helikopta

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. G

    Yanga kutumia helikopta na basi la kisasa zaidi kwenye Parade

    “Helikopta ya parade la ubingwa itaanza safari yake majira ya saa nne asubuhi ikiwa imebeba kombe, itapita maeneo mbalimbali jiji la Dar Es Salaam. Tumempa Rubani maelekezo kuna maeneo akifika pale Kariakoo, aishushe chini kidogo ili kila mtu ashuhudie parade la angani. Baadae mchana Helikopta...
  2. Webabu

    Helikopta iliyomuua Raisi isingeweza kupaa zaidi ya futi 10,000

    Tofauti na ndege za abiria kubwa,helkopta inaruka kwenda juu sawa na ndege ndogo za abiria.Si zaidi ya futi 10000. Ziko chche ambazo zimewekewa injini za turbine ambazo ni za kisasa ambazo zinaweza kufika mpaka futi 25000,lakini haifikii hata siku moja futi 40000 zinakopita ndege za abiri za...
  3. X

    Rais wa Iran, Ebrahim Raisi na Waziri wa Mambo ya Nje wafariki dunia kufuatia ajali ya Helikopta

    Imethibitishwa kuwa raisi wa Iran alikuwa ndani ya helicopter hiyo iliyopata ajali. Vikosi vya uokoaji vimeshindwa kutambua na kufika neo husika ilipotokea ajali hiyo kwa sababu ya hali mbaya ya hewa. Wengine waliokuwa kwenye helicopter hiyo ni pamoja na Governor wa East Azarbaijan, Ayatollah...
  4. Kaka yake shetani

    Watu wengi watajiuliza kuhusu Iran ajali iliyotokea ila ni wajuze kuhusu Helikopta

    Mimi nashangaa sana tena hapa kwetu kila kukicha wanaojitokeza kwa kusema wanavipaji vya kutengeneza helikopta. Helikopta sio maputo wala utani kama wanvofikiria watu wengi na usalama wake ni mdogo sana sababu balance yake inategemea uwezo wa panga zake ikishindikana basi. Idadi ya mafundi...
  5. TODAYS

    HII NDIYO ROBOTI: Ilichukua Jukumu Muhimu Kutambua Mabaki ya Rais Raisi.

    Kwa waturuki wao wanasema ni hatua kubwa waliyofikia kwa mara ya kwanza katika historia ya dunia. AKINCI UAV ya Uturuki ilichukua jukumu muhimu katika kutambua mabaki ya helikopta ya Rais wa Iran Raisi. Ni operesheni ya utafutaji na uokoaji ilitangazwa moja kwa moja 'LIVE COVERAGE' kupitia...
  6. X

    TANZIA: Raisi wa Iran Ebrahim Raisi na waziri wa mambo ya nje wa Iran wafariki dunia katika ajali ya helikopta

    Taarifa za hivi punde: Vikosi vya uokoaji vimefika eneo ilipotokea ajali na kukuta hakuna aliyepona katika ajali hiyo ya helikopta ambayo ilikuwa imembeba raisi wa Iran na waziri wake wa mambo ya nje Hossein Amirabdollahian. Miili ya watu wote 9 waliokuwepo kwenye ajali hiyo imeungua moto...
  7. GENTAMYCINE

    Samahani nauliza tu je, na Helikopta za Wengine nazo ziko salama kwani Israeli sasa kabadili Formula ananyakua Juu kwa Juu tu

    Kuna moja sijui kama bado ipo pale EAC Block kila ikiruka ni lazima ikate Kwanza Kiuno kidogo na Kupinda ili ipate Mwelekeo. Na hata ikiwa inatua ni lazima Boza la Maji liwe Jirani ili Kuipoza. Na nasikia kuna wakati huwa inatumiwa sana na Baba, Mama, Mpaka Supa Blaki na Sura Ngumu Funga Buti...
  8. JanguKamaJangu

    TANZIA Sebastián Piñera: Rais wa zamani wa Chile afariki katika ajali ya helikopta

