aziz

Aziz (Arabic: عزيز‎, ʿazīz, [ʕaziːz]) was originally a Northwest Semitic Phoenician-Aramaic-Hebrew-Arabic word, but is now much more commonly (but not exclusively) known as a Central Semitic Arabic male name. The feminine form of both the adjective and the given name is Aziza.
Aziz in Arabic is derived from the root ʕ-z-z with a meaning of "strong, powerful" and the adjective has acquired its meaning of "dear, darling, precious". It is a cognate of Hebrew oz עוז meaning "might, strength, power". The Semitic word refers to the "power and glory" of deities and kings. In the Latinised form "Azizus" it is attested as the name of one of the Arab Priest-Kings who ruled Emesa (the modern Homs, Syria) as clients of the Roman Empire.
In ancient Levantine mythology, Azizos or Aziz is the Palmyrene Arab god of the morning star.
The Arabian goddess Al-Uzza, also related to the planet Venus, is named from the same root ʕ-z-z.
Al-Aziz is one of the names of God in Islam. The "Al" makes the word "Aziz" proper. "Aziz" without "Al" is used as a royal title borne by the high nobles of Egypt, being a title borne by the prophet Joseph in the Quranic Surah-e-Yusuf, and also by the Biblical Potiphar, referred to in the Quran as Aziz.
It is used in existing Semitic languages such as Arabic, Assyrian Neo Aramaic, Mandic, Hebrew, and also in non-Semitic languages like Turkish, Kurdish, Armenian, Azerbaijani, Persian, Urdu, Pashtu, Dari, Kazakh, Kyrgyz, Turkmen, Uzbek, Uyghur, Balochi, Bengali, Somali, Indonesian, and Malaysian.
Aziz is a common masculine given name, especially in the Muslim world but it has also continued to be used by non-Muslim peoples in the Middle East, e.g. Assyrians, and Mandeans.

View More On Wikipedia.org
  1. NALIA NGWENA

    Kiungo Stephan Aziz Ki amemaliza kinara wa ufungaji kwenye ligi kuu soka Tanzania Bara

    Kiungo Stephan Aziz Ki amemaliza kinara wa ufungaji kwenye ligi kuu soka Tanzania Bara baada ya kumaliza msimu akiwa na mabao 21 na kumuacha mpinzani wake wa karibu kiungo nyota wa Azam FC, Feisal Salum aliyemaliza na mabao 19 Aziz Ki amepachika mabao matatu kwenye ushindi wa 4-1 walioupata...
  2. Mkalukungone mwamba

    Aziz Ki amevunja rekodi ya ufungaji bora misimu mitatu iliyopita afikisha magoli 21 na kuibuka top score wa msimu

    Aziz Ki amevunja rekodi ya ufungaji bora misimu mitatu iliyopita afikisha magoli 21 na kuibuka top score wa msimu. --- Kiungo Stephan Aziz Ki amemaliza kinara wa ufungaji kwenye ligi kuu soka Tanzania Bara baada ya kumaliza msimu akiwa na mabao 21 na kumuacha mpinzani wake wa karibu kiungo...
  3. mdukuzi

    Tetesi: GSM wanavyomtumia Hamisa Mobeto kurudisha mamilioni atakayopewa Aziz Ki

    Hakuna mapenzi ya kweli pale bali ni project ya GSM. Aziz Ali Ki anataka mpunga mrefu sana toka GSM ili asalie mitaa ya jangwani. GSM wameona njia pekee ni kumtumia Delila Hamisa Mobeto kurudisha hata nusu ya hela atakayopewa. Mliopata atleast D mbili(two principal passes) mtanielewa
  4. Mlaleo

    Yanga yapata mbadala wa Aziz Ki

    Kifaa Kipya '' CHOUCHA'' kinatarajiwa kutua Jangwani.. hakijawahi kukosa penalty https://www.youtube.com/shorts/4Gg77a4WWxw?feature=share
  5. S

