Kwa hali ya hewa jijini simba anashinda mechi ya kesho tarehe 20.4.2024

Wasalam

Kwa jinsi mvua inavyochapa hapa mjini Wanasimba tuanze kabisa kushangilia kuwa kesho tunapata ushindi na kufufua matumaini yetu ya kuwa mabingwa msimu huu

Historia inaonyesha Simba anajua kucheza na kipindi cha mvua na huwa anaifunga timu ya Yanga

KESHO ANAKUFA MTU.
Simba hana ubavu wa kushinda kabisa, hiyo timu haina wachezaji kabisa. Sisi wananchi lazima tuwadunde
 
Wasalam

Kwa jinsi mvua inavyochapa hapa mjini Wanasimba tuanze kabisa kushangilia kuwa kesho tunapata ushindi na kufufua matumaini yetu ya kuwa mabingwa msimu huu

Historia inaonyesha Simba anajua kucheza na kipindi cha mvua na huwa anaifunga timu ya Yanga

KESHO ANAKUFA MTU.
Wazee wa Yanga wamefanikiwa kuipunguza mvua leo ni Jua tu mpk mida hii.
 
Back
Top Bottom