Ukitaka kula pesa ya mwa afrika basi uijiingize ktk huduma za kiroho na ukitaka kujua roho chafu za watu basi mnunulie pombe mganga alewe alafu akuambie mambo anayoletewa kuyafanyia kazi.
Ni mapicha unayaona tu mara mbuzi ameuliwa na amechorwa maumbo na alama tofauti.
Alafu chini ya posts zao...
Tanesco hivi kiangazi ndo kimeanza hata wiki haijapita mmeanza kukata umeme na kusingizia kina cha maji.
Tafadhali sana mnatupa hasara, biashara haziendi tuna mikopo ya benki, nyie mpo ofsini mnasubiri mishahara ya serikali sisi hatuna hiyo mishahara tunaitafuta wenyewe na Kodi tunalipa TRA...
Hakuna mapenzi ya kweli pale bali ni project ya GSM. Aziz Ali Ki anataka mpunga mrefu sana toka GSM ili asalie mitaa ya jangwani.
GSM wameona njia pekee ni kumtumia Delila Hamisa Mobeto kurudisha hata nusu ya hela atakayopewa.
Mliopata atleast D mbili(two principal passes) mtanielewa
Kichwa chajieleza vizuri, naomba mnisaidie ni kwa nmana gani naweza kusoma ama kirejesha deleted message kwa Whatsapp ikiwa natumia Whatsapp ya kawaida tofatu na gb Whatsapp, fm WhatsApp n.k
Kama Kuna App ya kurudisha deleted message basi naomba kufahamishwa.
Ova.
Kila Kona ya nchi yetu kumejaa madimbwi, Machozi kila Kona kila chozi linalotoka linaashiria machungu na maumivu, ni nani aliyetayari kukausha madimbwi haya?, ni nani wa kumfuta machozi huyu anaelia Januari mpaka Disemba?, amesahaulika na kila mti nia wa Nchi na hata Mtia nia Jimboni kwake, kila...
Wadau ni kweli mitandao ya simu imeanza kurudisha bando za intaneti?
Binafsi yangu zijapokea mbs zangu ambazo nilishindwa kutumia wakati ntaneti ilivyokata
Kuna wakati unakosa hela kabsa na hauna namna ya kufanya ila kukopa hela kutoka kwa wadau mbali mbali ndio linaweza kuwa suluhisho kwa wakati.
Sasa imezuka tabia ya baadhi ya raia wa nchi hii pendwa kuomba mikopo kwa wadau mbalimbali halafu baada ya hapo anaingia mitini bila kurudisha hela ya...
Habari zenu wana jamvi!
Leo niko hapa ndugu zangu kwa ajili ya kuomba wenu ushauri ya kipi nifanye ili kuweza kukaa vyema kiuchumi.
Kisa changu kinaanzia hapa;
Tangu nilipoacha masomo yangu ya elimu ya chuo kikuu mambo yalikuwa ni magumu kwa upande wangu.
Sikuweza kujua nianzie wapi ili...
Kuna ule.muda unakaa peke yako unasema najuta kufanya ngono na yule demu natamani muda urudi nyuma ili lisitokee.
Kwa mimi ni Aneth mshenzi alinipa gono na uti sugu
Nilikuwa nalia kama mtoto kudadeki.
Wewe je ni yupi huyo unajutia .
Wananchi wa Kijiji cha Mtisi kilichopo Kata ya Sitalike, Halmashauri ya Ndimbo Mkoani Katavi wamedai kukerwa na mwekezaji aliyewekeza katika machimbo yaliyo katika kijiji hicho ambapo mwekezaji huyo amehamisha mto ili shughuli yake iende kadri anavyotaka.
Mkuu wa Wilaya ya Mpanda, Jamila Yusuf...
Ni kweli asilimia kubwa ya wanaume wamezaliwa na uwezo wa kufanya mapenzi
Tatizo kubwa ambalo naona linawasumbua watu wengi ni kukosa hisia na sio kutokuwa na uwezo
Tatizo lilianzia pale ambapo tulijiona tunawahi kufika mwisho kabla ya wapenzi wetu jambo ambalo lilitufanya tuombe ushauri Kwa...
Chukulia umekata ringi balaa halafu mtu kajichanganya katuma fedha kwako iwe kwenye akaunti ya Benki au Simu halafu akaomba urudishe, utatuma hiyo hela?
Habarini za muda huu wakuu,
Msaada namna ya kurudisha tena msg iliyofutika bahati mbaya anaefahamu njia ya haraka pls nijulishe yani ni msg muhimu sana kwaajili ya malipo.
Habari wanajamvi! Poleni na mahangaiko ya kupambana na maisha.
Kama title inavyojieleza, naombeni msaada kwa anayeweza kunielekeza namna ya kurudisha account yangu ya Facebook ya biashara ambayo kiukweli nimesahau password yake.
Account hii niliifungua mwaka 2012 nikawa naitumia kwa malengo...
Naibu Waziri Ofisi wa Tamisemi, Dk Festo Dugange amemshukuru Rais Samia Suluhu Hassan kwa kumaliza changamoto ya muda mrefu ya zahanati katika Kijiji cha Masaulwa Kata ya Imalinyi Wilaya ya Wanging'ombe mkoani Njombe.
Dk Dugange ametoa shukrani hizo wakati alipokuwa akiweka jiwe la msingi...
Serikali kupitia Wizara ya Afya inatarajia kurejea Bungeni tena hapo kesho Novemba 1 2023 na Muswada wa Bima ya Afya kwa wote ambao ulikwama mnamo Mwezi Februari 2023 kwa hoja iliyotolewa na Bunge ya kutokuwepo kwa chanzo endelevu cha fedha kutekeleza Mpango huo.
Muswada huu ni ndoto ya...
Fuatilia yanayojiri kutoka Ikulu kwenye Halfa ya utiaji saini wa Mikataba mahsusi 3 ya uwekezaji Bandari ya Dar es salaam, leo Oktoba 22, 2023.
https://www.youtube.com/live/N6izYMjIOaI?si=O_YQZdZcwAOJWWpD
MKURUGENZI MKUU WA TPA, PLASDUCE MKELI MBOSSA
Uwekezaji huu wa Serikali kupitia TPA...
Kama mbwahi wacha iwe mbwahi tu.
Clip inajionyesha kutoka kwenye iliyokuwa ni ngome kubwa ya CCM mikoa ya Kusini.
Wananchi tena kina mama wanarudisha kadi za CCM baada ya kuchoshwa na ahadi za uongo kila mwaka toka 1961.
Kama watu wa kusini wameamua hivi , wewe ndugu yangu wa lumumba...
Nimevumilia ila nimechoka acha niwaambie, ndugu walimu nimekopa ABC bank shilingi milioni 14 nikatwe kwa miaka nane sawa na miezi 96, nakatwa shilingi laki nne na elfu 14 kwa mwezi.
Nimeshangaa kukuta kwenye salary slip deni ni milioni 39😥😥😥, nimelia sana yaani nakopa 14M narudisha 39?
Mimi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.