kutenga maeneo kwa ajili ya ukaguzi wa magari unaofanywa na Jeshi la polisi ili kupunguza msongamano katika jiji la Dar es Salaam...
  4. P

    Je wewe ni mpinzani, mkosoajiau, waibua kero kwa Serikali?

    Naomba niweke mambo sawa ili tusiendelee kuumizana. Kutokana na kwamba baadhi ya watu wana uelewa finyu kuhusu misamiati ya mpinzani, mkosoaji, mwanaharakati na sisi waibua kero; kuna watu wameumizwa kwa kuonekana kana kwamba ni wapinzani. Mfano: Bwana mmoja aliona mabweni ya wanafunzi yana...
  5. K

    Miaka 3 na miezi 4 imeisha hakuna Bandari ya Bagamoyo wala LNG. Je, ni sawa kusema Hayati Magufuli alikuwa anakwamisha?

    Wanajamvi wakati wa Jiwe Miradi ya Bandari Bagamoyo na ya gas LNG iliposimama wote humu tulimusimanga jiwe kuwa ni mkorofi ndo kasababisha hata Bandari ya Bagamoyo kutojengwa na wachina n waomani. LNG nayo haikuanza. Nakumbuka wakati wa magufuri ilibidi watangazi kazi ya mshauri mkuu wa masuala...
  6. figganigga

    Kusema Maji ya mafuriko ya Rufiji yatafutiwe njia ya kwenda baharini, si kumtukana Rais. Wananchi wanateseka

    Tunashukuru Serikali ya Tanzania kwa kuyoa Tan 300 za unga, mchele na maharage kwa watu wa Rufiji japo ambazo zimefika na kuonekana kwa macho ni Tan 32. Labda hizo tani nyingine bado zipo njiani. Huko Rufiji Serikali imepeleka tan 100 za maharage, tani 100 za mchele na tani 100 za maharage...
  7. Chizi Maarifa

    Hili la watu (wakiwemo viongozi) kudhalilishwa na Watanzania kufurahia linanishangaza sana

    Kipindi kile anatukanwa Magufuli na watu mbalimbali tulikuwa tunashangilia sana hasa sisi upande huu wa mkono wa kushoto katika mwili huu mmoja. Nilisema hatupo salama. What goes around comes around. Waliwezeshwa sana watu wadumu kila siku kumtukana Magufuli. Mimi nyuzi zangu zipo humu. Kuna...
  8. H

    Dhana ya kusema wanaume wote hawajatulia ni potofu

    Habari ndugu zangu, nije kwenye hoja yenyewe nimeona Uzi wa cacutee nataka nimjibu kuhusu hii dhana walionayo ni kweli kuna wanaume wasiotulia na wapo pia ambao wametulia. Zipo sababu za wanawake kudhani kuwa wanaume wote hawajatulia Ni aina ya wanaume wanaodate nao, ni ngumu kudate na mwanaume...
  9. DR Mambo Jambo

    Tuhuma za Pdidy: Diamond platnumz alifanywa nini na Pdiddy ambacho anaona aibu kusema mbele ya kamera??

    Kwa Tuhuma zinazoendelea za Pdiddy huko marekani na hasa ya kujihusisha na mapenzi ya Jinsia moja na kulazimisha watu kufanya hivyo na hasa kulawiti baadhi ya watu na kingine kuwafanya watu sexual slaves.. Kuna Intervieww aliwahi kuifanya msanii wa Tanzania (Diamond) Akisema walikwenda Kwa...
  10. Tlaatlaah

    Kusema ukweli Dar es Salaam ni pazuri

    Kwasabb kili kitu kinapatikana hapa, mathalani elimu, afya, biashara, usafiri n.k. hali ya hewa ni nzuri licha ya uzito wake wakati mwingine, kila mtaa umechangamka na utamaduni, staili na tabia yake ya maisha. Haiwezikani eti kwa siku moja tu uzunguke dar nzima uimalize kama mikoa mingine...
  11. BARD AI

    Serikali yaanzisha Tahasusi (Combination) mpya 49, sasa zitakuwa 65

    Serikali kupitia TAMISEMI imetoa fursa kwa Wahitimu wa kidato cha nne mwaka 2023 kuongeza au kufanya marekebisho ya machaguo mapya ya tahasusi (combination) baada ya kuongezwa kwa tahasusi mpya 49 kutoka 16 zilizokuwepo awali na kufanya tahasusi za kidato cha tano kufikia 65. Akiongea leo...
  12. Lycaon pictus

    Hivi ndiyo kusema mgodi wa Mwadui umetoa pesa kiasi hiki!?