    Rais wa zamani wa Chile, Sebastián Piñera aliyehudumu kwa mihula miwili na Mfanyabiashara Bilionea, amefariki katika ajali ya helikopta akiwa na umri wa miaka 74. Watu wengine watatu waliokuwa ndani ya ndege hiyo walinusurika ilipoanguka katika ziwa karibu na mji wa kusini wa Lago Ranco...
  9. JanguKamaJangu

    Somalia: Helikopta ya Umoja wa Mataifa (UN) yashikiliwa na Al-Shabab ikiwa na abiria

    Kundi la Al-Shabab limeikamata Helikopta ya Umoja wa Mataifa (UN) ikiwa na Watu Wanane wakati ilipotua kwa dharura katika eneo linaloshikiliwa na kundi hilo katikati mwa Somalia. Kituo cha Habari cha Somali National News Agency (SONNA) kimeeleza Ndege hiyo ilitua Mji wa Galmudug na mazungumzo...
  10. Juma Wage

    "Ali Obeid Mengash" mkulima aliyeidondosha "Apache" helikopta kwa gobole

    Majasusi waliokuwa wakitazama taarifa ya Habari katika chumba cha Hoteli, waligonganisha glasi na kushangilia "Ndiyo" alisema mmoja wao. "Alifanya hivyo!" "Alifanya hivyo!" walikuwa wakimtazama shujaa wa siku hiyo. Mkulima mzee mkazi wa Karbala aliyeiangusha helikopta ya kimarekani aina ya...
  11. BARD AI

    Putin amzawadia Rais wa Zimbabwe Helikopta

    Rais wa Urusi Vladimir Putin amemzawadia mwenzake wa Zimbabwe helikopta ya Rais, kwa mujibu wa wizara ya habari ya Zimbabwe. Zawadi hiyo itatolewa hivi karibuni, taarifa hiyo iliyowekwa kwenye mitandao ya kijamii imesema. Rais Emmerson Mnangagwa anahudhuria Mkutano wa Wakuu wa Urusi na Afrika...
  12. comte

    CHADEMA: Kutumia V8 ni gharama ila kwetu Helikopta na usafiri wa kawaida

    Tujikumbushe "Matumizi ya Helikopta kwetu ni usafiri wa Kawaida." Mwenyekiti
  13. Hismastersvoice

    Tanzania yaipa Malawi Helkopta 2 na Dola milioni moja

    Balozi Polepole anazipokea helikopta mbili toka Tanzania kwenye uwanja wa ndege Chileka Blantyre Malawi, ndege hizi ni kwa ajili ya kutoa msaada wa uokoaji wananchi waliokumbwa na kimbunga Freddy, hizi zitafuatiwa na misaada ya chakula, madawa na mahema ambavyo vinaelekea huko kwa njia ya...
  14. EINSTEIN112

    Ukraine: Ajali ya helikopta yaua 15 akiwemo Waziri wa Mambo ya Ndani Denys Monastyrsky

    Ukraine’s interior minister killed in helicopter crash =============== Update: Swahili version Uongozi wa wizara ya mambo ya ndani ya Ukraine wafariki katika ajali ya helikopta CHANZO CHA PICHA,GETTY/UKRAINE MFA Maelezo ya picha, Waziri wa Mambo ya Ndani Denys Monastyrsky na naibu waziri...
  15. M

    KABUL: Wapiganaji watatu wa Taliban wafariki baada ya kujaribu Kurusha Helikopta za Black Hawk zilizoachwa na Marekani nchini humo

    Wanajeshi 3 wa Talibani wameuawa walipojaribu Kurusha ndege za black hawk zilizoachwa na Majeshi ya Marekani yalipoondoka nchini humo. Mnamo mwezi Agosti 31 mwaka 2021 Majeshi ya Marekani yaliondoka nchini Afghanistan na kuacha vifaa vya kijeshi nyuma zikiwemo Helikopta ambazo ziliachwa zikiwa...
Back
Top Bottom