nafaka

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Dexta

    Wapi nitapata viroba vya kilo mia na mia hamsini vya kubebea nafaka?

    Habari za asubuhi wakuu,..? Aisee ninaomba msaada mwenye kufahamu wapi nitapata viroba vya kilo mia, mia hamsin, vyakubebea mahindi, mchele, nk. Ninahitaji pisi nyingi, kuanzia elfu kumi nakuendelea so nikipata connection ya bei ya chini zaid nitashukuru sana, iwe Dar es salaam. So kama...
  2. OMOYOGWANE

    Biashara ya nafaka ina umafia mwingi. Kwa wanaotarajia kuanza kuuza nafaka chukueni tahadhari

    Nimeona mdau mmoja humu anahamasisha watu wazame bush wakanunue kwa bei ndogo walete mazao mjini wauze kwa bei kubwa ili wapige pesa. Hili wazo ni zuri sana lakini ni vyema tupeane tahadhari. Katika biashara zenye umafia mwingi basi hii ya nafaka kwangu ndio namba moja kwa umafia yaliwahi...
  3. Prakatatumba abaabaabaa

    Kwa mtaji wa milioni 12, nifungue hardware, nafaka au phone and accessories?

    Wakuu, nipo hapa napambania kujikwamua kwenye umaskini, nipo nachakata mawazo kwa ajili ya kufanya harakati, wengi walianzia chini sana na wakafanikiwa kupata pesa nyingi. Mawazo yangu niliyonayo ni Nafaka, vifaa vya simu pamoja na umeme, mwisho ni hardware. Nafaka nilitaka nideal na maharage...
  4. aBuwash

    Kwani ni lazima wauza nafaka wote jumla kuwa na mizani ile kubwa ya bei kubwa, hizi za digital hazifai kupimia magunia?

    Mimi nataka fungua nafaka jumla ila nashangaa wenzangu kila kona wana mzanii ile mikubwa kama hii. Sas nilikuwa nauliza ya digital haifai kwani kama hii kupimia magunia ya kilo mia.
  5. aBuwash

    Nahitaji dalali wa fremu Mbagala kwa ajili ya nafaka

    Naomba mtu yeyote anayemfaham dalali Mbagala awekee mawasiliano yake hapo chini nashida na fremu ILA IWE RANGI TATU PALE
  6. aBuwash

    Hivi wauza nafaka wote hapa Dar ni kweli wote huagiza nafaka mikoani au wengi wao hununua tu kwa wauzaji wakubwa wa jumla?

    Habari wana jf natumai wote mko poa Hii habari inanishangaza kila kila ninapoenda kununa labda mchele au maharage kila mfanyabiashar nikimuuliza hizi unachukulia wapi huwa wananiambia wanachukulia mikoani afu ukute ana gunia tano tu au kumi Nimezunguka maduka mengi ila wengi wao wananiambia tu...
  7. aBuwash

    Sehemu gani inafaa kufungua fremu ya Biashara ya nafaka kwa Dar es Salaam?

    Za jion wana jamii, Naimani mko powa wote Naombeni ushauri kidg kuhus location nahitaj kufungua biashara ya nafaka. Sasa ningependa kujua sehemu imbayo inamzunguko mkubwa wa watu na ambayo biashara hii itafit NB: kwa sasa nataka kuanza rejareja ila mbeleni nitauza na jumla kutegemeana na...
  8. G

    Nakodisha Mashine ya kusaga nafaka

    Nakodisha mashine ya kusaga, ina vinu viwili cha kusaga na kukoboa pamoja na mizani Stoo yaani biashara yote, mahali Kitunda Magole DSM. Sehemu haina mashine jirani. Bei 200.000 kwa mwezi. Nipigie 0754 279035 kwa maelezo zaidi.
  9. Adolph Jr

    Anataka kuanzisha biashara ya kuuza nafaka, anaomba ushauri

    Ni muda tena. Katika tafuta tafuta zake akaje kunicheki na kuniomba ushauri kuhusiana na duka kiujumla duka la vyakula kama muitavyo nafaka. Maswali aliyouliza. Je, kuanzisha biashara ya kuuza unga, mchele, mafuta, maharage nk inahitaji awe na nini (Vibari gani kisheria) Anamaanisha je...
  10. guzman_

    Natafuta masoko ya Nafaka mikoani

    Wakuu habari. Katika kujiongeza nataka nianze biashara ya kununua nafaka hasa mahindi, mpunga na maharage na kuja kuuza kwa jumla Dar. Naombeni mwongozo kwa anayejua masoko makubwa nayo weza nunua mzigo mkubwa kwa mara moja. NB naona kwenda moja kwa moja kwa wakulima itanichukua muda kwa hiyo...
  11. aBuwash

