chama tawala

  1. peno hasegawa

    Kuelekea 2025 Kwanini CCM mnapenda kufanyia mikutano ya Katibu Mkuu wa Chama eneo la stendi ya mabasi?

    Inasikitisha sana, Katibu Mkuu wa chama tawala kupelekwa stand ya mabasi kufanya mkutano na kusikiliza kero za wananchi. CCM ni kikubwa na kina miaka zaidi ya 40, kwanini kifanyie mkutano stendi ya mabasi? Wamekosa uwanja wa kufanyia mkutano huo? Kuna siri kubwa inafichwa na viongozi wa chama...
  2. J

    Kuelekea 2025 Sumaye: Hakuna anayeweza kuongoza hii nchi zaidi ya Rais Samia

    Waziri mkuu Mstaafu na mwenyekiti Mstaafu wa Chadema Kanda ya Mashariki amesema hakuna mtu mwingine anayeweza kuongoza nchi hii ya Tanzania zaidi ya Dr Samia Sumaye alikuwa anamueleza Katibu mkuu wa CCM Dr Nchimbi --- WAZIRI Mkuu Mstaafu, Frederick Sumaye, amesema hakuna anayeweza kuongoza...
  3. Tlaatlaah

    EFF ya Julius Malema imechokwa ghafla dhidi ya uMkhonto we Sizwe ya Zuma, Kulikoni vijana?

    Kulikoni chama kipya cha Mzee Jacob Zuma MK Party kinaipiku EFF na kukipumulia kisogoni chama kikongwe cha DA? Nadhani mageuzi ya fikra na sera ni muhimu zaidi ya kulalamika bila alternatives upinzani lazima kujipanga kwa sera mbadala, mipango na mikakati madhubuti ya kutekelezeka...
  4. BARD AI

    Uchaguzi Mkuu Afrika Kusini: Upigaji Kura umeanza leo, 32% ya Wananchi hawana Ajira

    UPDATE: Kati ya Takriban watu Milioni 27.79 waliojiandikisha kushiriki Uchaguzi Mkuu leo Mei 29, 2024 zaidi ya 17,000 ni Wafungwa ambao wamesajiliwa kutoka katika Magereza 240 Nchini humo Kura zinaendelea kupigwa katika Gereza la Kgosi Mampuru, Pretoria, lenye wapiga kura waliosajiliwa 2,908...
  5. Idugunde

    Watanzania wamekosa chama cha upinzani. Chama tawala kinajisimamia na kujikagua. Mbowe na CHADEMA yake wanawaza pesa tu

    Inashangaza sana na inatia huruma. Maana Chadema ambayo ni mali binafsi ya Mbowe inapokea ruzuku ambazo ni kodi za wananchi. Lakini kero na matatizo ya Watanganyika yanazungumzwa na chama tawala! Chadema ambayo ni mali binafsi ya Mbowe wanawaza ruzuku na kulamba asali huku wakitengeneza...
  6. Mzee Mwanakijiji

    Mwenge wa Uhuru upo kwa faida ya nani?

    Leo kwa mara nyingine mbio za mwenge zimeanza tena Tanzania, na safari hii mwenge umewashwa huko Dole Zanzibar kuendeleza ile adhma ya taifa letu changa kuwa "sisi tumekwisha kuwasha mwenge na kuuweka Kilimanjaro". Mwenge huu ulipowashwa mara ya kwanza na kuwekwa kwenye kilele cha Kilimanjaro na...
  7. B

    Chadema Wamepata wapi pesa za Kufanya mikutano na maandamano Nchi nzima kuzidi Chama Tawala?

    Nimefatilia habari za Siasa kwa kipindi che Mwezi Aprili Pekee nimeshuhudia mikutano mikubwa na maandamano ya hiari ya wananchi takribani Kanda Zote za Nchi na Mikoa mingi sana. Tunajua Chadema sio chama tawala lakini kuuliza si ujinga. Kuendesha mikutano Pande zote za Nchi sio jambo dogo...
  8. Logikos

    Je, tutegemee wapinzani kuibua madudu ya Chama Tawala au tupate Wanahabari wazalendo wenye nguvu za Kisheria kuibuia madudu ya wanasiasa

    Tumetukuwa tukitegemea Vyama vya Upinzani kuibua Madudu ya Chama Tawala; Binafsi naamini kwamba Vyama ni Muunganiko wa Watu wenye Mawazo yanayofanana ya jinsi gani tunaweza kutoka hapa na kufika pale..... Kama tunakwenda mjini wengine wanaweza kuamini tutembee kwa miguu ili tujenge Afya na...
  9. F

    Dawa ni kuendelea kuwaunga mkono CHADEMA hii italeta heshima na adabu kwa chama tawala

    Kwanini viongozi wa nchi yetu wanakuwa na dharau kwa wananchi wakati mwingine? Ni kwasababu wanajua hata kama hawafanyi vizuri majukumu yao wataendelea kuwa madarakani tu. Kwa wenzetu wa nchi zilizoendelea ni nadra kwa chama kukaa madarakani kwa zaidi ya vipindi viwili. Hata chama kikiongoza...
  10. DR Mambo Jambo

    Mipaka ya Chama Tawala na Ukomo wake, Vipi kuhusu kambi kuu ya Upinzani Bungeni

    Hili swali hata mimi naomba kuuliza japo nimelikuta mahali. Naomba kuuliza swali? Kuwa chama tawala kunatokana na kushikilia mhilili wa Serikali, mhimili wa Bunge au vyote viwili? Mfano; Chama cha Mapinduzi CCM kikishinda kura za urais na ndio kikaunda serikali.. ila Bungeni CHADEMA ndio...
  11. Mzalendo Uchwara

    Nitawashangaa sana chama tawala mkimpitisha huyu wa sasa hiyo 2025. Viatu vimempwaya mno!

