siku hizi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Aramun

    Siku hizi kila mgahawa una banda la chipsi, na 90% ya wateja utawakuta wanakula chipsi

    Hii trend sasa ni rasmi katika miji yote. 99% ya migahawa au cafe au vyovyote vile utakavyoiita, kwa nje lazima waweke na banda la chipsi. Na 90% ya wateja utawakuta wanakula chipsi. Na wakila chipsi lazima wanunue na kinywaji kama soda cha kusukumia hizo chipsi, kama ujuavyo chipsi ni viazi na...
  2. chiembe

    Jaji Mkuu ana taarifa kwamba majaji wa Mahakama Kuu siku hizi " wanaandikiwa" hukumu na watu tunaopishana nao magengeni na kwenye baa?

    Nadhani kuna haja ya Mahakama kufanya tathimini katika hili jambo. Majaji wengi hawaandiki hukumu kwa mkono wao na fikra zao binafsi, wanaandikiwa hukumu! Ukifanikiwa kumjua anayemuandikia hukumu Jaji, hata kama una kesi ya namna gani, utapata upenyo tu! Wakati Rais anateua Majaji, kwa kweli ni...
  3. The unpaid Seller

    Katikati ya harakati za 50/50 kinyume chake wanawake wengi siku hizi hawana furaha

    Peace, Itakushangaza lakini ndio ukweli, tupo katika zama za upendeleo na "kuinuliwa" kwa wanawake na fursa kede kede pasina shaka mimi na wewe tulitegemea ustawi wa wanamakae kiuchumi, kiroho, kijamii, kiakili na kua na furaha zaidi ila sasa hali ni tofauti kabisa. Mazingira ya ajira na...
  4. N'yadikwa

    Wabongo siku hizi wameamka, ndinga za Ulaya kama zote

    Ukikatisha mitaa ya Dar es salaam na Arusha naona vyuma kama BMW, Porsche Cayenne, VW, Audi za kutosha. Haya magari japo ni expensive kuyamaintain kwenye vipuri ila ulaji wake wa mafuta ni wa wastani kabisa kiasi kwamba kama wewe ni mtu wa safari na unajali muda na usalama, hizi ndo ndinga za...
  5. GENTAMYCINE

    Siku hizi naogopa sana Wanasiasa Wakongwe wanaozindua Vitabu vyao, kwani wengi Wao wakishazindua tu basi Huaga dunia ndani ya muda mfupi

    Wengi mnamfahamu Mzee Yussuf Makamba kwa misemo na nukuu zake za vitabu, ni miongoni mwa wanasiasa mashuhuri nchini na amewahi kuhudumu nyadhifa tofauti ikiwemo kuwa katibu mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Mzee Makamba ambaye kwa sasa amejikita katika uandishi wa vitabu amekuja na kitabu chake kipya...
  6. curie

    Ule msemo wa kushikiria shilingi bunge mnausikia siku hizi?

    Mabunge ya bajeti yalikuwa bamba msemo wa nashikiria shilingi mpaka waziri akome ..Je sasa vipi mambo yanaenda swafi ?
  7. Tlaatlaah

    Wanafunzi wa vyuo vikuu wainishi maisha ya kifahari sana siku hizi kulikoni

    Yaani maisha yao ni mazuri kweli na ya kifahari mno. Nyumba na vyumba wanazoishi mtaani ni za maana sana, na ndani ya nyumba zao kumekamilika kila idara, sijui wanalipwa mshahara huko vyuoni siku hizi. Wanaishi kama wafanyakazi wa mashirika flani hivi ya kimataifa, haonekani akienda chuo...
  8. Mad Max

    Hizi Trend za Magari ya Siku Hizi mnazionaje?

    Wakuu. Sijui umri unanienda au? Kuna baadhi ya "trend" za magari naona zinazidi kushika kasi. Najua "maybe" ata Automatic transmission zinavyoingia kuna watu waliona jau, ila ishazoeleka sahivi. Ngoja niwape mifano yangu muone: 1. Gear Knobs za kuongeza kama Sauti Hizi nimeona kwenye Disco...
  9. ngara23

    Kondomu za siku hizi ni ndogo hazitoshi kwenye uume

    Condoms za siku hizi zimekuwa ndogo, zinabana na zinatoa harufu mbaya Yaani nikivaa kondom siku hizi inaweza funika tu nusu ya uume nusu ikaingia ukeni bila kufunika uume wote Sijui kuna agenda ya kutuua kimya kimya, kwa kututengezea kondomu zinazovutia na kumtosha kila mwanaume na zisizo na...
  10. Burkinabe

    Siku hizi Viongozi wa Vyama vya Wafanyakazi wanateta Serikali na kuweka pembeni maslahi ya Wafanyakazi

    Asalaam Aleykum. Kwa kweli kama kuna watu wana maisha magumu nchi hii, basi ni wafanyakazi. Wengi wao mishahara haijapanda kwa muda mrefu huku gharama za maisha zikipaa kila siku na viongozi wao wa vyama vya wafanyakazi wapo wapo tu kazi kuiba michango ya wafanyakazi wenzao wanayokatwa kila...
  11. matunduizi

