internet

  1. MIKAEL MTANZANIA

    SoC04 Tuachane na matumizi ya vocha, tulipie intanert kama ambavyo tunalipia bili nyingine mwisho wa mwezi

    Kwa mkono wa Mikael Mtanzania Tanzania ni moja ya nchi yenye gharama ndogo sana ya vifurushi vya internet kwani Gb 1 ambayo ni MB 1000 ya internet unaipata kwa elfu tatu ukweli ni jambo zuri na tunaweza kujipongeza kwa upungufu wa gharama hii. lakini ukweli ni kwamba bado tunayoshida ya...
  2. A

    Halotel bando lipo ila Internet [kasi] unajitafutia

    E bhana eh! Nimekumbwa na tatizo la kasi ya mtandao. Baada ya kujiunga na kifurushi cha wiki cha data cha Halotel siku ya leo nimekutana na spidi/ kasi ya Internet ya Kobe. Kuna muda licha ya kuwa data ya Halotel kuwa on napata ujumbe kwa browser ninayotumia [Chrome] ikiniharifu kwamba nipo...
  3. Kinyungu

    Google Watangaza kujenga Mkonga wa Internet kuunganisha Africa na Australia. Tanzania haimo

    Wakuu nisiwachoshe.. habari ndiyo hiyo... Kufuatia ziara ya Ruto huko USA, Google wametangaza kujenga mkonga wa Internet toka Kenya kupitia Uganda, Rwanda, DRC, Zambia, Zimbabwe na South Africa hadi Australia huku Tanzania ikiwekwa kando. --- Today, Google announced new investments in digital...
  4. M

    Airtel internet ina tatizo gani? Siku nzima sipati internet kwenye simu yangu. Je, ni mimi tu ama na wengine pia?

    Habari wadau. Leo Airtel internet imenigomea kabisa. Je, ni simu yangu ndio ina shida ama wengi imewakuta hiyo hali ? Cha kushangaza simu hiyo hiyo nikiweka data line ya voda. Mtandao unafanya kazi vizuri
  5. A

    Tupo wapi na Internet?

    On Sunday, Tanzania was plunged into an internet abyss due to damage to a submarine cable deep within the Indian Ocean. This outage, which affected Tanzania and 11 other African nations, exposed a troubling truth: Tanzania’s internet infrastructure was a house of cards, precariously balanced on...
  6. BabuKijiko

    Wadau mbona kama mitandao ya simu kuna mgao wa Internet ila hawasemi,vipi wengine mmegundua hili jambo

    Maana kama jana Kuna muda Vodacom na halotel Internet ilikata Tigo ilikuwepo,usiku hivi Tigo ilikata nayo nahisi kuna jambo ambalo linaendelea ila wanaficha kwa kumuhofia Waziri Nape
  7. D

    Ewe Nape ukitaka kuvutia matumizi ya Simu janja weka Internet iwe bure siyo kuongeza kodi

    Nape huko vijijini vocha wanaweka mara moja kwa mwezi na wengine wanasubiri kupigiwa na ndugu zao wa mjini, nina uhakika hata kwenye jimbo lako wapo wengi wao. Usiongeze kodi kwenye vitochi hiyo smart ni kama kitochi bila Internet, kama kusudio ni kila mtu awe kwenye dunia ya kidijitali weka...
  8. Mr Why

    Watumiaji wa Internet wazidi kupaza sauti za Starlink

    Serikali kupitia Wizara ya Habari na Mawasiliano imetoa ufafanuzi juu ya ujio wa Starlink ikidai kuwa haijakataa ujio wao bali inasubiri kampuni ya Starlink itimize masharti yaliyowekwa
  9. C

    Waziri Nape: Huduma ya Internet imerejea kwa 94%

    Kwenye ukurasa wake wa X (Twiiter) Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Ndg. Nape Nnauye amesema huduma za internet zimerejea kwa 94% na sasa wanafanya jitihada huduma hiyo irejee kwa 100% "Kazi Inaendelea vizuri. Mpaka mchana wa leo Tarehe 15/5/2024, Huduma za Internet...
  10. H

    Nani anawajibika kwa hasara iliyotokea kwa kukosekana kwa Internet?

    Salam wadau. Tunaambiwa ni tatizo lilikuwa ni mkongo kukatika baharini, watu wengi hawajui mkongo ni nini unakaa wapi unatoka wapi na nani anaumiliki na nani anautengeneza huo mkongo. Mtu anachojua ni kampuni ya simu tu voda, tigo, airtel nk. Hayo mambo ya mkongo unapita baharini hajui hilo...
  11. Replica

    Nape Nnauye: Tanzania kuwa na Satelaiti yake kama backup ya internet, Mkongo uliokatika kuchukua siku 7 zaidi kutengamaa

    Akiwa kwenye kipindi cha Power Breakfast cha Clouds FM leo May 15, Waziri wa teknolojia na habari, Nape Nnauye ameongelea changamoto ya Internet nchini na mipango ya kuliepuka janga kama hili siku za baadae. Kuhusu mkongo uliokatika amesema bado una siku si chini ya saba mbele ili kutengemaa...
  12. A

    Sitashangaa 'Internet' kuendelea ya kubahatisha miezi kadhaa ijayo

    Sasa tumepata kisingizio cha mkongo wa taifa kuharibika. Tutarajie hali hii kwa miezi kadhaa kama si miaka. Ila bei itazidi kupaa. **Ushuzi umepata mjambaji
  13. S

    Tulikatikiwa internet juzi: kuna mambo machache ya kuelewa

    Habari wanajamvi, Leo nimepokea ujumbe kutoka Vodacom uwa internet nchini Tanzania imeanza kutangamaa. Juzi, tumekatikiwa mtandao. Najua watu kadhaa waliongeza bundle kwa hofu kuwa wameishiwa, kumbe kilichotokea kilikuwa nje ya uwezo wao. Leo, ntakupeleka, japo kwa ufupi, nyuma ya pazia...
  14. Melki Wamatukio

    Tukiachana na Fibre Cables, hiki ni kisababishi kingine cha ukosefu wa intaneti

    Picha: Internet Fibre Cable ndani ya bahari ya Hindi ambayo ilipelekea tatizo la internet ================= Umekuwa ukipata shida ya mtandao kwenye hizi siku mbili-tatu ndani ya hii weekend? Umejiuliza kwa nini na kulaumu sana mtandao wako? Usilaumu sana hili tatizo limesababishwa na...
  15. K

    MBONA INTERNET HAINA KASI ?.

    Mimi ninatumia bundle ya vodacom lakini cha kusikitisha internet haina kasi kabisa. Kulikoni?.
  16. U

    TCRA IWE NA MBADALA WA HUDUMA YA INTERNET , TUKIO LA JUMAPILI NI FUNDISHO TOSHA

    Tatizo la huduma ya mtandao internet lililotokea juzi lilikuwa na njia mbadala kama Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania TCRA ingefikiria njia mbadala yani Backup ya Satelite badala ya kutegemea mkongo chini ya Bahari. Kuwepo na backup ya Satelite link
  17. Kitombise

    Tetesi: Makampuni ya simu kutoa GB 10 kama kufidia hasara na kuomba radhi kwa watumiaji wa mitandao ya simu

    Nyepesi nyepesi; Nimepata taarifa kuwa jana jumatatu makampuni yote ya simu yanayotoa huduma hapa nchini kuwa wamekaa na kujadili jinsi ya kutatua changamoto na kufidia hasara kwa watumiaji wa mtandao. Hivyo wamekubaliana kutoa GB 10 kwa kila mtumiaji wa mtandao kama kufidia hasara za bundle...
  18. A

    Ndege zachelewesha safari kutokana na ukosefu wa Internet

    Mashirika kadhaa ya ndege yameathirika pakubwa kwa ukosefu wa internet. Kwenye Uwanja wa JNIA, KIA na Zanzibar ndege kama Emirates, Fly Dubai, KLM, Swiss na Air France zililazimika kuchelewa masaa zaidi ya 4 kutokana na kukosekana na internet. (Ndege kama Kenya Airways na Ethiopian wao walitumia...
  19. F

    Matatizo ya kukatika Internet nchi nzima alaumiwe Waziri Nape kwa kuikataa StarLink

    Waziri wa Habari na Mawasiliano, ndugu Nape Nnauye ndiye anapaswa kulaumiwa kwa kutokuwa na internet ya uhakika nchini kwani waziri huyu aliikataa kampuni ya Mmarekani tajiri zaidi duniani iitwayo StarLink ambayo ina satellite zaidi ya 10,000 angani. Kampuni hiyo iliyowasilisha maombi ya kutoa...
  20. covid 19

    Serikali kupoteza mabilioni sababu ya tatizo la Internet

    Usipoziba ufa utajenga ukuta huu ni msemo wa wahenga ukiwa na maana kuwa mapuuza juu ya mambo madogomadogo upata taabu na hasara kubwa baadae. Mimi naamini dalili za hili tatizo zilikuwepo ila pengine wahusika walijisahau au kupotezea kwa makusudi haya tunayoyaona ni matokea ya mapuuza ya...
Back
Top Bottom