Ujenzi wa ghorofa 1 hatua kwa hatua na makisio ya vifaa

Mzee wa Twitter

JF-Expert Member
Nov 5, 2023
1,487
2,344
Wadau nawasabahi. Nimebahatika nimepata kiwanja Eneo la Mkorea njia ya kwenda Kibada chenye ukubwa wa 20mx30m. Mipango yangu nikujikakamua nijenge Ghorofa 1 ya vyumba 3 jiko dinning vyoo na sebule.

Ombi kwenu ni makisio na hatua za kufuata za ujenzi pia kama itawezekana kujua idadi ya nondo kila nguzo size za nondo beam pia usukaji wa slab pale juu idadi ya nondo eneo la ghofofa itakuwa Sgm 80 kwa maana 8mx10m
 
Wadau nawasabahi.Nimebahatika nimepata kiwanja Eneo la Mkorea njia ya kwenda kibada chenye ukubwa wa 20mx30m
Mipango yangu nikujikakamua nijenge Ghorofa 1 ya vyumba 3 jiko dinning vyoo na sebule.
Ombi kwenu ni makisio na hatua za kufuata za ujenzi pia kama itawezekana kujua idadi ya nondo kila nguzo size za nondo beam pia usukaji wa slab pale juu idadi ya nondo eneo la ghofofa itakuwa Sg.m 80 kwa maana 8mx10m
Kwa ujenzi wa hivi wacha maghorofa yaendelee kudondoka huko kigamboni.
 
Wadau nawasabahi. Nimebahatika nimepata kiwanja Eneo la Mkorea njia ya kwenda Kibada chenye ukubwa wa 20mx30m. Mipango yangu nikujikakamua nijenge Ghorofa 1 ya vyumba 3 jiko dinning vyoo na sebule.

Ombi kwenu ni makisio na hatua za kufuata za ujenzi pia kama itawezekana kujua idadi ya nondo kila nguzo size za nondo beam pia usukaji wa slab pale juu idadi ya nondo eneo la ghofofa itakuwa Sgm 80 kwa maana 8mx10m
Ili kupata makisio ya bajeti,ni lazima
  • Uwe na Ramani ya usanifu ya hiyo ghorofa
  • Ramani na nyara za mhimili (Structural documents)

Maana maghorofa hutofautiana bei kulingana na
  • Ukubwa wa jengo
  • Aina ya ujenzi
  • Aina ya matilio
  • Eneo la ujenzi
Hizo nyara mbili nilizo zitaja, ndiyo hutoa majibu ya maswali yote...
 
Wadau nawasabahi. Nimebahatika nimepata kiwanja Eneo la Mkorea njia ya kwenda Kibada chenye ukubwa wa 20mx30m. Mipango yangu nikujikakamua nijenge Ghorofa 1 ya vyumba 3 jiko dinning vyoo na sebule.

Ombi kwenu ni makisio na hatua za kufuata za ujenzi pia kama itawezekana kujua idadi ya nondo kila nguzo size za nondo beam pia usukaji wa slab pale juu idadi ya nondo eneo la ghofofa itakuwa Sgm 80 kwa maana 8mx10m
Nakushauri anza hivi
1. Michoro -zingatia na hakikisha imekamilika
2. Fatilia kibali cha ujenzi
3. Tafuta mtaalamu akupe makadilio halisi

USisahau kurasimisha eneo lako
 
Wadau nawasabahi. Nimebahatika nimepata kiwanja Eneo la Mkorea njia ya kwenda Kibada chenye ukubwa wa 20mx30m. Mipango yangu nikujikakamua nijenge Ghorofa 1 ya vyumba 3 jiko dinning vyoo na sebule.

Ombi kwenu ni makisio na hatua za kufuata za ujenzi pia kama itawezekana kujua idadi ya nondo kila nguzo size za nondo beam pia usukaji wa slab pale juu idadi ya nondo eneo la ghofofa itakuwa Sgm 80 kwa maana 8mx10m
Inaonekana una moto sana
 
Uko na michoro
 
Ghorofa la kukaa binadam sio sawa na ghorofa la banda la kuku.. kwamba utapiga mbao katikati utenganishe majogoo na vifaranga.

So far so good... ni vyema ukamtafuta mtaalam au mwenye ghorofa jirani na ww akupe ABC
 
Nilikupm umeona?
 
hahaha
 
Back
Top Bottom