    Aziz Ki: Siondoki Yanga Mpaka Tubebe Ubingwa Wa Africa

    Mpaka sasa Mimi ni Mchezaji wa Yanga na nafasi kubwa zaidi nawapa Yanga, namwamini Rais wa Yanga @caamil_88 yeye ndie amenileta hapa, tuna makubaliano yetu mimi na yeye kuwa Yanga inapaswa kucheza fainali ya Afrika na tutwae kikombe, hiyo ndio ndoto yangu na ikitokea tumecheza fainali na kubeba...
  6. Labani og

    Motsepe akili goli la Azizi Ki lilikuwa halali kabisa

    PATRICK MOTSEPE: LILE LILIKUWA GOLI HALALI KABISA Rais wa CAF, Patrice Motsepe alipowasili kwenye uwanja wa ndege visiwani Zanzibar kwa ajili ya fainali ya michuano ya Africa Schools Championship.Motsepe aligusia kidogo lile shuti la Aziz Ki pale Loftus dhidi ya Mamelodi Sundowns...
  7. D

    Aziz Ki ni shemeji mtalajiwa 😂

    Yanga wamemtafutia lishangazi moja . To stimulate Aziz Ki to stay . what a great move . Pisi ina mimba ya aziz kii , soon anakuwa na mcheza mpira wa next generation . We wait . Will he stay ?!? We don’t know ? Ni mwendo ya plan b 😂 .
  8. sinza pazuri

    Tetesi: Aziz Ki anaondoka Yanga

    Aziz Ki hatimaye amemalizana na Yanga na sasa anaenda kucheza South Africa. Bado sijapata uhakika ni timu gani ila kati ya Kaizer Chiefs au Orlando. Yanga wameshindwa mpa ofa anayotaka. Sad part Aziz anaondoka kama mchezaji huru. Its over, ila mbadala wake Yanga wanakaribia kumalizana nae...
  9. S

    Yanga Mtegoni Kwa Aziz Ki

    Stephen Aziz Ki kwa offer alizonazo mezani ni lazima tu ataondoka kama ambavyo wengine wote waliowahi kuja nchini kwetu wakapata offer nono wakasepa zao, kikombe cha Clatous Chama, Fiston Mayele, Luis Miquissone na sasa Aziz tutaendelea kukinywa klabu za Kariakoo, yani Tanzania itawapa majina...
  10. Mkalukungone mwamba

    Tetesi: Aziz Ki anataka Dola laki tano kubaki Yanga

    Kiuongo Mshambuliaji wa Yanga Aziz Ki amewambia viongozi wake kama wanamuhitaji kuendelea kusalia klabu hapo basi wanapaswa kumpa mkataba wenye thamani wa Dola laki 5. Ofa ya Yanga kwa Aziz Ki ni dola laki tatu na nusu pekee. Vipi sasa wadau na mashabiki wa Yanga, Aziz Ki abaki au asepe tu?
  11. Mohamed Said

    Kibao cha Aziz Ally Mtoni na Historia Yake

    AZIZ ALLY MJENZI WA MISIKITI Aziz Ally alipofariki mwaka wa 1951 muda mfupi baada ya.kutoka hijja gazeti la Tanganyika Standard katika kueleza kifo chake liliandika "Mjenzi wa Misikiti Amefariki." Kabla hajajenga nyumba yake mashuhuri ya Mtoni leo panaitwa Mtoni kwa Aziz Ali, Azizi Ali alikuwa...
  12. G

    Kilichobaki Yanga ni kuhamishia nguvu zote FA, Kina Skudu, Fredy, Mkude wamalizie mechi za ligi kuu na Aziz Ki asaidiwe kudunga abebe kiatu

