tigo

  1. kali linux

    Kero: Inaonekana Baadhi ya IP Addresses zinazotolewa na mtandao wa Tigo na Airtel zipo blacklisted (zina low reputation)

    Hello bosses and roses... Wiki hii nimepata changamoto kubwa ya kukosa access kwenye baadhi ya websites ninapotumia intaneti ya mtandao wa Tigo. Shida ilizidi zaidi kupelekea baadhi ya websites zangu mwenyewe kuanza kutopatikana kwa users walokuwa wanatumia mtandao wa Tigo na Airtel, ivyo...
  2. MASSOUD AHMED

    Tigo post paid inakera

    Hii huduma ya Tigo post paid ni kero, mawakala wanaowapa kazi waunganishe watu hawawaambii wateja vikwazo vilivyopo, wanakuunga kwa group la watu usiowajua. Akitokea mmoja hajalipa na kaacha kutumia laini mnahukumiwa nyote, is not fair na inakera sana mpka tunafkiria kuhama mtandao wao.
  3. T

    Kujua mtu aliyekupigia kwenye Line ya Tigo kama haukuwa hewani

    Wakuu nahitaji Kujua Kama kuna namna ya kuset ili Kujua mtu aliyejaribu kukupigia wakati haupo hewani kwenye mtandao wa tigo
  4. K

    Hiki wanachofanya Tigo siyo utapeli?

    Inafahamika kwamba kwa sasa tigo Tanzania inamilikiwa na kampuni inayoitwa HONORA TANZANIA PLC, lakini kwenye website au hata kwenye huduma zao kama za bustisha n.k terms and conditions zinasoma bado MIC. Hii imeekaaje kisheria incase wamezingua kwenye tigo pesa huduma ya nivushe ambayo terms...
  5. Hckcode8

    Mtumiaji wa mtandao wa TiGO hiki kitonga kisikupite

    Download TIGO PESA APP (play store au app store ) jisajili utapokea 1GB , Kama tayari app unayo log out then hakikisha iko updated then log in again utapata 1GB
  6. Jamii Opportunities

    FTTX Proejct Manager at TIGO

    FTTX Proejct Manager at TiGO May, 2024 Tigo is a telecommunication company in Tanzania. With over 13.5 million registered subscribers to their network, Tigo, directly and indirectly, employs over 300,000 Tanzanians including an extended network of customer service representatives, mobile money...
  7. Cheology

    Tigo pesa wananikata pesa bila mimi kuidhinisha. Nikiwapigia wanababaika.

    Msaada wenu naitaka tigo pesa yangu ila hunikata kila ninapoweka pesa kwa matumizi yangu. Mfano Hii ni kifano tu na sometimes nakatwa nastukia baadae. Msaada wenu ili niset simu yangu isiweze kufanya hii miamala
  8. Erythrocyte

    Huu ndio uongo wa Kampuni ya tiGO Tanzania

    Hebu angalia Tangazo lao Halafu angalia walichokifanya nusu saa kabla ya muda Hii ni Aibu kwao na Mamlaka zinazowasimamia Nimeweka ushahidi huu ili kuondoa uongo uongo kwenye masuala ya msingi, hizi hela tunazoweka humu si zao ni zetu wajaribu kutuheshimu
  9. C

    Tigo wanakata 3% unapohamishiwa salio?

    TIGO Tanzania, juzi wakati namuhamishia dogo salio (siyo kifurushi na wala siyo pesa) ili yeye sasa ajiunge na kifurushi akitakacho, On the process kufikia mwishoni baada ya kuweka amount (angalia picha) naletewa ujumbe wa kwanba mtumiwaji atakatwa 3% ya amount nitakayomtumia. WHY IS THIS 3%...
  10. Gulio Tanzania

    Simu za maduka ya tigo na utapeli wa ofa za mb

    Mwezi huu wa tatu nilienda kumnunulia mdogo wangu simu kwenye duka la tigo nilishawishika kununua simu Ile sababu ya ofa ya kupewa gb kadhaa kwa mwaka lengo langu zile GB zimsaidie kuongeza maarifa kwenye masomo yake ishu ikaanza pale pale kupewa gb pungufu nikauliza kwanini ila nikaambiwa kila...
  11. Uhumbwe

    Kwanini Mtandao wa Tigo umefanya mabadiliko ya Vifurushi kimyakimya?

