Kwa hali ya hewa jijini simba anashinda mechi ya kesho tarehe 20.4.2024

OscarkambonaJr

JF-Expert Member
Jun 1, 2022
1,858
2,990
Wasalam

Kwa jinsi mvua inavyochapa hapa mjini Wanasimba tuanze kabisa kushangilia kuwa kesho tunapata ushindi na kufufua matumaini yetu ya kuwa mabingwa msimu huu

Historia inaonyesha Simba anajua kucheza na kipindi cha mvua na huwa anaifunga timu ya Yanga

KESHO ANAKUFA MTU.
 
Wakati mnaendelea kuomba mvua Yanga tupo busy kutafuta space ya kwenye mabango tuweke matangazo yetu baada ya mechi. Endeleeni na uganga the Manyaunyau FC.
 
Attachments

  • 20240419_150159.jpg
    20240419_150159.jpg
    48.8 KB · Views: 1
Wasalam

Kwa jinsi mvua inavyochapa hapa mjini Wanasimba tuanze kabisa kushangilia kuwa kesho tunapata ushindi na kufufua matumaini yetu ya kuwa mabingwa msimu huu

Historia inaonyesha Simba anajua kucheza na kipindi cha mvua na huwa anaifunga timu ya Yanga

KESHO ANAKUFA MTU.
Hizi imani hakuna kitu, mwaka juzi Kirumba nusu fainali ya FA Mvua kubwa ilinyesha Simba kafungwa Moja, Al Ahly mkapigwa.
 
""Siku ya 6 sasa jua halijawaka Dar, Kuna timu jua likikosekana huwa inafungwa mara nyingi...na Kuna timu mvua lazima zinyeshe ili ishinde...
Tujiandae kwa hilo..""
Alisikika mzee mmoja akiyasema hayo.
 
Wasalam

Kwa jinsi mvua inavyochapa hapa mjini Wanasimba tuanze kabisa kushangilia kuwa kesho tunapata ushindi na kufufua matumaini yetu ya kuwa mabingwa msimu huu

Historia inaonyesha Simba anajua kucheza na kipindi cha mvua na huwa anaifunga timu ya Yanga

KESHO ANAKUFA MTU.
Upuuzi mtupu
 
Kumbuka haichezi hali ya hewa.
 
Back
Top Bottom