    Tuwe wakweli, huyu mheshimiwa mama naniliu hajawahi kuchaguliwa na chama wala wananchi kushika nafasi ya rais wa nchi. Yupo pale kumalizia kipindi cha hayati na kuivusha nchi kwa mujibu wa katiba. Na tumshukuru kwa kazi hiyo. Lakini kwa uwezo wake wa uongozi aliounesha katika kipindi hiki cha...
  12. Kaka yake shetani

    Majibu ya ChatGPT suala la chama tawala kukwepa suala la Katiba Mpya

    Mchakato wa kubadilisha au kutengeneza katiba mpya mara nyingine unaweza kuwa suala lenye utata na lenye changamoto nyingi katika mazingira ya kisiasa. Kuna sababu kadhaa ambazo zinaweza kuchangia chama tawala kutoonyesha nia ya kuanzisha mchakato wa kubadilisha katiba au kufanya mabadiliko...
  13. BARD AI

    Afrika Kusini: Chama Tawala cha ANC chamsimamisha uanachama Rais Mstaafu Jacob Zuma

    Rais wa zamani wa Afrika Kusini, Jacob Zuma amesimamishwa Uanachama wa chama Tawala cha African National Congress (ANC) akidaiwa kukataa kupiga Kura ndani ya Chama pamoja na kushiriki kuanzisha Chama Pinzani. Imeelezwa kuwa Zuma aliyeliongoza Taifa hilo kwa miaka 9 na kujiuzulu baadaye kutokana...
  14. R

    Kwanini viongozi wa dini wamejikita kushirikiana na viongozi wa chama tawala pekee? Mungu alikataza kushirikiana na wapinzani?

    Viongozi wa dini dua na sala zao zimeambatana zaidi na wana chama tawala. Na hata hao chama tawala siyo wote isipokuwa wale tu wenye madaraka. Ukishirikiana nao kisha ukapokonywa madaraka na wao wanakuacha na kuambatana na mteule mpya. Maeneo mengi viongozi wa dini wanapokwekwenda kutoa huduma...
  15. JanguKamaJangu

    Niger: Wanaosapoti Mapinduzi wavamia ofisi ya Chama Tawala na kuchoma moto

    Wafuasi hao wameshambulia makao makuu ya Chama cha Rais aliyepinduliwa na kuchoma moto, kupiga mawe na kuchoma magari yaliyokuwa nje ya jengo husika. Wakati hayo yakitoka Jeshi la Niger nalo limetoa tamko la kuunga mkono Wanajeshi waliomteka Rais Mohamed Bazoum Wakati huohuo, Urusi imeungana...
  16. jemsic

    SoC03 Vyama vya upinzani vitakuza uwajibikaji wa chama tawala

    Picha na Ebony FM UTANGULIZI Nafasi ya upinzani katika kukuza uwajibikaji wa chama tawala ni tata na limedumu kuwa swala mtambuka. Vyama vya upinzani vinaweza kuchukua jukumu hili muhimu katika kuwajibika kwa serikali ya chama kilichopo madarakani kwa namna mbali mbali ikiwa ni pamoja na kutoa...
  17. Mag3

    Je, CCM kama chama tawala kiliridhia na kubariki Mkataba wa Makubaliano na DP World?

    Mkataba wa Makubaliano (Mkataba wa awali) kati ya Serikali ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya Dubai tayari ulishapata baraka za Rais Dr. Samia Suluhu Hassan. Kwa baraka hizo Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) iliingia katika Makubaliano ya awali na kampuni ya DP World (DPW) ya...
  18. Stephano Mgendanyi

    Mradi wa REA Umekiheshimisha Chama Tawala

    MHE. TIMOTHEO MNZAVA - MRADI WA REA UMEKIHESHIMISHA CHAMA TAWALA "Manufaa ya gesi asilia ni makubwa, sekta ya gesi inakuwa kwa kasi kubwa na ni rahisi kusafirisha na watu wana matumaini makubwa ya kunufaika na gesi asilia." - Mhe. Timotheo Mnzava, Mbunge Jimbo la Korogwe "Mkandarasi...
  19. comte

    Chama tawala kinaagiza wakati CHADEMA Mbowe anasema anachukua kero na atampelekea SAMIA

    Mimi siamini katika mikutano ya hadhara hasa ya upinzani baada ya uchaguzi. Sababu yangu ni moja, wapinzani hawana ufumbuzi wa kero za wananchi. Hii imeoneka wakati wa Kampeni ya 255 ya CHADEMA wanasema wanachukua kero ili wazipeleke kwa rais wakati Katibu mkuu wa wa CCM anaagiza na...
  20. Lycaon pictus

    Yaliyojiri Uchaguzi Mkuu wa Nigeria 2023. Bola Tinubu atangazwa mshindi, upinzani wakacha kuhudhuria sherehe za utangazaji matokeo

    Wajuzi wa masuala ya kimataifa. Nigeria wanachagua Rais tarehe 25 mwezi huu wa pili. Nini kinaendelea huko? Nani anauwezekano mkubwa wa kushinda? ======= Siku ya Jumamosi, tarehe 25 Februari 2023, nchi yenye watu wengi zaidi barani Afrika itapiga kura kumchagua rais wao ajaye, Makamu wa Rais...
Back
Top Bottom