    Kwanini Mtandao Umefanya Mabadiliko Ya Vifurushi KimyaKimya? Mfano Sms Kwa Mwezi Ilikuwa Tshs 1000 Kwa Sms 10000 Ila Sasa Sms 10000 Kwa Tshs 1500
  12. chiembe

    Wadau washauri Tigo Pesa ya Inonga ifuatiliwe

    Na mimi naunga mkono, nashani sasa aondolewe kikosini, na mechi zilizobaki asicheze hata moja
  13. Vincenzo Jr

    Mtandao wa tiGO waleta huduma ya internet fiber

    📣Tumekuletea Fiber to Home: intaneti ya uhakika, isiyo na kikomo na yenye kasi zaidi Tanzania.💫 Huduma hii mpya kutoka #Tigo, inakuwezesha kuunganisha nyumba, biashara, shule, chuo, ofisi yako na intaneti ya uhakika bila kikomo na kukufungulia ulimwengu wa Kidigitali🌍 kwa gharama ya kuanzia Tsh...
  14. Saad30

    Lipa namba ya VODACOM 5757565 rudisha pesa yangu

    SALAM MKUU. Boss wa Lipa namba ya mtandao wa Vodacom 5757565 ARVINDER HAZARA CHANNA. Tarehe 28 mwezi wa Jana yaani mwezi wa 3 ulipokea pesa kimakosa kutoka kwenye namba ya mtandao wa Tigo 0712**5408 Jina lilikuja ni Farida Hilary. Nimetoa taarifa katika Mitandao yote Tigo na Vodacom lakini...
  15. snipa

    Kampuni ya tiGO kutumia Nguvu kubwa kulazimisha Watanzania kuweka salio kwenye namba zao za simu

    Ni jambo la kushangaza kidogo, kwasabu ni jambo ambalo halipo kisheria, hata katika makubaliano wakati unasajili laini laini za Tigo. Hii Leo nimepokea ujumbe unaonilazimisha kuweka Salio ndani ya siku tatu, ikiwa Leo ni tarehe 2 mwisho tarehe 5. Na naambiwa laini yangu itafungiwa kupiga simu...
  16. MASSOUD AHMED

    Tigo na huduma yao ya postpaid bundle hatuitaki waiondoshe

    Hili swala la Tigo Na huduma yao ya postpaid bundle hatuitaki waiondoshe kwasababu ni kama aina flani ya kum-blackmail mtu. Imagine unaunganishwa kwa kikundi na watu hata usiowajua then asipolipa mmoja wao nyote mnazuiwa kutumia laini kweli! Wasipoangalia mitandao ipo mingi watapoteza wafuasi...
  17. Stroke

    Mitandao ya Tanzania ni ya hovyo mno, Tigo, Vodacom, Airtel internet ni takataka tu. Wanatuibia pesa zetu

    Huduma za Internet kwa mitandao ya Tigo, Voda na Airtel kwa Tanzania ni mbovu mno. Mtu unaweka bundle lakini mpaka inaisha unakuta hujatumia ipasavyo kutokana na kukatika katika kwa huduma husika. Muda mwingi network hakuna hata ikiwa ni maeneo ya mjini kabisa. Hivi wahusika mnajielewa...
  18. M

    INAUZWA Router za 5G from tigo for free

    Jipatie router kwa matumizi ya ofsin nyumbani na hata kwenye biashara yako, ambayo utapatiwa bure na utalipia laki moja kila mwezi kwa maps 20,na kuendelea hii kwa walioko dsm tu kwa mawasiliano nipgie 0672696527
  19. Jamii Opportunities

    Various Posts at TiGO March, 2024

    Tigo Tanzania is the leading innovative telecommunication company in the country, distinguished as a fully-fledged digital lifestyle brand. Projects Manager Products Quality Assurance Officer Products Manager UI/UX and Front-end Developer Business Solutions Architect Lead Manager, Store...
  20. Mr DIY

    Mtandao wa tigo una "filter" text meseji zetu

    Hawa jamaa kwenye meseji ukiandika neno sex au sexy jua hiyo meseji itaenda ila haiwi delivered abadani... Hebu tuambie neno lingine ambalo halikubali msj kwenda....
Back
Top Bottom