kariakoo

Kariakoo is a ward in the Ilala District of Dar es Salaam, Tanzania. It has a population of 9,405 (2002). The name derives from a corruption of the British "Carrier Corps", that used to be based in this area. Today, Kariakoo is mainly known for its extensive market, that spans several city blocks.

View More On Wikipedia.org
  1. Mohamed Said

    Miaka ya Udogoni Kariakoo 1963

    UHURU WA ZANZIBAR 1963 Picha hiyo hapo chini ni ya rafiki yangu wa utotoni Mohamed Kitunguu. Tumekutana juzi na sote tulifurahi kuonana. Miaka mingi imepita. Tulijuana sote tukiwa na umri wa wastani miaka 10. Tutembee pamoja katika barabara hii ya kumbukumbu. Nakumbuka kuangalia gazeti...
  2. TODAYS

    Daladala za Mbezi kupitia Manzese, Fire hadi Mnazi Mmoja zimeanza kazi rasmi

    Lilikuwa ni suala la muda tu na hatimaye unaweza kusema tumerudi nyuma au tumerudi kwenye maisha yetu ya kawaida au tuliyozoea. Daladala za kutokea Mbezi mpaka Mnazi Mmoja kupitia Manzese, Magomeni, Fire hadi mnazi mmoja zimeanza kazi rasmi leo. Hadi muda huu bado zipo chache sana, ila kwa...
  3. Mr mutuu

    WanaJF tupeane mawazo kwa mtu anayetaka kufanya biashara Kariakoo kwa mtaji wa milioni 50

    Kwema wakuu, Kuna mtu kanifata anahitaji ushauri, anataka kujilipua kwenda kariakoo kufanya biashara.... Kwanini Kariakoo? Anaamini Kariakoo ndo hub ya biashara hapa Tanzania.... Mzunguko wa kariakoo si rahisi kuupata mahali pengine popote hata kama unapata faida ndogo Amekua akifanya...
  4. D

    Nauza abaya dresses kwa Tshs 50,000

    Nauza abaya dresses, Size l,Xl,2xl&3xl, Bei Tsh 50,000/= Tunapatikana kariakoo Mtaa wa Raha 📞0686841100
  5. Erythrocyte

    Sauli Amon (S.H.AMON) abambwa kwa Utapeli wa nyumba Kariakoo

    Mbunge wa Zamani wa ccm huko Rungwe, Sauli Pattaya, amewekwa kitimoto na Waziri wa Ardhi Jerry Silaa kwa utapeli wa wa Nyumba ya Udongo, kuivunja na kujenga jengo la ghorofa 8 kwa kushirikiana na kampuni ya udalali ya Benki Imeamriwa kwamba S H AMON awagawie aliowadhulumu sehemu ya Hisa za...
  6. JanguKamaJangu

    Ujenzi wa maeneo mengi ya Kariakoo hauzingatii usalama wa Watu na mali zao, hatua zichukuliwe tusisubiri majanga

    Kwa siku za hivi karibuni kama kati yetu kuna ambao wamebahatika kwenda kwenye eneo maarufu la kibiashara Kariakoo jijini Dar es Salaam mtaungana na mimi kwamba kuna ujenzi wa majengo mengi ya gorofa unaendelea kwa sasa. Ujenzi huo unafanyika katika Mitaa mbalimbali ya Kariakoo ambapo kipindi...
  7. Abubakari Mussa

    Nauza power bank

    itakayo weza kukupa uhakika wa matumizi ya simu yako Vaa mkanda twende pamoja 🔋💡 Chaji Bila Wasiwasi na Green Lion 22.5W Power Bank 💡🔋 Karibu kwenye thread yetu kuhusu power bank ya Green Lion 22.5W! Mimi ni Abubakari muuzaji wa power bank za Green Lion, na nataka kushiriki nawe kuhusu...
  8. R

    Nini kifanyike kuondoa wachuuzi Raia wa Kigeni Kariakoo?

    Wachina, Wakongo, wake ya, wanigeria na wazambia wamekuwa wengi sana soko la Kariakoo. Wachina wanapoingia kwenye umachinga maana yake uchuuzi umekuwa kipaombele cha soko Tanzania. Lakini uchuuzi huu unawaondoa watanzania sokoni kwa sababu wachina wanakopeshwa bidhaa kutoka viwandani huku...
  9. BigTall

    Halmashauri ya Jiji imeshindwa kumsimamia Mkandarasi kuzoa taka kwa wakati Mitaa ya Kariakoo

    Hili siwezi kukaa nalo lazima niliseme maana alihitaji uelewa zaidi wa kibobezi. Mimi nafanya harakati zangu za kutafuta riziki mitaa ya Kariakoo sasa nina mwaka mmoja na miezi kadhaa lakini kuna jambo naomba nililete hapa jukwaani wana JF tusaidiane kulipazia sauti. Kama tunavyojua kwenye...
  10. Sina hili wala lile

    Kariakoo ni soko kubwa sana na litanufaisha watanzania kama serikari mambo kadhaa

    kariakoo hii Mpya ambayo inaweza kufunguliwa hivi karibuni, inaweza kuwa na Fursa nyingi kwa vijana na kwa watanzania kwa ujumla kama serikali itaacha mambo kadhaa yafuatayo 1. Kubana uhuru wa wafanya Biashara wadogo wadogo 2. Kupunguza tozo za biashara 3. Kutengeneza miundombinu itakayovutia...
  11. KAGAMEE

