Hii ndio habari iliyoletolwa leo na Shirika la atomic duniani AIEA.
Nuclear ndio silaha ya maangamizi bora kuliko silaha zote zilizowahi kutokea duniani mpaka sasa.
Kwa minajili hiyo kwa sasa eneo la mashariki ya kati kutakua na nchi 2 (japo moja ni nchi fake) zenye silaha za maangamizi za...
https://www.youtube.com/watch?v=Z5YgPiauF-U
Hoja Za Serikali: Makadirio Ya Mapato Na Matumizi Ya Wizara Ya Mambo Ya Ndani Ya Nchi Kwa Mwaka Wa Fedha 2024/2025.
WAITARA: NI SAHIHI KUKUSANYA KODI YA SERIKALI KWA NJIA YA KUMWAGA DAMU?
Mbunge wa Tarime Vijijini, Mwita Waitara akielezea...
Huyu amejiita,'Bertrand Bisimwa',kiongozi wa M23,na makamu kiongozi wa AFC ambayo inaongozwa na Cornell Nanga,ambaye ni Political Coordinator na Sultan Makenga ambaye ndie kiomgozi mkuu wa Jeshi la M23.
Kwa niaba ya Cornell Nanga na Sultan Makenga anatoa tangazo hili:
"Ndugu wananchi wa Congo...
Ile gari baada ya kuwaposted ika draw tension ya wapiga kura Maana ilikua chuma ya kitofauti sana. na as Samatime Magari tukaona sio vyema tukawaacha wapiga kura hivi hivi na kiu ya kuijua so ikabidi tuimulike vizuri..
.
Hapa MA paratrooper wazee wa kombat huwa wanasema Machine ya Pr...
Siku ya Dunia ni siku inayotengwa kwa ajili ya kuadhimisha masuala yanayohusu mazingira, uhifadhi wa asili, na uelewa wa changamoto za kimazingira zinazokabili ulimwengu wetu leo. Kila mwaka, tarehe 22 Aprili, watu duniani kote hushiriki katika shughuli mbalimbali kama vile kufanya usafi wa...
Ligi ya Muungano limerejea sasa litaanza kutimua vumbi 23/4/2024
Kwa Tanzania bara zitashiriki team mbili ambazo ni Simba na Azam pia upande wa Tanzania visiwani zimetoka KMKM naKVZ.
Yanga hatashiriki mashindano haya kwa kuwa hakualikwa labda angealikwa angebeba kombe lenyewe na mtani msimu huu...
Wasalam
Kwa jinsi mvua inavyochapa hapa mjini Wanasimba tuanze kabisa kushangilia kuwa kesho tunapata ushindi na kufufua matumaini yetu ya kuwa mabingwa msimu huu
Historia inaonyesha Simba anajua kucheza na kipindi cha mvua na huwa anaifunga timu ya Yanga
KESHO ANAKUFA MTU.
Nitakuwa natokea maeneo Kololo karibu kabisa na ulipo Uwanja wa Ndege ( hasa Helicopter za Kijeshi na ya Mheshimiwa Rais kwa sasa ) wa Kololo Airstrip, hivyo kwa Watanzania mliopo hapa Kampala Uganda tafadhali nipeni tu ramani la Chimbo ambalo wengi wenu mtakuwepo Siku hiyo ili nami GENTAMYCINE...
Kiukweli kila nikiwaangalia viongozi wa Simba nyuso zao hazina Nuru tena, imebaki Bora liende tu na kwasasa mzigo mzito upo kwa kocha wao benchika,
Siku ya mechi na singida black star ilibidi abaki uwanjani kwa dakika kadhaa, ukiulizwa kwamba alikua anawaza nini utakua na majibu mengi ambayo...
AZIZ KI: GOLI LANGU LA KWANZA KWENYE MECHI IJAYO NI KWA AJILI YA MH. MAVUNDE
Azizi KI Amemuaminisha mjumbe wa baraza la wadhamini Yanga, Anthony Mavunde kuwa goli la mchezo ujao litakuwa kwaajili yake (Mavunde) kwamba mwamba ana uhakika kabisa atafunga DUUUHHH!!!
Nyie Hamuogopiiiiii.....???🤣😂🤣😂
Katika mechi iyayo ya Simba na Yanga, yoyote anaweza kupoteza au wakatoa sare japo wengi wanaona Simba ana nafasi kubwa ya kupoteza huo mchezo. Kwenye soka, lolote linaweza kutokea na ndio maana Simba hii dhaifu bado naipa nafasi ya kuweza kushinda au hata kutoa sare japo hata mashabiki wenyewe...
Hatimae ndoto ambayo niliyokua naiota Miaka Mingi inaenda kutimizwa..Nimekua nikiomba sana Siku ninayosherekea siku yangu ya kuzaliwa Mtu wa soka,Mtu ambae nimezaliwa Kutoka kwa mama Mnyarwanda Mpenda Football ambae Ndoto yake kubwa ilikua siku moja anione nachezea Manchester United ila sema tu...
Mwenendo mbovu wa timu ya Simba, sisi mashabiki ndio tunapata shida huku uraiani.
Wachezaji wa simba zaidi ya 50%, wamechoka wako nje ya form; kwa kifupi wanajivuta kama konokono wawapo uwanjani.
Wachezaji wengi hawana sifa ya kucheza simba ila kwa kuwa ndio waliopo inabidi kwenda nao hivyo...
Leo jua litapatwa yaani mwezi utafunika jua na kufanya mchana giza litande na uonekane kama usiku lakini kwa asilimia kubwa maeneo watakayofaidi ni marekani Canada na Mexico. Nchi nyingine tutaona angalau kupatwa kwa jua Kwa sehemu tu.
Kesho ni siku rasmi ya Uzinduzi wa shughuli za D P. WORLD nchini Tanzania.
Tayari wameshaleta watu wao tayari kwa kuanza kazi baada ya mamia ya wafanyakazi wa TPA kugoma kujiunga na D. P. World.
Tayari D. P. World wamepewa vitendea kazi vyote vilivyokuwa vya TPA zikiwemo mashine na mitambo...
Kama uliwahi kujiuliza unavyoweza kuitambua tarehe ya Pasaka basi makala hii ni nafasi kwako kujua tarehe hiyo unavyoweza kuijua bila hata kuhitaji kusoma kalenda
Utafiti wa tarehe ya Pasaka umechukua nafasi kubwa katika historia ya Kalenda ya Mwaka tunayoitumia. Hivyo kuifafanua tarehe...
Rais wa Marekani, Joseph Biden ametangaza rasmi kwa taifa lake kwamba leo Jumapili ya Pasaka Tarehe 31 Machi ni siku rasmi na maalumu ya kuonyesha mwonekano kwa watu wote waliobadili jinsia,
Trump ameonyesha kukasirishwa kwa maamuzi haya na kumsihi Biden awaombe msamaha mamilioni ya wakristo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.