mabadiliko

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. uhurumoja

    Mabadiliko kombe la Crdb FA

    Kuna mabadiliko nimeyaona ya muundo wa kombe la Crdb FA cup kutoka kwenye ule muonekano wa kwanza likiwa kombe la Azam Mabadiliko sio mabaya na kombe limependeza ila sio vizuri kuwa na muonekano tofauti Kila mara mdhamini mpya anapokuja hii inaharibu muendelezo wa muonekano kwa makombe kwenye...
  2. Termux

    SoC04 Safari Ya Mabadiliko Katika Sekta ya Elimu na tekinolojia

    Ili Tanzania ipige hatua kubwa katika sekta ya elimu na teknolojia ndani ya miaka kumi ijayo kuanzia sasa 2024 mpaka 2034, yafuatayo yanapaswa kufanyika: 1. Kuwekeza katika Miundombinu ya Teknolojia - Kujenga na kuboresha miundombinu ya intaneti mashuleni na vyuoni. - Kuweka vituo vya...
  3. MamaSamia2025

    Hawa ni watanzania 10 chini ya umri wa miaka 50 walioleta mabadiliko chanya kwenye jamii kupitia vipaji na vipawa vyao walivyojaliwa

    Hii ni orodha tukufu ya watanzania wenye umri chini ya miaka 50 walioweza kufanya mapinduzi makubwa kupitia jinsi walivyojaliwa na muumba. 1. ZITTO KABWE Haina ubishi Zitto ndo aliamsha wengi kuona inawezekana kuwa mwanasiasa mkubwa mwenye umri mdogo tena kupitia upinzani. Zitto aliingia...
  4. Brighton11

    SoC04 Serikali iendane na mabadiliko ya dunia kwenye teknolojia

    1. Kwanza kabisa Mbinu au maono ambayo yatatumia zaidi ya miaka mitatu na kuendelea Ni Kuhakikisha SERIKALI inawarahisishia wanainchi Kwenye Upatikanaji wa maji na Ulipaji wake kupitia njia ya kisasa kuendana na kasi ya Dunia, Kulipia Maji kwa mita ambazo utalipia kabra mwananchi hajatumia Maji...
  5. HONEST HATIBU

    SoC04 Ajira zipo hatarini - tuandae vijana kukabiliana na mabadiliko ya Teknolojia (AI)

    Utangulizi Katika dunia inayoendelea kwa kasi kubwa ya mabadiliko ya kiteknolojia, nchi yetu ya Tanzania inakabiliwa na changamoto na fursa nyingi. Mabadiliko haya, hasa kutokana na kuibuka kwa teknolojia ya kisasa kama vile akili bandia (AI), yanaweza kubadili kabisa mazingira ya ajira...
  6. Mappy Bunga

    SoC04 Serikali ifanye mabadiliko kwenye Elimu ya Vyuo vya Ufundi VETA: Electrical installation, electronics na programmable logic controler (plc) kiwe kitu

    Tunaona kuna wabunifu walishatokea ambao hawakuwa na elimu ya kutosha kuweza kuendeleza vipaji vyao. Hii italeta maendeleo makubwa sana kwa Elimu ya ufundi upande wa Engineering. Endapo kama serikali itafanya mabadiliko kwenye Elimu ya mafunzo ya ufundi wa Electrical Installation, Electronics...
  7. S

    SoC04 Mabadiliko makubwa ya Tanzania mpya

    Kuanzia mwaka 2025 hadi 2030, Tanzania imekuwa shuhuda wa mabadiliko makubwa na mafanikio katika nyanja mbalimbali za maendeleo. Hapa chini ni muhtasari wa story changes ambazo zimejitokeza katika kipindi hicho: 1. Uchumi Imara na Kuchochea Maendeleo: Tanzania imechukua hatua kubwa katika...
  8. X

    SoC04 Tanzania Tuitakayo: Kuelekea Maono ya Mabadiliko Chanya

    Utangulizi, Tanzania, nchi yenye utajiri mkubwa wa rasilimali, utamaduni na watu wenye bidii, inahitaji mabadiliko ya kimkakati ili kufikia mustakabali bora kwa vizazi vijavyo. Ni wakati wa kuhamasisha wananchi kuibua mawazo mbadala na bunifu yatakayosaidia kujenga Tanzania tunayoitaka. Andiko...
  9. E

    SoC04 Elimu ijikite kuibua vipaji na kukabiliana na mabadiliko ya teknolojia

    Kama ijulikanayo kuwa jamii isiyo na elimu bado iko gizani, tena giza haswa ikizingatiwa sasa dunia imeshapiga hatua kubwa kwenye matumizi ya teknolojia. Hivyo hata kila Taifa liko haile haile kuendana na kasi hiyo. Mosi, Tanzania inaweza kuungana na nchi nyingine katika hatua hiyo kwa...
  10. E

    SoC04 Elimu yetu yahitaji mabadiliko makubwa ili kuharakisha maendeleo ya nchi

    Elimu ndio silaha na nguzo kuu ya taifa lolote hapa duniani. Tanzania kama nchi inapaswa kulitazama suala la ubora na aina ya elimu wapewayo wananchi kama inakidhi mahitaji ya sasa ya nchi hasa ukizingatia dunia kuwa karibu zaidi katika nyanja mbalimbali mfano ajira, biashara na mawasiliano. Kwa...
  11. Travelogue_tz

    Ushauri wa Wasomi: Mabadiliko ya mitaala hayahitaji hisia; kurugenzi ya Mafunzo ya Wizara ya Afya ifuate kanuni.

