kampuni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. BigTall

    Upigaji, utapeli, uliojifichika kwenye kofia ya Kampuni Binafsi za Ulinzi

    Ni uchunguzi wa miezi zaidi ya mitatu kwa nyakati tofauti kwenye maeneo mbalimbali Jijini Dar es Salaam na mikoa jirani, ambapo safari yangu inakutana na Walinzi wa kampuni binafsi wakitoa kauli zenye kuashiria uwepo wa mazingira ya upigaji, utapeli na usanii. Nini kinabainika? Kwa siku za hivi...
  2. Bexb

    UENDESHAJI KAMPUNI: KUMTOA MWANAHISA.

    Habari ya majukumu wakuu. leo nataka tuzungumzie suala hili kidogo kwani nimekua nikipata maswali juu ya suala hili kwa watu kadhaa kutoka hapa JF. Wengi wamekua wakiuliza namna ya kuwatoa baadhi ya wanahisa katika kampuni lakini wamekua wakikwama katika hilo kutokana na sababu mbalimbali hivyo...
  3. Mr Why

    Natafuta watu au kampuni ya kufanya Partnership ya Social Network mfano sawa na Facebook & Twitter

    Moja kwa moja kama kichwa cha habari kinavyosema ni kweli natafuta watu au kampuni ya kufanya nao Partnership ya Social Network ili tufaidike sote Mtandao tayari umeshaundwa mfano wa Twitter na Facebook kilochobaki natafuta watu au kampuni tutakayoingia Partnership ili tusaidiane kulipa bill za...
  4. peno hasegawa

    TANZIA Elinaike O. Ulomi amefariki Dunia.

    Ninatoa pole sanaa Kwa familia ya Ndg. PATRICK NGILOI ULOMI Kwa kuondokewa na Mama Yao mpendwa hakika wamekuwa kati majonzi makubwa ya kuondokewa na muhimili na nguzo imara ya familia nawapa pole sana na kuwatakia subra tele kutokana na msiba huu mkubwa uliowapata kipindi bado mna mna muhitaji...
  5. CONTROLA

    Mitungi Empty ya GAS 300 inauzwa Kampuni Mihan/Taifa

    Kwa wafanyabiashara wakubwa wa GAS kuna mitungi inauzwa ipo 300 cylinder zisizo na gas. Mtungi mmoja bei (Bila Usafiri) 14,000. Kampuni iliyopo ni Taifa/Mihan Gas... Anahitajika Mfanyabiashara atakaeweza inunua kwa pamoja mitungi yote 300 na sio 200 wala 250 wala 270 bali ni yote 300. Bei...
  6. Miss Zomboko

    Urusi: Rais Putin asaini amri ya kukamatwa kwa Mali za Raia wa Marekani Nchini Urusi pamoja na Kampuni ili kufidia Vikwazo vya Marekani dhidi ya Mosco

    Rais wa Russia Vladimir Putin amesaini amri inayoruhusu kukamata mali za Marekani, za raia wake na za kampuni zake ndani ya Russia, kama fidia kwa mali za Russia zilizoathiriwa na vikwazo vya mataifa ya Magharibi dhidi ya Moscow. Nchi za Magharibi zilizuia dola bilioni 300 za mali za kifedha za...
  7. frank mkweli

    Naomba kujua adhabu kisheria ya kesi ya kuisababishia hasara kampuni

    Habari wakuu, naomba kujua Sheria inasemaje kuhusu adhabu kama utashitakiwa na kampuni kwamba umeisababishia hasara na kampuni kweli ikawa na ushahidi na ukapatikana na hatia kisheria. Natanguliza shukrani
  8. L

    LWAGAKA BUSINESS CONSULTANT: Tunasajili biashara, majina ya biashara, kampuni, NGO na Taasisi mbalimbali

    Habari, karibuni tuwasajilie biashara na huduma mbalimbali na hizi ndo huduma zetu tunazotoa: OUR SERVICES 1️⃣Company registration/ kusajili kampuni (200,000) 2️⃣Business name registration/Jina la biashara (60,000 pamoja na ada) 3️⃣Business license application/leseni ya biashara (50,000)...
  9. Mr Presider

    Nizingatie nini napotaka kufungua Kampuni ya Usafi?