    Wakati wa kutekeleza Azimio la Arusha serikali ilichukua hisa asilimia 50 za mgodi wa Mwadui. Sasa ikaonekana wafanyakazi wa serikali mgodini pale wanalipwa pesa nyingi sana na Nyerere alitaka kuweka usawa katika kipato cha watanzania. Basi wakataka kuwashushia mshahara na wakapanga wapate...
  13. Webabu

    Kiongozi wa Houth atoa takwimu ya meli walizozipiga na kusema wanakusudia kupanua wigo wa kuzuia meli za Israel zisipite bahari ya hindi yote

    Abdel-Malik al-Houthi ambaye ni kiongozi wa juu wa wapiganaji wa Houth wa Yemen amesema mpaka sasa wamefanikiwa kuzishambulia meli zenye mafungamano na Israel zipatazo 73 tanguj waanze operesheni yao ya kuwatetea watu wa Palestina. Kupitia televisheni inayomilikwa na wanamgambo hao Abdel Malik...
  14. P

    Mzee Makamba aliwaza nini kusema ''Watu wazuri hawafi''?

    Hivi aliyetoa hii kauli alimaanisha nini na kwa nini? Je, waliokufa kwenye familia yake au ukoo wake wote ni wabaya? Ingekuaje watu hawa wangepewa mamlaka ya kusimamia kugawa pumzi ya uzima na hewa safi tunayopumua kila siku?
  15. GENTAMYCINE

    Waswahili bwana yaani Treni ya SGR Dar hadi Moro ni masaa 2 na dakika 20 mnafurahi na kushangilia!

    Kwa umbali huo muda ulitakiwa uwe ni dakika 60 au 75 tu kama ambavyo inafanyika katika Mataifa mengine makubwa ya watu wenye akili na yaliyoendelea. Yaani Dar hadi Moro zimetumika Saa 2 na dakika 20 halafu mazuzu tokea jana na leo inashangilia tu wakati kwa wenye hizo Treni za SGR katika...
  16. Kiboko ya Jiwe

    Wanawake hamna maajabu, tunatumia pesa nyingi bure!

    Mimi kama kawaida, niko upande wa wanaume na katu siachi kuwasanua wanaume wenzangu juu ya utapeli wa kingono. Hakuna maajabu. Nimefanya tendo la ndoa na wanawake wengi nimegundua kuwa hakuna jipya, wanawake ni overrated. Ukimwaga ndio utajua hili ninalolisema. Tunatumia pesa nyingi kuwinda...
  17. Miss Zomboko

    Ni muhimu kumfundisha mtoto kuwa, kila mtu ana haki ya kusema ndio au hapana pale mtu akitaka kuvuka mipaka yake binafsi

    Kila mtu ana mipaka yake binafsi yaani kwa kimombo tungeweza sema personal boundaries, ikiwemo watoto. Kuelewa na kuheshimu mipaka hii ni muhimu sana kwa maendeleo ya watoto. Mipaka inaweza kuwawezesha watoto kujifunza kufanya maamuzi binafsi na sahihi, kujieleza, na kuwasiliana vizuri na...
  18. U

    Tusikimbilie kusema fulani hapendi ndugu kisa hawapi nafasi kwenye biashara yake ama kuwapa connection ofisi aliyomo, hizi ndizo sababu kuu/

    Kuna lawama baadhi ya watu huwa tunapewa kwamba tunataka kufanikiwa wenyewe, hatupendi ndugu wafanikiwe, anataka kuonekana peke yake ndie mwenye mafanikio kwao, n.k. ni kweli kuna baadhi ya watu hufanya hivi maksudi lakini sio wote. Mtu unakuta ana kampuni yake, biashara yake ama yupo shirika...
  19. Mjanja M1

    Kijana atoa ushuhuda na kusema hatoikaribia Betting tena

    Anaandika, Mimi ni kijana wa miaka 20s+ nilifundishwa kubeti mwishoni mwa mwaka 2014 Kama Sio mwanzoni mwa mwaka 2015 nikiwa bado nasoma secondary. Kabla sijajifunza kubeti nilikua kijana mwenye akili iliyotulia,mipango inayotekelezeka na mwenye future nzuri na yenye tumaini. Lakini kadri...
Back
Top Bottom