mwanafunzi

  1. FisadiKuu

    Waziri Hussein Bashe, mwanafunzi mtiifu wa Hayati Edward Lowassa

    Wasalaam wanabodi.. Nchi hii tangia tumepata Uhuru kumekuwa na karama ya kupata viongozi mbalimbali wenye upeo, weledi na uwezo tofauti tofauti. Pia wapo viongozi ambao walijifunza aina ya uongozi na siasa kupitia role models wao. Kwa sasa tunae Mkuu wa Mkoa wa Arusha ambaye aina ya siasa na...
  2. Wadiz

    Kwanini Yesu Kristo hakuoa, hakuwa na mwanafunzi wa kike, pia Yesu hakuwa na ukaribu wala urafiki na wanawake? Kuna nini nyuma ya pazia ?

    Shalom, Habari kwenu nyote wadau wa jukwaa hili, nimekuwa nikijiuliza sana haya maswali kwanini Yesu hakuoa, Kwanini Yesu hakuwa na mwanafunzi wa kike, kwanini Yesu pia hakuwa na ukaribu wala urafiki na wanawake? Hili fumbo linatupatia Mtihani gani ? Tusaidiane kufikiria, karibu kwa rejea...
  3. Pdidy

    Mwanafunzi wa Upadri aliyejinyonga Tanga atazikwa kikristu?

    Huu mwezi wa majanga ya kujinyonga tu, kaanza Askofu, kafata mwanafunzi akisomea upadre amebaki masister nao mjihadhari na hii roho mtaumbuka. Nimeona huyu askofu amezikwa kikristo baada ya kujinyonga. Swali langu, roman catholic kutokana na sababu za dogo kujinyonga zinaeleweka nae mtamzkka...
  4. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Aloyce Kamamba: Mwanafunzi Aliyebeba Ujauzito Shuleni Ahudumiwe

    Mbunge Aloyce Kamamba: Mwanafunzi Aliyebeba Ujauzito Shuleni Ahudumiwe Mbunge wa Buyungu, Aloyce Kamamba amesema mwanafunzi aliyepata ujauzito akiwa shuleni akirudi masomoni baada ya kujifungua sheria imuangalie upya namna ya kumhudumia kwa kumpatia elimu kwa kuwa anakuwa na changamoto nyingi...
  5. jangoma

    Sheria ya makosa ya shule inasemaje mwanafunzi anapokamatwa na simu?

    Je, simu hiyo anapaswa kurudishiwa, au kuitaifisha au kufanya nini? Tafadhali nijibu kulingana na sheria inavyosema na sio kwa kuzingatia maadili.
  6. feyzal

    Nina shida na mwanafunzi anayesoma Bugando -Diploma ya Radiology.

    Habari ya wakati huu. Nina shida na mwanafunzi yeyote anayesoma hiyo kozi tajwa acomment kisha nitamfuata inbox kuna mambo nahitaji kuyajua. Nawasilisha.
  7. S

    Natafuta ajira (kazi) ni mwanafunzi wa chuo lakini najisomesha mwenyewe

    Mimi kijana wa miaka 24 nasoma degree mwaka wa kwanza Dar es salaam. Naomba mnisaidie kazi kwa sababu najisomesha mwenyewe. Mimi hata nikipatiwa kazi ya kuingia kwa zamu sawa ila iwepo Dar es Salaam Nitawashukuru sana jamani naomba mnisaidi namb zangu +255 772 525 607 hizo naomba mnisaidie...
  8. JanguKamaJangu

    Mwanafunzi wa Kidato cha Kwanza afariki kwa kujinyonga baada ya kunyang’anywa simu na kaka yake

    Mwanafunzi wa Kidato cha Kwanza aliyekuwa anasoma Shule ya Sekondari Sarungi, Wilayani Rorya amejinyonga kwa kamba ya katani chumbani kwake kwake baada ya kudaiwa kutokea mzozo na kaka yake Akizungumzia tukio hilo, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kipolisi Tarime, Mark Njera amesema “Binti huyo mwenye...
  9. M

    Mwanafunzi afariki akijaribu kuogelea

    #HABARI Kijana mmoja anayefahamika kama Boaz Sanga ambaye alikuwa mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Mtakatifu Agustino (SAUT) Mwanza, amefariki baada ya kuzama wakati akijaribu kuogelea kwenye ziwa Viktoria. Akizungumzia tukio hilo Kamanda wa Jeshi la zimamoto Mwanza Kamila Laban, amesema kijana...
  10. Dalton elijah

    TANZIA Mwanafunzi SAUT afariki akiwa ameenda kuogelea ziwani

    Mwanafunzi Wa Chuo kikuu Cha SAUT Campus ya Mwanza Amefariki Dunia Alipokuwa Ameenda kuogolea Kando Kando Kando ya Ziwa Victoria Maeneo ya Sweya Beach. Taarifa hiyo ilitolewa Na Wenzake Ambao walikuwa wameenda Nao kuogolea katika Maeneo hayo ya Kando kando ya Ziwa Na Na Kifo hicho kimetokea...
  11. Pdidy

    Mwanafunzi anatakiwa kuwa na simu darasa la ngapi?

