21 JuLy
Senior Member
- Aug 16, 2014
- 126
- 257
Baada ya Serikali kupitia pesa za walipa kodi kuweza kujenga stand kubwa ya mabus ya magufuli mbezi mwisho, na pia Serikali tumehamua kwa makusudi shughuli zote za mabus na abiria kuruhusu zifanyike Urafiki/shekilango, ifike hatua sasa tubadilishe matumizi ya Stand ya Bus na iwe Soko, eneo la kuengesha magari kwa kulipia au tutafute mwekezaji wa kiwanda kama ilivyo kawaida yetu.