    Habarini ndugu zangu naitwa Laurian, Ningependa kuomba kujua vitu mbalimbali muhimu kuhusu Ufunguaji wa Kampuni ya Usafi. Je, naitaji kuwa na vibali kutoka wapi? Je, Unaweza kuanza kazi ukiwa na mtaji wa shingapi na wafanyakazi wangapi? Pia malipo yake yakoje kama iwapo ntafanikiwa wale...
  10. K

    Nampa maua yake DTO wa Korogwe ila Kampuni ya BM ijitafakari kuhusu huduma zao

    Basi tulilolitumia ambalo lilikwama njiani tukasaidiwa na RTO (Regional Traffic Officers) Nikiwa mmoja wa Wasafiri katika Basi la BM, tukitoka Dar kuelekea Arusha, ambapo liliondoka Dara majira ya Saa Nane Mchana jana Mei 19, 2024, tulikutana na changamoto ya kiufundi njiani. Picha linaanza...
  11. Chakaza

    Kampuni za simu, mbona mnaunyamazia utapeli wa kuungwa vifurushi vya muda wa maongezi na data?

    Kuna matangazo mengi ya kuungwa vifurushi vya muda wa maongezi na Data mitandaoni na watu wanaamini na kupigwa pesa kila uchao. Lakini pamoja na mitandao husika kutajwa bado wao wako kimya kama vile hayawahusu. Je, ni kweli huduma ya kuungiwa vifurushi imebinafsishwa? Au ni wizi ambao na...
  12. Hakuna anayejali

    Kwenu kampuni ya bia Serengeti

    Bia aina ya pilsner imeandikwa bei elekezi 1700, klwanini inauzwa 2000 na maeneo mengine 1800 tofauti na mlichoandika?
  13. Analogia Malenga

    Je, umeombwa radhi na kampuni unayotumia huduma yake kwa tatizo la mtandao au wanakuona mbwa?

    Baafhi ya kampuni zimekuwa zikiwatumia wateja ujumbe kuwajulisha tatizo la umeme. Nadhani ni suala la kiuungwana sana. Mimi nimetumiwa ujumbe na kampuni ya mawasiliano ninayotumia, na kuna huduma nyingine nimetumiwa ujumbe pia. Kwa kweli nimejisikia faraja. Je umepata ujumbe wa huduma yoyote...
  14. Kalaga baho

    Ni kampuni gani unanunua mwani?

    Wakuu vipi? Nina Imani wote mu wazima, ni kampuni gani kwa dar hapa inanunua mwani wakuu? Bei ya kilo ikoje? Nawezaje na naanzaje kupata mteja nje ya nchi ikiwezakana wakuu?
  15. Yoda

    Safaricom yaweka rekodi Africa Mashariki kufikisha mapato ya dollar billion 1 kwa mwaka

    Wiki hii kampuni ya simu ya Safaricom ya Kenya imefikisha mapato ya dollar bilioni 1.07 kwa mwaka na kuifanya kampuni ya kwanza katika ukanda wa Africa Mashariki kufikisha na kupita kiwango cha mapato ya dollar bilioni kwa mwaka.
  16. julaibibi

    Kampuni za simu

    Nashauri hii usemi nikiunga bando nawapa hela mnasema ndugu mteja ombi lako linashuggulikiwa utapata ujumbe ... . hapana mana hilo sio ombi Semen amri yako inashughulikiwa
  17. Azniv Protingas

    Ni hatua gani za kufuata ili kuishtaki kampuni binafsi ambayo imenitapeli

    Kama kichwa kinavyoelezea hapo juu, kuna kampuni moja binafsi imenitapeli kiasi cha pesa. Sasa naomba kujua nawezaje kufungua kesi na kuishtaki ili niweze kupata haki yangu. Pesa yenyewe ninayowadai ni kidogo (250,000) ndio maana nasita kwenda kushtaki kwa kuhofia kuwa kunaweza kuwa na gharama...
  18. Erythrocyte

    Huu ndio uongo wa Kampuni ya tiGO Tanzania

    Hebu angalia Tangazo lao Halafu angalia walichokifanya nusu saa kabla ya muda Hii ni Aibu kwao na Mamlaka zinazowasimamia Nimeweka ushahidi huu ili kuondoa uongo uongo kwenye masuala ya msingi, hizi hela tunazoweka humu si zao ni zetu wajaribu kutuheshimu
  19. GedsellianTz

    Aibu kwa kampuni ya Cocacola, fanta ndani ina kisoda kilichokunjwa

    Habarini wadau.... Leo nimenunua kreti la soda kampuni ya Cocacola, wakati nataka kunywa soda nakutana na chupa Moja ikiwa ndani na kisoda kilichokunjwa.... Ina maana wakati wa package hii kitu haikuonekana au kampuni haiko serious sana kwa Sasa.
  20. vicentmark

    Nafasi za kazi 450 kutoka kampuni ya Hope Holdings

    Kampuni Hope Holdings ambayo inaendesha biashara mbalimbali katika Jiji la Dar es salaam kama vile Mgahawa wa Papparoti, Super Market maarufu ya kuuza mazulia iitwayo Amal Carperts Mlimani City na Maduka ya FLO, Bottega Verde, Flormar, Skechers, Defacto na LC Waikiki, imetangaza nafasi 450 za...
Back
Top Bottom