    Yanga wanahitaji point 1 tu kuwa mabingwa, hawana haja ya kukamia wala presha, Kesho kuna uwezekano mkubwa wakatangazwa mabingwa. Nguvu zote zihamishiwe F,A. ikibidi kina Max, Aucho, Diarra, Yao, n.k. wawahi Arusha kujiandaa na nusu fainali ya FA dhidi ya Ihefu Kwa sasa kuhusu ligi kuu yafaa...
  13. Mkalukungone mwamba

    Jicho langu: Tabora walinyimwa goli halali kama la Aziz Ki

    Jicho langu:Tabora walinyimwa goli halali kama la Aziz Ki Klabu ya Tabora united katika mchezo wa jana walinyimwa goli la halali katika mchezo wao waligi kuu ya NBCPL waliocheza na Simba katika Dimba la Azam Complex Chamazi na Simba kuibuka kwa ushindi wa magoli mawili. Kwa Jicho langu la...
  14. Uzalendo wa Kitanzania

    Aziz Ki na Mama yake Mzazi

    Wadau hamjamboni nyote? Pichani Aziz Ki ni mchezaji bora, anayeogopewa zaidi na mabeki wengi na ndiye aghali zaidi nchini Tanzania na Afrika mashariki Stephan Aziz Ki akiwa na mamake Mzazi Aziz Ki anachezea Klabu ya Yanga ambayo inaongoza ligi kuu ya NBC huku inatarajia kutetea huo kwa...
  15. J

    APR Rwanda wanamtaka Aziz Ki wa 1 million usd ($ 1million)

    Wiki iliyopita, APR FC🇷🇼 iliuliza kiasi cha fedha ambacho Yanga SC🇹🇿 wanaweza kupokea kwa ajili ya kumuachilia Stephane Aziz Ki🇧🇫 anayecheza eneo la kati, wakajibu kwamba watapokea si chini ya dola milioni moja ($1M) , ambayo ni zaidi ya 1,000 .000.000 Frw (Uliza kwa sarafu ya Rwanda) So far...
  16. Dr Matola PhD

    Aziz Ki ameahidi kumzawadia goli Anthony Mavunde katika derby ya Simba na Yanga tarehe 20.

    AZIZ KI: GOLI LANGU LA KWANZA KWENYE MECHI IJAYO NI KWA AJILI YA MH. MAVUNDE Azizi KI Amemuaminisha mjumbe wa baraza la wadhamini Yanga, Anthony Mavunde kuwa goli la mchezo ujao litakuwa kwaajili yake (Mavunde) kwamba mwamba ana uhakika kabisa atafunga DUUUHHH!!! Nyie Hamuogopiiiiii.....???🤣😂🤣😂
  17. J

    Skudu Makudubela: Aziz Ki amekataa ofa ya kujiunga na Mamelodi, alisema ligi ya South Africa imeshuka ubora

    Mchezaji wa Yanga kutoka South Afrika, akihojiwa na waandishi kuhusu Aziz Ki amesema mchezaji huyo alimwambia alikataa ofa ya kujiunga na timu za South Africa sababu kuwa ameona ligi hiyo imeshuka ubora, japo hakuelezea kwa kirefu Looks like Stephane Aziz Ki could reject PSL clubs amid reported...
  18. M

    Aziz Ki kawavutia sana mashabiki wa mpira huko South Africa

    Kwenye media za michezo huko South Africa kuhusu game ya jana naona mashabiki wa Mamelod na Kaiser chiefs wamepagawa na kiwango cha Aziz Ki. Kila shabiki anashauri klabu chake kimsajili. Kuna mmoja akaenda mbali zaidi kwa kusema sio tu lile goli lililokataliwa bali jinsi alivyo na nguvu za...
  19. Mhafidhina07

    Mpira ni mchezo wa hisia,leo nimemuona Aziz KI kwenye video chozi limenitoka.

    wadau lengo nimejishangaa nimejikuta namwaga chozi baada ya kumuona azizi Ki alipokuwa anatoka uwanjani.
Back
Top Bottom