matengenezo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Stephano Mgendanyi

    Bashungwa: Wataalam Waliostaafu Kuendelea Kutumika Katika Ujenzi na Matengenezo ya Barabara

    Wizara ya Ujenzi kupitia taasisi zake ERB na TANROADS inaandaa utaratibu wa kutumia wataalam wa ndani waliostaafu katika ujenzi na matengenezo ya barabara. Haya yamebainishwa na Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa wakati wa kuwasilisha bungeni makadirio ya mapato na matumizi kwa mwaka 2024/25...
  2. X

    Rais wa Iran, Ebrahim Raisi na Waziri wa Mambo ya Nje wafariki dunia kufuatia ajali ya Helikopta

    Imethibitishwa kuwa raisi wa Iran alikuwa ndani ya helicopter hiyo iliyopata ajali. Vikosi vya uokoaji vimeshindwa kutambua na kufika neo husika ilipotokea ajali hiyo kwa sababu ya hali mbaya ya hewa. Wengine waliokuwa kwenye helicopter hiyo ni pamoja na Governor wa East Azarbaijan, Ayatollah...
  3. K

    Ndege ya Air Tanzania kukaa muda mrefu kwenye Matengenezo huko Malaysia

    Nchi ya Tanzania ilinunua ndege mpya aina ya dreamliner natumaini ni mwaka 2021 lakin ndege hii haina zaidi ya miaka mitatu tayari iko gereji. Ndege mpya aingii akilini mwangu. Wakati ndege hiyo inapelekwa kwenye matengenezo wananchi hatukutaarifiwa na baadaye raia mwema ndo katoa taarifa...
  4. Hismastersvoice

    Serikali ondoeni haraka tozo hizi za matengenezo ya nyumba wakati huu wa mvua

    Yamenikuta najuta kuwa na kibanda, wiki iliyopita mvua ilinyesha usiku na kubomoa choo cha nyumba yangu cha mtindo wa pasipoti sasa hivi, asubuhi kulipokucha nikaenda kununua simenti na matofali na kuamua kukijenga upya, hamadi serikali ya mtaa kumbe nao wanajua watatupata, wakanidaka. Baada ya...
  5. Supu ya kokoto

    Matengenezo ya gari

    Wakuu habari. Hitaji langu kubwa ni kumiliki gari aina ya Land Rover Defender 110. So kuna mdau kanambia nimtafute MTU aliyonayo hata kama ni skrepa aniuzie ili niifufue. Vipi gharama ya engine na gear box pamoja na essentials zingine zote zinaweza kuwa TSH ngapi? Nahitaji gari la shamba na...
  6. The best 007

    Hakuna matengenezo yoyote yaliyofanyika uwanja wa Mkapa

    Tuliambiwa kuna maboresho makubwa ya uwanja wa Benjamin William Mkapa (BWM) Stadium, lakini kiuhalisia sijaona jipya lolote mpaka jana nilipoenda kuangalia mechi ya wananchi (timu bora Afrika Mashariki na kati kwa sasa). Uwanja ni mchafu, vyoo vichafu, viti ni vilevile vya kizamani, kwa kifupi...
  7. Stephano Mgendanyi

    Wizara ya Ujenzi Yajipanga Kufanya Matengenezo Miundombinu Iliyoathiriwa na Mvua na Kupunguza Foleni

    WIZARA YA UJENZI YAJIPANGA KUFANYA MATENGENEZO MIUNDOMBINU ILIYOATHIRIWA NA MVUA NA KUPUNGUZA FOLENI Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amesema kuwa katika mwaka wa fedha 2024/25 Wizara kupitia Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) itajikita katika kufanya matengenezo makubwa katika maeneo...
  8. BARD AI

    DAWASA: Matengenezo ya Mtambo wa Ruvu Chini yanakamilika leo, Tatizo la Maji litakwisha

    Kaimu Afisa Mtendaji Mkuu wa DAWASA Kiula Kingu amesema matengenezo ya moja ya chujio la kuhifadhia maji katika mtambo wa kuzalisha maji Ruvu chini yatakamilika leo ambapo tatizo la maji lililodumu kwa saa 36 katika baadhi ya maeneo ya Dar es salaam na Pwani litakwisha na Watu watapata maji safi...
  9. BARD AI

    Injini ya Airbus ya Air Tanzania ilipata hitilafu ikiwa angani Februari 24, 2024

    Abiria 122 wa Shirika la Ndege Tanzania (ATCL), wamenusurika kifo wakiwa safarini baada ya ndege waliokuwa wamepanda kupata hitilafu kwenye moja ya injini zake. Ilikuwa Jumamosi Februari 24, 2024, ndege ya ATCL Airbus A220-300 iliyoruka kutoka Dar es Salaam kwenda Mbeya iliponusurika kushika...
  10. U

    Kuna kitu Yanga wamechimbiwa Kwa Mkapa huku uwanja ukiwa umefungwa kwa matengenezo, Simba isithubutu kucheza kwa Mkapa