    Tangazo la Azam Dabi ya Kariakoo halina mvuto

    Aliyetengeneza hili Tangazo anatakiwa kushitakiwa na uongozi wa Yanga. Tangazo gani la namna ile? 1. Tangazo halina vibe lolote. 2. Mlishindwa nini kuweka magoli ya Yanga akimkanda Simba au Kolo akimfunga Yanga? Viongozi wa Yanga ingilieni kati otherwise mechi yenu uwanja utakuwa mweupe...
  12. Mhafidhina07

    Kuelekea Kariakoo Derby nawashauri Simba watafute mganga mapema au wahonge walinzi mapema

    Raundi ya kwanza timu ya YANGA iliibuka na ushindi mnono dhidi ya SIMBA kuna mwamba mropokaji hapa jukwaani akasema Yanga iliroga na kuhonga walinzi pia walimwaga dawa vyumba vya kubadilishia nguo,nataka kushauri uongozi wa SIMBA mapema kabla matokeo kwamba wafanyie kazi hay Kama mpira Uchawi...
  13. Nokla

    Kariakoo derby kupigwa April 20

    Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) imeupangia tarehe mchezo namba 180 wa Ligi Kuu msimu wa 2023/2024 kati ya Club ya Yanga na Club ya Simba maarufu kama ‘Kariakoo Derby’, baada ya Club hizo kuondolewa kwenye michuano ya CAF Champions League. “Mchezo huo ambao haukupangiwa tarehe kwenye ratiba...
  14. Mwizukulu mgikuru

    Vijana wa Kariakoo (mawinga) ni muda sasa wa kurudi vijijini kulima

    Vijana mnachosha sasa na mmekuwa kero, mnakomaa na maduka ya watu na akija mteja mnamparamia kana kwamba wateja wengine hawajui kilichomleta kariakoo au hafahamu bei ya kile alichokuja kukinunua. Ni muda sasa wa kwenda kulima kumbuka machimbo ya bidhaa yameongezeka Kuna chimbo la katoro Geita...
  15. passion_amo1

    Majibu ya watu walionitafuta kuhusu komenti ya biashara Kariakoo

    Wakuu habari za uzima? Kuna uzi mmoja jamaa alianzisha kama sikosei ni Goodluck7 akiuliza biashara ya mtaji wa milioni 2. Nilitoka komenti yangu kuhusu kuja Kariakoo kufanya biashara kwa pesa hiyo. Nilipokea Pm nyingi sana lakini sikujibu hata moja sababu PM yangu haifunguki na...
  16. JanguKamaJangu

    Hiii ni Kariakoo Gerezani ndani ya Jiji la Dar es Salaam, ni aibu kwa kweli

    Nimerekodi video hii jana asubuhi Machi 20, 2024 nilipokuwa napita mitaa ya Kariakoo, hapa ni jirani na kilipo Kituo cha Mwendokasi pale Gerezani, kama unavyoona mwenyewe hali ya barabara si nzuri. Magari na watu wote kwa pamoja wanapata changamoto ya kupita, mvua ikinyesha hali ndio inakuwa...
  17. B

    Waziri Silaa atinga Kariakoo, asema jengo lililouzwa lina Waqfu uliosajiliwa wizarani. Amshauri mnunuzi akamalizane na aliyempa hela

    WAZIRI JERRY SILAA ATOA SOMO, KAZI YA MSIMAMIZI WA MIRATHI NI IPI, WANUNUZI WA MALI ZA MAREHEMU WAWE MAKINI NA WASIMAMIZI WA MIRATHI KWANI KAZI YAO SIYO KUUZA MALI ZA MAREHEMU BALI KUGAWA MALI KWA KUFUATANA NA USIA, SHERIA ZA DINI AU MILA https://m.youtube.com/watch?v=3i97zL9ftTg 11 March 2024...
  18. M

    Baadhi ya ndugu wauza nyumba ya familia Kariakoo iliyokuwa na waqfu. Mapanga yatembea nje nje

    Nimeona video inatrend ya ugomvi mkubwa wa nyumba ya urithi Kariakoo mtaa wa Manyema. Nyumba hiyo ya ghorofa 5 ilijengwa na mzee anaeitwa Mohammed Alidina ambae alifariki miaka kazaa iliyopita. Mzee huyo wakati akiwa hai alitoa sehemu ya nyumba hiyo. Floor ya juu itumike kama madrassa na...
  19. Mohamed Said

    Siku ya Mwanamke: Bi. Mwamtoro bint Chuma wa Mtaa wa Kariakoo

    Angalia hapo juu picha ya Bi. Mwamtoro bint Chuma mama yake Sheikh Haidar Mwinyimvua. Picha hii inamwonyesha Bi. Mwamtoro bint Chuma akipiga kura Uchaguzi Mkuu wa 1970. Bila ya shaka yoyote kura yake ilikwenda kwa Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere. Haiwezi kuwa vinginevyo. Bi...
Back
Top Bottom