GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 57,115
- 110,509
Kuna moja sijui kama bado ipo pale EAC Block kila ikiruka ni lazima ikate Kwanza Kiuno kidogo na Kupinda ili ipate Mwelekeo. Na hata ikiwa inatua ni lazima Boza la Maji liwe Jirani ili Kuipoza. Na nasikia kuna wakati huwa inatumiwa sana na Baba, Mama, Mpaka Supa Blaki na Sura Ngumu Funga Buti kuwaharakisha waendako.
Dr Matola PhD ile Chopper yako iko salama Kweli? Sitaki matatizo kwani nitaitumia zaidi July - Oktoba 2025 sawa?
Dr Matola PhD ile Chopper yako iko salama Kweli? Sitaki matatizo kwani nitaitumia zaidi July - Oktoba 2025 sawa?