    Biashara ya nafaka Dar ipoje

    Nimepambana nimepata mtaji wa million nane nahitaji kufungua duka la NAFAKA DAR lakini Mimi mi mgeni katika biashara, sijui NAFAKA gani ni za kuanza nazo ambazo zinauzika Sana hapa Dar na changamoto ya biashara hii zipoje na faida zake pia zipoje. Mwenye uelewa plz naombeni msaada wenu tafadhali
  12. Webabu

    Urusi ilipozuia nafaka kelele zilikuwa kubwa.Israel imezuia vyakula vyote na maji wanaolia ni watu wa Gaza peke yao

    Unafiki wa dunia umefikia kiwango cha juu kiasi kwamba ni wachache sana wanaoumia wenzao wanapopata shida. Urusi ilipotishia kuzuia nafaka zisitoke Ukraine Ulaya nzima walipiga makelele wakiilaani Urusi kutumia chakula kama silaha ya vita.Urusi ikasikia na wakaachia meli ziondoke na nafaka...
  13. Elly495

    Msaada wa mawasiliano ya wafanyabiashara wa nafaka za jumla

    Habari zenu Wana JF ...nashida na mawasiliano ya wafanyabiasha ra wa nafaka Aina mbali mbali ikiwemo mchele,karanga,mbegu za maboga,ulezi, na n.k wawe na bei rafiki ili nami niweze kufanya biashara ...Asanteni
  14. Love Doctor

    Vifungashio vya nafaka

    Habari ndugu kwa wenye uzoefu kuhusu vifungashio vya nafaka mfano mchele kupaki kwenye lebo kuanzia 5kg na kuendelea gharama yake ikoje kwa kila mfuko na nembo
  15. R

    Ukraine kuanzisha kitovu cha nafaka bandari ya Mombasa kukabiliana na uhaba wa chakula Afrika Mashariki

    Ukraine kuanzisha kitovu cha nafaka katika bandari ya Mombasa ili kukabiliana na uhaba wa chakula Afrika Mashariki, asema Rais Ruto baada ya mazungumzo na Rais Zelensky. Haya yametokea wakati Ruto akiwa kwenye ziara nchini Marekani, ambapo alimpongeza Rais Zelensky kwa kuendelea kupambana na...
  16. Roving Journalist

    Serikali yatoa ufafanuzi kuhusu madai ya Wakulima kudai kucheleweshewa malipo ya Mahindi

    Wakulima wa maeneo mbalimbali Nchini waliofanya biashara na Serikali kupitia Bodi ya Nafaka na Mazao Mchanganyiko mnamo Agosti 2023, na kuahidiwa kulipwa ndani ya siku 5 za kazi (Agosti 21 hadi 25, 2023) wamesema hawajapata malipo yao na hakuna maelezo kutoka idara husika. Wamesema mazingira...
  17. Lexus SUV

    Biashara ipi ya vyakula na nafaka mfano ndizi za kupika, inaweza stawi kwa mtaji wa laki 7?

    Habari wa ndugu, Napenda ulizia ni biashara ipi inaweza stawi na kukua kwa mtaji wa kiasi cha shillingi laki 7, biashara yenyewe au ujasiliamali wenyewe uwe ni mkoa wa kilimanjaro. Maana nilikuwa na wazo la kununua ndizi mbichi nizipeleke Dodoma kwa mtaji wa laki 7. Karibuni.
  18. The Certified

    Nafaka hizi zinahitajika haraka

    Habari, Nahitaji Nafaka Hizi Hapa Chini. Ulezi Msafi (Grade 1) Tone 20 Ufuta Msafi (Grade 1) Tone 20 Weka Namba Za Simu Nikupigie Kama Una Nafaka Husika Na Mmiliki Mwenyewe
  19. L

    Wizi wa nafaka na mafuta ya Syria, “polisi” amegeuka kuwa “mwizi”?

    Shirika la Habari la Syria hivi karibuni liliripoti kuwa jeshi la Marekani "limeiba" kiasi kikubwa cha ngano kaskazini mashariki mwa nchi hiyo na kuisafirisha kwenye kambi yake ya kijeshi nchini Iraq. Katika miaka ya hivi karibuni, jeshi la Marekani ambalo linajidai kuwa “polisi duniani”...
Back
Top Bottom