    Wazazi tunapishana kweli niko gari la Goba nyuma kabisa naona katoto ka shule kanachat Nakauliza umetoka shule ndio darasa la ngapi form 2. Unaruhusiwa kuwa na simu shulen ndio nawekaga silent Aisee yuko busy anatuma meseji tuzidi kuwaombea tu.
  12. Roving Journalist

    Mwanafunzi wa Mwaka wa Kwanza UDOM adaiwa kutaka kujiua kisa wivu wa mapenzi

    Mwanafunzi wa Mwaka wa Kwanza anayesoma Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) ambaye jina lake halijawekwa wazi inadaiwa ametaka kufanya jaribio la kujiua akiwa chuoni hapo chanzo kikitajwa ni masuala ya mapenzi. Inaelezwa kuwa tukio hilo limetokea jana Aprili 25, 2024 wakati alipokuwa katika moja ya...
  13. Suley2019

    RC Halima Dedengo: Mwanafunzi ukipata mimba mshitakiwa wa kwanza unakuwa ni wewe

    Imezoeleka katika suala la mimba mashuleni anayepewa adhabu kisheria Huwa ni mwanaume lakini kwa mkuu wa mkoa wa Singida Halima Omari Dedengo haiwi hivyo , amesema mwanafunzi wakike atakayebeba ujauzito atakuwa mshtakiwa wa kwanza na aliyempa mimba anakuwa mshtakiwa wa pili na wote watapelekwa...
  14. Quavohucho

    Je, si kosa kudate na mwanafunzi Afrika Kusini?

    Kwa wale mliowahi kufika na kuishi na mnaoishi South africa, Je sio kosa kuwa na mahusiano ya kimapenzi na mwanafunzi kama ilivyo Tz (30years jail), Binti mmoja (minenhle) ambaye ni social media influencers SA, ameshea clip akionesha zawadi iphone 15 aliyopewa kwa kutimiza miaka 4 ya...
  15. Vichekesho

    Kisa cha Mwalimu Genta na mwanafunzi wake aitwaye Lamomy

    Mwalimu GENTAMYCINE: Lamomy Kwanini umechelewa kuja shule? Lamomy: Kwasababu ya maelekezo ya kibao barabarani. Mwalimu Genta: Maelekezo ya kibao yanahusianaje na uchelewaji? Lamomy: Kibao kimeandikwa "School Ahead, Go Slow!" kwahiyo nikaona nisivunje sheria.
  16. Gulio Tanzania

    Soma biblia kama mwanafunzi anayejiandaa kufanya mtihani

    Habari zenu wadau nimewaletea somo hili muhimu kwa wale wote wakristo kwa lengo la kufundishana na kukukumbasha ili sote tuweze kutenda sawa sawa na maandiko yanavyotutaka Biblia inafundisha kila kitu katika maisha yetu haya tunayoyaishi Biblia inatufundisha kufakari neno la Mungu usiku na...
  17. Mamujay

    Kwanini Yesu hakuwa na wanafunzi wanawake?

    Naombeni majibu wakubwa. Kama hauna majibu ni bora ukakaa pembeni. Sitarajii kebehi
  18. O

    Mwalimu, mwanafunzi wakutwa wameuawa ndani ya nyumba

    Mwalimu wa Shule ya Msingi Mbugani Kata ya Kiwanja, Herieth Lupembe na binti aliyekuwa akiishi naye ambaye ni mwananfunzi wa Kidato cha kwanza, Tatizo Haonga (16) wamekutwa wameuawa kwa kukatwa na kitu chenye ncha kali kichwani na mwilini. Mauaji hayo yamefanyika ndani ya nyumba aliyokuwa...
  19. BARD AI

    Ukiwa kwenye Daladala ukaona Mwanafunzi ananyanyaswa unachukua hatua au unakaa kimya tu?

    Kuna mambo ya ajabu sana wanafunzi wanafanyiwa hasa kwenye jiji la Dar. Makondakta na Madereva wananyanyasa sana Watoto mara wakatae kuwacha Chenji, mara wakatae kuwapakia kabisa, wengine wanazua wanafunzi kukaa kwenye siti hata kama gari haijajaa. Sasa ndugu mzazi/mlezi wewe unaposhuhudia...
Back
Top Bottom