Expert, naomba kujua ni kampuni gani Ina vyoo imara vya kuchuchumaa

ubarinolutu

JF-Expert Member
Oct 22, 2012
1,979
3,919
Kwanza marhaba wadogo zangu, Mimi ndo nimefika stegi ya kuweka vyoo, Sasa nimefika juzi madukani nimekutana na kampuni kama 30 hivi brand mbalimbali, wote wakiuza vyoo, Sasa katika kupagawa nikashindwa ninunue vya kampuni gani .
Nikasema kwakuwa jamii forum Kuna jukwaa ambalo wapo watu wamesomea haya mambo basi Nije kuuliza, hivyo naomba msaada wa kujua ni kampuni gani inavyoo vizuri na imara,
 
Vyoo vya kuchuchumaa karibia vyote vinalingana ubora , vya kukaa ndo unatakiwa umakini kwenye kuchagua , kuna ambavyo vinatumia maji kidogo n.k
 
Kuna vingine siku hizi vimeyumba mkuu, ukiweka pimamaji umakuta kingo zake haziumani na tiles,
 
Kwanza marhaba wadogo zangu, Mimi ndo nimefika stegi ya kuweka vyoo, Sasa nimefika juzi madukani nimekutana na kampuni kama 30 hivi brand mbalimbali, wote wakiuza vyoo, Sasa katika kupagawa nikashindwa ninunue vya kampuni gani .
Nikasema kwakuwa jamii forum Kuna jukwaa ambalo wapo watu wamesomea haya mambo basi Nije kuuliza, hivyo naomba msaada wa kujua ni kampuni gani inavyoo vizuri na imara,
Arrow
Castleware
Jaquar
Bobo

Karibu Kwa ushauri zaidi!
 
Kwanza marhaba wadogo zangu, Mimi ndo nimefika stegi ya kuweka vyoo, Sasa nimefika juzi madukani nimekutana na kampuni kama 30 hivi brand mbalimbali, wote wakiuza vyoo, Sasa katika kupagawa nikashindwa ninunue vya kampuni gani .
Nikasema kwakuwa jamii forum Kuna jukwaa ambalo wapo watu wamesomea haya mambo basi Nije kuuliza, hivyo naomba msaada wa kujua ni kampuni gani inavyoo vizuri na imara,

Hili swali mbn sielewi kwani vyoo vinauzwa🤔🤔 au mimi ndio sijaelewa
 
Na kama una nunua vingi, nenda kwa wauzaji wa jumla.
kwa dar es salaam unaweza kufika pale DIY Mwenge, wazalisha wa vifaa vya ujenzi chapa ANDIKA.
Wako hatua chache kutoka mwenge mataa, chukua njia ya kwenda cocacola wako upande wa kulia.
-vyoo vya kukaa pale ni 17,500, mtaani ni 22000-25000
-Washing basen na mguu wake (complete ) ni 65000. huko kwetu ni kuanzi 110,000.
-vyoo vya kukaa navyo bei nzuri
wana vitu vingi vya ujenzi , ukiweza pitia
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom