Njugu mawe
Member
- Sep 8, 2023
- 29
- 31
Nikiwa naendelea na makusanyo ya pesa yangu, ya kufikia ndoto ya ujenzi wa ghorof, nimepata ramani hii na kiwanja changu ni Mita 16 kwa 14.
Je wakuu hii Ramani hapa inakaa kwa ukubwa wa kiwanja hicho?
Pia wataalamu wa ujenzi naomba kufahamu kusimamisha jengo hilo bila madirisha, milango wala decoration yoyote itanigharamu kiasi gani ukiondoa hela ya fundi, maana mafundi nitawapata kwa gharama binafsi,
Malengo yangu jengo lisimame kwanza.
Ushauri wenu tafadhari
Picha