    Kwanini wamama wa siku hizi wamepoteza utisho wa kianamke

    Wamama wa miaka ya 90 kurudi nyuma walikuwa vyuma kwelikweli. Walikuwa na uwezo wa kukuchapa na kukunyoosha kwa macho tu. Nakumbuka siku nilipotoroka nyumbani kwenda na magenge ya watoto mitaani kutembea. Bahati mbaya nikakutana naye amekaa katikati ya kundi la kinamama kuna jicho alinikata...
  12. Wakilimkuu

    Mpenzi wangu kakubali kukutana kimwili na rafiki yangu

    Naomba ushauri,nina mpenzi wangu kipindi cha nyuma,kabla hajakubali kuwa wapenzi kuna rafiki yangu alikuwa anamtongoza kwa siri, ila nilifamu kwamba anamtongoza bila yeye kujua. Sasa nikakubaliwa rafiki yangu akapa kazi akahama mji, jana mimesajili line mpya kwa ya mtu mwingine, nikajifanya...
  13. matunduizi

    Nimegundua Siku hizi vijana wadogowadogo ambao hawajasoma sana ila wanapata pesa mingi kwa ujuzi tu. Vijana waache kulialia

    Mambo yanaenda kasi sana. Ujuzi ndio kila kitu. 1: Dogo wa kwanza anatengemeza Website, Apps, Systems, na projects zake kama akipata connections ninza mamillioni. Kama haitoshi huwa anawafanyia projects wanafunzi wa mwaka wa mwisgo wa chuo. Huyu anajituma sana, huwa anaingia maktaba ya taifa...
  14. U

    Watanzania tunazidi kustarabika. Siku hizi ni ngumu sana kukuta watu wakipigana kama zamani, Tujipe hongera

    Uelekeo ni mzuri katika ustaarabu wa kuweza kuyasuluhisha mambo bila kupigana kama ilivyozoeleka zamani. Ni kupevuka kwa akili na kupenda amani kumefanya tuweze kutumia midomo bila silaha, ngumi, mateke, vibao, n.k. Nakumbuka hapo zamani kulikuwa na mambo ya ubabe wa kishamba sana, kigezo cha...
  15. BigTall

    Zamani ukitembelea nyumbani kwa mtu unapewa albamu ya picha uangalie, siku hizi unapewa nini?

    Hizi mambo za kupewa albamu kuangalia picha za wenyeji wako hivi bado zipo kweli ndugu zangu? Wewe ukienda kutembelea ndugu, jamaa na marafiki ukifika wanakupa nini au wewe ukitembelewa huwa unawapa nini?
  16. Kichwa Kichafu

    Wana-Young Africans siku hizi hatuongei sana, mafanikio yetu ndio yanaongea

    Habari. Mashabiki Wa Dar Young Africans Atuongei Kabisa Wala Kupiga Kelele Ambazo Hazina Maana Katika Kukuza Sector Wa Mpira Wetu Hapa Tanzania Na Africa Kwa Ujumla. Imekuwa Tofauti Hivyo Ubora Na Mafanikio Yanayofanywa Na Mabingwa Young Africans Yamekuwa Yakijieleza Yenyewe Moja Kwa Moja...
  17. Half american

    Lugha ya picha: Ndoa za siku hizi

    Tegemezi nae anategemewa, ahudumiwe ili aweze kuhudumia. Chanzo ni nini?
  18. Yohimbe bark

    Emma siku hizi umekuwa mvivu sana, kimoja kweli?

    Leo nimepanda daladala naenda mjini kwenye mishe mishe, seat ya mbele alikaa mdada mmoja hivi alikuwa busy anachat kama mnavyojua macho hayana pazia nikabahatika kusoma ujumbe mmoja nanukuu" Emma siku hizi umekuwa mzembe sana yani kimoja kweli? Siridhiki ujue" asee nilijisikia vibaya kinoma...
  19. Lycaon pictus

    Historia ya Wahima na eneo la magharibi ya Tanganyika kama ilivyoandikwa ndani ya kitabu Zamani mpaka siku hizi

    Kitabu hiki kilichapwa mara ya kwanza mwaka 1930. HABARI ZA NCHI ZILIZO MAGHARIBI Somo 1-Wahima KATIKA sura ya kwanza tulisoma ya kuwa sisi Wabantu si watu wa asili wa nchi tunazokaa sasa maana tulitoka nchi nyingine tukawasukuma watu waliokuwa wakikaa huku au labda tulichanganyika pamoja...
  20. ndege JOHN

    Wanawake wengi siku hizi ni mashetani

    Mimi nikiri nimewahi kuwa mtuamiaji wa mitandao ya kijamii kama Facebook, live sex broadcasting kama stripchart, telegram n.k aisee niseme wanawake Kwa jinsi wanavyokuja speed kwenye kujidhalilisha hii ni hatari Sana. Yaani wanajitia usugu Balaa Kwa kutumia MA lovense na madidlo mpaka sio poa...
Back
Top Bottom