Kumekuwa na dhana potofu hasa katika maswala ya kilimo na ufugaji kwamba vijana hawapendi kilimo na ufugaji vijana ni wavivu.mm niseme hata hao wanao sema vijana hawapendi kilimo na ufugaji nao ni wavivu Sana ajabu wao wenyewe wameajiliwa na mtu hyo wanae msimanga mvivu na hapendi kilimo na...
Ricardo Momo
I am a fan of Ricardo momo's 'zandaniii' sema jamaa yupo very inconsistent. He won't be available for weeks, sometimes months of radio sessions.
Sadly, he could simply operate his sessions via phone calls hata akiwa nje ya inchi.
There's alot of money in ads, wasafi isn't...
Mtu mvivu, legevu, asiyejali muda na mwenye maneno mengi kuliko vitendo Mungu hampendi na shetani hampendi. Waliomstari wa mbele (frontliners) kwa Mungu na kwa Ibirisi huwezi kukuta mtu mvivu asiyejali na mzembemzembe.
Hakuna nabii wa uongo mvivu asiye risk taker. Wako smart, wanaamka mapema...
Leo nimepanda daladala naenda mjini kwenye mishe mishe, seat ya mbele alikaa mdada mmoja hivi alikuwa busy anachat kama mnavyojua macho hayana pazia nikabahatika kusoma ujumbe mmoja nanukuu" Emma siku hizi umekuwa mzembe sana yani kimoja kweli? Siridhiki ujue" asee nilijisikia vibaya kinoma...
Kijana ukiwa mvivu utaanza kuwa na wivu. Yaan ukikuta watu wanaongelea au wanaonesha mafanikio yao wewe utaona kero, na wivu ukizidi sasa huko kwenye ubongo inafanyika reaction moja unaanza kuwa na nyege nyege tu kila muda.
Hizo nyege ndo zinakufanya uendelee kujichua kila kukicha.
Ukizidisha...
Angalia sifa kuu ya mtu yeyote ambae huishi kwa kujikomba komba au kujipendekeza kwa watu, mara nyingi hawa ni watu wenye sifa kuu ya kuwa wavivu wakubwa...mfano ndugu zangu warangi hawapendi kazi ngumu, hawapendi kazi zinazotumia kiwango kikubwa cha kufikiri yaani kutumia akili nyingi....
Naandika uzi huu kwasababu nazidi kujionea baadhi ya ndoa hizi za kizazi kipya zimekuwa za ajabu sana, hata ile tafsiri ya kuvuta jiko imeanza kupotea.
Na tuache masikhara, ndoa zetu za kiafrika mwanamke ana majukumu yake na mwanaume ana majukumu yake na kuna majukumu ya wote kwa pamoja...
Katika Nchi ndogo iliyopo Ulaya iitwayo Montenegro, mashindano ya kumtafuta Mtu mvivu zaidi hufanyika kila mwaka na mwaka huu washindani saba wamejilaza kwenye mikeka wakipambania kombe hilo katika jitihada za kuvunja rekodi ya awali ya saa 117 iliyowekwa mwaka jana katika kijiji cha mapumziko...
Kesho ni siku kubwa sana kwa sisi waamini..kwa kweli hata sisi wavivu wa kusali tumehamsika.
Kupalizwa mbinguni bikira maria siyo jambo dogo huku pembeni kuna waraka wa DPW.
Ebana eee kesho mapemaaaa misa ya kwanza kabisa afu seat ya mbele karibu na baba paroko.
Utu wa mtu unapimwa kwa kazi tena iliyo halali, kinyume na hapo wewe huna tofauti na wanyama waishio mwituni. Kwa muda mrefu sana nimejitahidi kufanya chunguzi mbalimbali, maana ni mambo ninayopenda hasa nikiwa sina vitu vingi vya kufanya.
Katika hili nililoandika kwenye kichwa cha uzi...
Sio kwa ubaya lakini kusema wanawake wa kanda ya Kaskazini hawafai jua wewe ni mvivu unapenda mseleleko,
Wale ukiwatumia vizuri kutoboa kimaisha ni chap tu, hawazi mapenzi muda wote kama waliopo let say tanga hivi au dar.
shida ni unapata demu badala umtumie katika kufanikisha michongo yako...
Hapo ulipo inawezekana unapitia magumu, kama hauumwi, Kama si kilema usikubali kuwa mvivu, wewe ni graduate, umefukuzwa kazi, hujapata ajira, wewe ni form four, formsix, kila ukijiunga chuo unafeli, kila ukisoma huelewi.
Hii isiwe sababu yakukaa bila kufanya lolote.
Kesho jumatatu. Fagia...
Za kwenu!
Nipo mkoa fulani kikazi. Na nina ndugu yangu, mtoto wa Shangazi amekuja huku kikazi na nimempokea kama ndugu yangu. Namhifadhi kulala pamoja na kula.
Kinachonikera kwake ni uvivu. Vibarua vipo sio haba endapo ukiwa na bidii, na huko kwenye vibarua anaweza kwenda na akapata chakula...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.