Jukwaa la Ujenzi na Makazi

An opportunity for everyone involved with the construction industry including designers, contractors, clients, suppliers and site workers

JF Prefixes:

Wakuu habari za muda huu najua mko njema tunaendelea kupata pumzi ya bure na Mungu atubariki Kama kawaida kuna wakati mtu unapambana na inafika hatua unatamani uwe na kwako uchomoke kwenye mambo...
0 Reactions
10 Replies
144 Views
Kumekuwa na maoni kadhaa kuhusu ni bati kutoka kampuni ipi hasa ya kutumia wakati wa kupaua ukizingatia tofauti ya bei kutoka kampuni hizo, huku kukiwa na maneno kuwa kuna baadhi ya kampuni...
2 Reactions
21 Replies
644 Views
Heshima kwenu wataalam, nimehamia kikazi hapa Mwanza. Sasa nimekuja kugusa bei za nyumba nikaona kama nitawapa faids tu washkaji. Maana nyumba ya standards zangu naambiwa 3,600,000/= kwa mwaka...
13 Reactions
150 Replies
19K Views
Habari wanajamvi. Samahani nina kiwanja kina ukubwa wa 2430 square meter. Nataka nijenge uzio ambao ni standard, namaanisha uwe na urefu toshelezi. Msingi una urefu wa futi mbili kutoka...
0 Reactions
12 Replies
288 Views
PLN 0001 2BR Ramani ya Vyumba Viwili Living room (Sebule) 1 Master bedroom with a Dressing room (W.I.C) 1 Single bedroom Kitchen (Jiko) Public toilet (Choo cha jumuiya) Ramani hii ina privacy...
31 Reactions
511 Replies
39K Views
Nina rafiki yangu anataka kujenga nyumba ya gorofa moja, katika mchoro wa ramani architecture aliweka kua zitumike nondo za 14mm beam na 16mm columms. Katika kuanza kujenga fundi chuma alishauri...
7 Reactions
25 Replies
30K Views
Ningependa kujua kama nahitaji kuweka fence kama hii nitumie mmea/mti/maua ya aina ila ambayo itaweza kuni guarantee usalama dhidi ya kupenyeka kwa urahisi. Karibuni wenye ueledi juu ya hili
5 Reactions
15 Replies
932 Views
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ametoa wito kwa Taasisi za Serikali kutumia njia mbalimbali bunifu ikiwa ni pamoja na kuanzisha hatifungani ya kupata fedha ili ziweze kugharamia miradi ya...
1 Reactions
0 Replies
61 Views
Suala la ujenzi linahitaji utaalam wa hali ya juu ili kuhakikisha pesa zako hazi potei bure maana ujenzi ni gharama sana. Zipo namna nyingi za kukusaidia kujua ubora wa kazi yako, na hapa...
0 Reactions
0 Replies
107 Views
Rebar coupler, ni aina mpya ya uunganishaji wa nondo za nguzo (column) au nondo za beam au za retaining walls wakati wa zoezi la ufungaji wa chuma (usukaji wa nondo). Aina hii hutumiwa zaidi na...
1 Reactions
0 Replies
104 Views
Wakuu haya haya haya amkeni kumekuchwa Msiseme sikuwaambia Hatimaye nimeanza kutimiza ile ndoto ya kujenga ghorofa na kwa kuanzia nimeshaleta kifusi kimoja cha mchanga. Nilipata kijisenti hapa...
11 Reactions
74 Replies
2K Views
Nikiwa naendelea na makusanyo ya pesa yangu, ya kufikia ndoto ya ujenzi wa ghorof, nimepata ramani hii na kiwanja changu ni Mita 16 kwa 14. Je wakuu hii Ramani hapa inakaa kwa ukubwa wa kiwanja...
0 Reactions
1 Replies
142 Views
Nina uzoefu wa miaka miwili as Lab technician nimefanya Bwawa la Umeme la mwalimu Nyerere. Natafuta kazi as Civil technician Foreman Lab technician CAD technician Nipo Dar es salaam
1 Reactions
15 Replies
241 Views
Nimeona watu wengi wamekua wakikumbana na changamoto za kununua ardhi na hii ni kutokana na elimu ndogo juu ya mchakato upi sahihi wa kutambua mmiliki haswa wa kiwanja husika. Kuna hii kitu...
0 Reactions
0 Replies
102 Views
Ni changamoto gani sugu mnakutano nazo kuhusiana na swali zima la makazi? Je, mnakutana na ugumu wa kupata vyumba,nyumba,viwansehemu za kuishi n.k Niambie hapa chini kwenye comment ipi ni...
2 Reactions
4 Replies
162 Views
Wataalam wa Biashara na Ujenzi, kuna faida gani kwenye Ushirika kwenye ujenzi JV (Joint Venture ) kwenye ujenzi wa jengo la biashara? Juzi niliandika jengo linatafuta Mwekezaji kujenga au...
0 Reactions
0 Replies
88 Views
Wadau nawasabahi. Nimebahatika nimepata kiwanja Eneo la Mkorea njia ya kwenda Kibada chenye ukubwa wa 20mx30m. Mipango yangu nikujikakamua nijenge Ghorofa 1 ya vyumba 3 jiko dinning vyoo na...
5 Reactions
30 Replies
1K Views
Kwanza marhaba wadogo zangu, Mimi ndo nimefika stegi ya kuweka vyoo, Sasa nimefika juzi madukani nimekutana na kampuni kama 30 hivi brand mbalimbali, wote wakiuza vyoo, Sasa katika kupagawa...
2 Reactions
11 Replies
473 Views
Ukiingia kwenye huu mfumo wa Tausi kupitia tausi.tamisemi.go.tz una vitu vingi sana ndani japo vingine naona havifanyi kazi. Nimefurahishwa sana na uuzaji wa viwanja ambapo unanunua kiwanja...
14 Reactions
66 Replies
5K Views
TUNAENDELEA NA UJENZI WA MAABARA ZA MASOMO YA SAYANSI KWENYE SEKONDARI ZETU Jimbo la Musoma Vijijini lenye Kata 21, hadi leo hii lina jumla ya Sekondari 28. Kati ya hizo, 26 ni za Kata/Serikali...
0 Reactions
0 Replies
62 Views
Back
Top Bottom