    Mkufunzi Mstaafu na Mbobezi wa Mitaala. Siku chache zilizopita niliona andiko katika mitandao ya kijamii lenye kichwa cha habari, “BILA ‘D’ TANO HAUSOMI FAMASIA” na katika andiko hilo kulikuwa na picha ya Mfamasia Mkuu wa Serikali. Nimejaribu kufuatilia kwa ukaribu habari ile nikagundua kuwa...
  12. I

    SoC04 Mabadiliko yanahitajika katika mfumo wa elimu ya Tanzania katika miaka kadhaa ijayo

    Katika elimu ya chuo kikuu. 1: Kwenye mfumo wa elimu ya chuo kikuu kwa sasa mwanafunzi anapoanza chuo huwa anasoma masomo mengi tofauti tofauti ambayo mengine ni nje ya kile ambacho amelenga kukisomea. Kwa maoni yangu mimi naona pale mwanafunzi anapoanza chuo kwa mwaka wa kwanza ningeshauri kuwa...
  13. S

    Tazamia mabadiliko manne (4) makuu katika ukuaji wa Akili Mnemba (AI) nchini Tanzania 2024

    Habari wanajamvi. Ni mimi tena. Leo tutaongelea mambo manne makuu ambayo yatatokea katika ukuaji na utumiaji wa AI (Akili bunifu/bandia/mnemba) nchini Tanzania. Kama unajiuliza kuwa akili mnemba ndo ipi jamaa kadadavua hapa vizuri: Nini Maana ya AI (Akili Mnemba) Sasa, turudi kwenye mada...
  14. Franchesco1346

    SoC04 Mabadiliko yanayoweza kufanyika kwenye nyanja mbalimbali katika miaka 5 hadi 25 ijayo

    Jina langu ni FRANCIS 0742749886 Mabadiliko ni sehemu ya asili ya maisha ya binadamu, na teknolojia, mazingira, jamii, na uchumi vinaendelea kubadilika kwa kasi kubwa. Katika miaka 5 hadi 25 ijayo, nyanja mbalimbali zitashuhudia mabadiliko makubwa yanayoweza kuathiri jinsi tunavyoishi, kufanya...
  15. J

    SoC04 Mabadiliko kwenye nyanja ya Siasa Elimu kwa wananchi

    Tanzaniani tuitakayo ya miaka 5 hadi 25 ni ile ambayo kwanza tukubali kuanda kizazi Bora kutoka chini ambacho kitakuwa kimeandaliwa katika Mfumo mzuri wa elimu, Siasa , uzalendo, na teknoljia ambayo itaendana mahitaji ya Dunia ya sasa kivipi? Katika Mfumo wa elimu tunahitaji kuona mabadiliko...
  16. MR VICTOR KAPESA

    SoC04 Tanzania inatakiwa kuzingatia mambo haya ili kuleta mabadiliko mwaka 2024

    THE STORY OF CHANGE IN TANZANIA 2024 Mwaka 2024 watanzania wanatamani kuona mabadiliko mbalimbali chanya ususani katika sekta za Afya,Chakula, elimu na usafirishaji(miundombinu) na sekta nyingine muhimu ambazo mara nyingi hizi sekta zinategemeana. Nitaelezea Kwa ufupi mambo makuu manne ambayo...
  17. I

    SoC04 Hadithi ya mabadiliko itaenda andikwa mwaka Kesho 2025

    Mwaka Kesho 2025 mnamo October mpaka November basi kila raia wa Tanzania hadithi yake mpya itayo kua na mabadiliko ndipo itapo Anza kama ilikua ni yakupata uchaguzi wa haki,kupata kiongozi alie kua akimuhitaji, sela zao zilizo timizwa,ambazo hazijatimizwa, zilizo ahidiwa tena na kivipi Zita...
  18. X

    SoC04 Mitandao ya Kijamii Tanzania imulikwe, itumike kuleta mabadiliko chanya kwenye jamii, irasimishwe

    UTANGULIZI Tanzania mitandao ya kijamii bado inatumika kama sehemu ya watu kutoa mawazo(stress), kupata habari nyepesi na udaku. Bado mitandao haijawa mahali salama sana kwa kizazi cha sasa na cha baadae kama hatutatengeneza mazingira salama kwa ajili ya wakati ujao. Bado haiaminiki, ina kundi...
  19. S

    SoC04 Mabadiliko sekta ya elimu

    Elimu ni ni sekta nyeti katika kila nchi dunian ukitaka kuharibu nchi haribu mfumo wa elimu kivipi kwa sababu ukiaalibu mfumo wa elimu umeshaharibu kila kitu kwa mfano ukialimu mfumo wa elimu ndio chanzo za madaktari wasio uelewa, wahandisi watakao tengeneza miundombinu chini ya kiwango na...
  20. J

    SoC04 Vita dhidi ya Ujinga: Elimu kombozi kwa maendeleo ya jamii

    Ni nyumbani kwa mzee Masalu! Ubishi mkali unatokea kati ya mzee Masalu na kijana wake ambaye hataki Shule. Hataki shule kwa madai ya kua haoni mwanga mbele! Hali hii imeanza kuota mizizi katika jamaa nyingi za kitanzania, wazazi na vijana wameanza kuwa na wasiwasi na shaka juu ya dhana nzima ya...
Back
Top Bottom