    Timu zote za watani wa jadi zina kamati za ufundi hakuna asiejua, tofauti ni kwamba simba anafanya hata wazi wazi ila Yanga ni kwa siri kimya kimya gizani na mafichoni. Ni kweli Yanga wanaubonda ila kuna vitu extra vinawabeba. Uwanja huo umefungwa Mar mbili kwajili ya marekebisha, baada ya...
  11. Kiboko ya Jiwe

    Kwa musiojua gharama za matengenezo ya magari ya serikali njooni

    Sijaiona picha ya sehemu za nyuma za gari hii. Ikiwa imeharibika hapo tu panapoonekana kwenye picha serikali itatumia zaidi ya milioni 50 kutengeneza gari hii. Gari itakaguliwa na TEMESA, serikali italipa gharama za ukaguzi, kisha TEMESA watatoa tenda kwenye garage binafsi kama vile KINAI, ADAM...
  12. Papaa Mobimba

    Mamlaka zifanyie matengenezo kituo cha daladala Tabata Segerea

    Miundombinu ya hiki kituo imeharibika kiasi fulani na kutengeneza mashimo makubwa ambayo kwa kipindi hiki cha mvua yanahifadhi maji na kusababisha kero kwa wanaotumia kituo hicho. Kwanza panapitika kwa shida, usipokuwa makini unaogeshwa maji machafu na daladala au bajaji. Pia yale mashimo...
  13. Mshobaa

    Barabara ya Goba mpakani, hii sio hujuma?

    Habari wakuu, Mnamo mwaka Jana zilikuja taarifa hapa juu ya hii barabara ya Goba mpakani ilivyokuwa hatarishi kupitika baada ya kupigiwa kelele hapa hapa jamvini wahusika mara moja wakaenda kuichonga. Sasa basi hii barabara kwa kweli ina hali mbaya sana kwa sasa, wahusika ni Kama hawaioni...
  14. R

    Ufafanuzi wa Serikali: Kuvuja maji Uwanja wa Mkapa ni sababu ya ukarabati mkubwa uwanjani hapo

    Serikali kupitia wizara ya utamaduni, sanaa na michezo imetoa tamko rasmi kutokana na video inayosambaa kwenye mitandao ya kijamii ikionesha kuvuja kwa maji katika moja ya sehemu ya Uwanja wa Benjamini Mkapa.
  15. K

    Matengenezo ya Daraja la Kigongo Feri mpaka Busisi kulikoni?

    Jana tarehe 19/9/2023 nilipitia kivuko cha Kigongo Ferry mpaka Busisi, na kwa kawaida unapopitia pale utaona kazi zinavyofanyika kwa ajili ya matengenezo la daraja linalounga Kigongo Feri na Busisi. Kwa masikitiko yangu sikuona chochote kinachofanyika pale kama vile watu wamehama au wako...
  16. R

    Wizara ya Habari acheni kuonea watumishi maskini, mnawasimamisha kazi waliowashauri mtoe fedha za matengenezo ya mfumo wa umeme mkakataa?

    Mhe. Rais kilichofanywa na wizara ya Habari hakina hata chembe ya Haki. Ukisoma barua ya wizara inasimamisha wafanyakazi kazi kisha barua hiyo hiyo inaeleza kwamba wanaharakisha mchakato WA tenda; unajiuliza Nani kawaambia wizara kama hitilafu ilivyotokea inahitaji tenda? Maana yake wanayo...
  17. wajingawatu

    Barabara za mitaani ndani ya Manispaa ya Morogoro ni miaka mitatu sasa bila matengenezo: Je, TARURA Morogoro Mpo?

    Barabara za mitaani ndani ya Manispaa ya Morogoro zimeharibika hadi kero. Ndugu zetu wahusika, yaani TARURA, wanavuta mpunga tu na kuotesha vitambi bila kujali wakazi wa Manispaa hi pendwa wanateseka kwa barabara zetu kukosa matengenezo. Ubovu wa barabara hizi ni wa muda mrefu, yapata miaka...
  18. Mgweno Hamisi

    Nahitaji fundi simu mwaminifu na mtulivu kwenye kazi yake, anayeijali kazi yake na ya mteja

    Fundi simu anahitajika. Awe K/Koo, Dar. Weka namba, kikubwa soma tangazo langu.
  19. BARD AI

    Mtambo wa kuzalisha Maji wa Ruvu Juu umezimwa tena kwa Matengenezo

    Kwa mujibu wa Taarifa ya Mamlaka ya Majisafi na Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) mtambo huo umezimwa kuanzia leo Februari 23, 2023 hadi saa 6 usiku Februari 24, 2023 Maeneo yanayoathirika ni Chalinze, Mboga, Ruvu Darajani, Ruvu JKT, Vigwaza, Mlandizi, Mbwawa, Visiga, Maili 35, Misugusugu...
  20. nzahaksm

    Hafla ya utiaji saini Mkataba wa Ukarabati wa Kivuko cha MV Magogoni

    Leo wakati navuka kutokea Kigamboni nimekutana na suala la kustaajabisha sana. Viti na mapambo yamewekwa eneo la mbele kidogo ukishuka kwenye kivuko kutoka Kigamboni. Kulikuwa na kivuko chetu kimesimama kutoa huduma na leo ndio kuna sherehe ya kutia saini ili ukarabati uanze mara moja. Kuna...
Back
Top Bottom