kikwazo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. B

    Ukigeu geu wa Israel kuelekea makubaliano ya kusimamisha vita, kikwazo kwa Amani Gaza!

    1. Yamekuwapo mazungumzo kwa azimio thabiti la makubaliano ya kusimamisha vita linaloendelea kujadiliwa kwa takribani miezi 2 sasa. Pendekezo hili likiwekwa mezani na Marekani, Qatar na Egypt kwa pamoja mbele ya HAMAS na Israel, mahasimu; wafikie makubaliano sasa. HAMAS wayakataa mapumziko...
  2. Mdude_Nyagali

    Katibu Tawala aliyeiba mafuta anabebwa na familia ya Kikwete

    Taarifa za awali nilizozipata ni kwamba katibu tawala DAS wa Mbongwe ambaye jana niliweka sauti yake hapa akiiba mafuta ya serikali hawezi kuchukuliwa hatua kwa sababu yuko karibu na familia ya Kikwete. Inadaiwa baada ya DAS huyo aitwayo Jacob Rombo alipomaliza masomo yale familia hiyo...
  3. Ritz

    ISRAEL siku zote wanaichukia UNRWA. Haina uhusiano wowote na Hamas, wanaona ni kikwazo kwao kuwafadhili Palestina

    Wanaukumbi. Msikilize Craig Mokhiber, afisa wa zamani wa haki za binadamu wa Umoja wa Mataifa, Mkurugenzi wa NY Ofisi ya Kamishna Mkuu wa Haki za Kibinadamu (OHCHR) na mwanasheria wa Kimataifa wa haki za binadamu. Wafuatao 𝐬𝐞𝐯𝐞𝐧 𝐜𝐨𝐮𝐧𝐭𝐫𝐢𝐞𝐬 wamesitisha ufadhili wa Unrwa kulingana na madai ya...
  4. S

    Afisa mikopo Hazina Portal ni tatizo kwa wanufaika

    Hivi karibuni Serikali ilitoa mkopo kwa watumishi wake kupitia hazina portal, lengo likiwa kununua vyombo vya usafiri. Mkopo huu umekuwa kikwazo kwa walengwa waliotumaini kufunga mwaka na usafiri wao na kuacha na njia au harakati zingine ambazo zingewasaidia kutimiza malengo hayo kwani mkopo...
  5. Suzy Elias

    Ndugai: TANESCO ni kikwazo kikuu kwa maendeleo ya Watanzania

    Spika aliyeondolewa kwa uonevu ndugu Job Yustus Ndugai amelitupia lawama Shirika la umeme la Tanzania kwa kuwa ndilo hasa linalo kwamisha maendeleo ya Watanzania kwa desturi yake ya kukata umeme hovyo hovyo. ----- Spika wa Bunge Mstaafu Job Ndugai, ameitaka Serikali kuboresha taratibu zake...
  6. A

    Mahakama ya Rufaa mfumo wenu mpya ni kikwazo

    Tangu jana Mahakama ya rufaa imeanza kutumia mfumo wake mpya wa ku file kesi online. Mfumo huu umekuwa kikwazo na pia unaflchelewesha mashauri. Mfano kwa kesi ambazo ni za rufaa kutoka mahakama kuu mfumo huu haujaanza kuzipokea. Ukienda pale ku file rufaa yako wanakuambia uache namba ya simu...
  7. Beginning

    Licha ya kuwa kitovu cha mambo ya kimataifa hapa nchini jiji la Arusha lipo hoi kwenye miundombinu

    Miundombinu mibovu ndani ya jiji la Arusha. Barabara za lami,ndani ya jiji la Arusha barabara nyingi za lami ni nyembamba na haziendani kabisa na wingi wa magari yaliyopo. Barabara za vumbi,jiji la Arusha limezungukwa na barabara za vumbi kila kona,hii ni aibu kubwa sana kwa jiji ambalo...
  8. mocoservices

    Ubaguzi, Uchawi na Ushirikina kikwazo cha maendeleo baadhi ya vijiji Tanzania

    Habari yako mwana jukwaa. Naandika uzi huu nikiwa Katikati ya Tanzania (kanda ya kati). Nimeishi hapa kwa miezi 4 sasa, kwa hiyo ninacho andika nina kifahamu vizuri kwa kushuhudia kwa macho yangu. Naishi kwenye mkoa wa 3 toka mwisho kwa umasikini nchini hapa, mkoa ambao elimu iko chini sana na...
  9. R

    Je, Ukubwa wa Nchi yetu Tanzania ni kikwazo katika kuwafikia na kuwahudumia wananchi?

