Shule ya Sekondari ya Nshupu iliyopo Kijiji cha Nshupu, Wilaya ya Arumeru, Kata ya Nkoaranga Mkoani Arusha haina milango na katika baadhi ya majengo ikiwemo yale ambayo wanaishi Wanafunzi wa kike wa shule hiyo.
Kutokana na hali hiyo kumekuwa na matukio ya wahalifu kuvamia na kufanya uhalifu...
Naangalia hapa mashindano ya mashule kwa mpira wa miguu ngazi ya Afrika,
Haya mashindano bila shaka yamefana sana lakini nimeona kasoro kwenye team ya Tanzania wasichana ambapo kocha ni Bakari Shime.
Kwa ninavyo faham hizi team huwa shule zinashindanishwa ambapo shule mshindi inaenda na...
Katika kuendelea kuunga mkono jitihada za serikali, wadau wa Maendeleo Shirika lisilo la kiserikali linalojiuhusisha na masuala ya elimu -ECLAT Development Foundation wameanza ujenzi wa chuo cha Mafunzo,ujuzi na malezi kwa wasichana.
Jiwe la msingi la Ujenzi wa Chuo hicho kinachojengwa Kijiji...
Unatongoza binti mbichi kabisa wa 2000 mkifika kwa mkapa akivua jezi unakuta chale mgongoni,kwenye matiti au sehemu yeyote mwilini,ukimuuliza anakwambia nikiwa mdogo niliumwa sana ndio nikaoakwa dawa.
Hii kitu nawezw kusema ni asilimia zaidi ya 80 ya wanawake wa kanda ya ziwa,bila kujali kabila...
JE, WAJUA msichana anayeanza kushiriki ngono katika umri mdogo anakuwa katika hatari zaidi ya kupata Saratani ya Mlango wa Kizazi endapo atakuwa hajapata Chanjo ya HPV?
Takwimu za Wizara ya Afya Tanzania zinaonesha aina 4 ya Saratani zina idadi kubwa ya Wagonjwa nchini kulinganisha na Saratani...
Siku ya Kimataifa ya Wasichana katika Teknolojia ya Habari na Mawasiliano huadhimishwa kila Alhamisi ya nne ya mwezi Aprili kwa lengo la kusisitiza umuhimu wa Wasichana katika ICT
Pia, siku hii hutumika katika kuhamasisha Wasichana na Wanawake wadogo kuchagua masomo ya Sayansi, Teknolojia...
Kuna nchi niliishi hapa Africa kwa muda wa miezi kadha. Kuna vitu nilinifunza Sana kwenye ile nchi.
Kwa muda nilioishi pale, sijasikia watu wakitukana. Ile nchi Ina wasichana wazuri, cha ajabu hawajivuni kutokana na uzuri wao.
Hawatembei uchi, wanavaa kwa kujisitiri. Niliona wasichana...
Wakuu, at first anaonekana kutaka attention yangu lakini navozidi kumkaribia ili kuwa naye urafiki hazipiti siku tatu anaanza kunikwepa na kunionea aibu. Nami ambavyo sipendi kushoboka nampotezea. Girls wengi marafiki nakuwa nawapoteza kiivyo.
Hii imekaaje wakuu
Wasalaam,
Kama kijana ukipata binti anajielewa muoe haraka maana ukimtosa utakuja kujuta baadae.
Kwa upande wangu alikuwepo binti alinielewa sana ila mimi nikaona mimi ndio mimi, nikaona nile ujana kwa kuendelea kubadili wasichana.
Leo yule msichana namkumbuka sana, maana alishakufa na mpaka...
Inakuwaje wanajamvi.
Hatimae imetimia. Practice makes perfect. After a painstaking effort, determination and genuine will six packs zimeanza kujitokeza.
Nimejituma sana kufanya mazoezi na imelipa.
Ninatangaza rasmi kwa madem hatimae nina six packs. Nawatangazia furaha viumbe hawa.
Am...
Nahitaji kumhamishia binti yangu toka shule ya kutwa kwenda ya Bweni chaguo la haraka ni shule za Mkoani Arusha.
Naomba wadau mnijuze shule nzuri za wasichana za Serikali za bweni zilizoko Arusha
Ahsanteni
Unakutana na msichana mzuri unaomba namba hana ujanja wa kukutajia,ataanza kupekenyua simu yake su ataomba ya kwako akubeep ndio upate nsmba yake.
Sasa mwanke kama huyu atakumbuka kweli tarehe yske ya kuwa kwenye period?
Si ajabu kugawa namba lakini hawakumbuki hizo namba kichwani
Mradi wa hostel za wasichana katika shule ya sekondari Langiro umetelekezwa, mradi huu ulivyoanzishwa ni zaidi ya miaka 4 sasa haujakamilika hivyo kusababisha athari kubwa sana kwa watoto wa kike hususan wale wanaotoka vijiji vya mbali na shule......
Mh DED MBINGA na DC kamilisha hostel hizi...
Naingia kwenye mada straight away bila kuwachosha. Mada hii inatokana na utafiti binafsi nilioufanya hivi karibuni. Ndugu zangu mabachela mnaotafuta wanawake wa kuoa nawaomba muwe makini sana na mchukue tahadhari ya kutosha. Wanawake safi wa kuoa hupatikana mtaani sio kwenye makanisa ya kilokole...
Wanafunzi wa kike wakisubiri usafiri jijini Dar es Salaam, wanafunzi wengi wamekuwa wakijichelewesha vituoni, huku wakidaiwa kuchagua mabasi ya kupanda. Picha na Sunday George
Wakati uzoefu ukionyesha walimu kuwanyanyasa kijinsia wanafunzi wao wa kike, imebainika katika baadhi ya nyakati wapo...
Nime-notice hii trend wanawake wadogo wenye rika ya 20 na hadi early 30's uko kuzaa kwa upasuaji wakati mimi ninavyojua hii hufanywaga sana kwa wanawake late 30's au forties huko kwa sababu ya risk mbali mbali.
Lakini siku hizi naona imekuwa trend wanawake wadogo kuzaaa kwa njia hii; all my...
Siku ya mtoto wa kike, ukatili dhidi ya wasichana ni kikwazo
Leo ni siku ya Kimataifa ya mtoto wa kike Duniani, siku hii ilianzishwa mahususi katika kutambua haki na changamoto wanazopitia watoto wa kike. Hapa nchini Tanzania tunaona bado watoto wa kike wanakabiliwa na changamoto nyingi sana...
Waziri wa Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Dorothy Gwajima akizungumza kwenye Mkutano wa Kimataifa wa kupinga ukeketaji amesema mpango Utekelezaji wa Malengo ya Maendeleo Endelevu 2030, hauwezi kufikiwa kwa mafanikio kama vitendo vya ukeketaji wa Wanawake...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.