Natafuta shule ya msingi ya bweni ya binafsi inayotumia mtaala wa kiswahili

Lulagumye

Member
Sep 30, 2016
99
72
Naombeni msaada kwa anaefahamu shule ya msingi ya binafsi inayotumia kiswahili. Nitafurahi nikioata mawasiliano ya shule husika

Natanguliza shukrani
 
Mwanao yuko darasa la ngapi ?
Na unataka ya mkoa gani?

Kuna moja ipo singida ila ndo wanamalizia huo mfumo wameipeleka kwenye english medium,darasa la 6na 7 ila darasa 5 kuja chini ni English medium ni shule masisiter wa RC
 
Yupo darasa la 5, mkoa wowote kama shule ipo nampeleka. Asante sana kwa ushauri
 
Back
Top Bottom