    Salaam, Shalom!! Nimelazimika kupandisha mada hii baada ya kusoma comment ya mdau wa JF aitwaye Voice of Tanzania alipokuwa akichangia mada katika thread isomekayo, Ni Lini Serikali ya CCM itanunua laptop Kwa Kila mwanafunzi kuanzia shule za kata? Nilipotoa mfano wa Nchi ndogo ya Rwanda...
  10. Truth Bot AI

    DOKEZO Wakurugenzi na Wakuu wa Idara (sana sana DMO's na DEO's) wamekuwa kikwazo kwenye zoezi zima la uhamisho wa watumishi kwa mfumo mpya ESS

    WAKURUGENZI NA WAKUU WA IDARA (SANA SANA DMO's na DEO's) WAMEKUWA KIKWAZO KWENYE ZOEZI ZIMA LA UHAMISHO WA WATUMISHI KWA KISINGIZIO CHA KUTOKUWA ORIENTED NA MFUMO MPYA WA HUDUMA YA UHAMISHO WA WATUMISHI ESS Habari za Asubuhi wanajamvi, Nimeleta habari hii baada ya kujiridhisha na kufanya...
  11. ACT Wazalendo

    Janeth Rithe: Siku ya Mtoto wa Kike, Ukatili kwa Wasichana ni Kikwazo

    Siku ya mtoto wa kike, ukatili dhidi ya wasichana ni kikwazo Leo ni siku ya Kimataifa ya mtoto wa kike Duniani, siku hii ilianzishwa mahususi katika kutambua haki na changamoto wanazopitia watoto wa kike. Hapa nchini Tanzania tunaona bado watoto wa kike wanakabiliwa na changamoto nyingi sana...
  12. D

    B Plain sio kikwazo cha kuwa Tutorial Assistant?

    Habari za muda huu, Nilikua nauliza je kwa mfano umepata GPA zaidi ya 3.8 bachelor degree ila kuna baadhi ya kozi core umepata B plain unaeza omba nafasi ya tutorial assistant na ukawa shortlisted kuitwa kwenye interview
  13. Gwappo Mwakatobe

    Kikwazo cha Katiba Mpya yenye mfumo wa vyama vingi ni CCM

    Katiba iliyopo ni ya mfumo wa chama kimoja ambacho ni CCM na ilitungwa na CCM mwaka 1977. Tanzania hatuna mfumo wa vyama vingi, bali tuna mfumo wa chama kimoja (CCM), ambamo kuna vyama vingi ndani yake. Kwa ufupi tuna vyama vingi ndani ya mfumo wa chama kimoja - CCM. Kamwe CCM hakiwezi kuleta...
  14. Lady Whistledown

    Rushwa ya Ngono kikwazo Wanawake kushiriki Ununuzi wa Umma (Public Procurement)

    Hayo yamo katika ripoti ya utafiti wa ushiriki wa wanawake katika ununuzi wa umma uliofanywa na Kituo cha Africa Freedom of Information Centre (AFIC) katika nchi tano za Kenya, Uganda, Ethiopia, Rwanda na Tanzania. Akiwakilisha matokeo ya utafiti huo kwa waandishi wa habari jana jijini hapa...
  15. kelvin complex

    Nisaidieni kutumia mfumo wa kupata leseni ya biashara online iitwao tausi portal

    Habari, naomba mwenye uzoefu wa kutumia mfumo wa kupata leseni ya biashara online uitwao tausi portal unaopatikana katika tovuti ya Tamisemi, anisaidie namna ya kupata mawasiliano ya huduma kwa wateja, kwani mtandao umekuwa na changamoto ya kuchelewa kutoa control number ili kupata leseni ya...
  16. The Sheriff

    Watanzania wengi wanaamini Rushwa ni kikwazo cha Haki na inachangia kutokuwepo kwa Usawa

    Rushwa ni tatizo kubwa nchini Tanzania na inaathiri maeneo mbalimbali, ikiwemo sekta ya umma, miundombinu, afya, elimu, na biashara. Hali ya rushwa nchini inaweza kuelezewa kama changamoto inayosababisha ukosefu wa uwazi, upendeleo, na matumizi mabaya ya rasilimali za umma. Rushwa inapunguza...
Back
Top Bottom