Natafuta Probox used namba A,B,C,D

dr namugari

JF-Expert Member
Nov 19, 2022
9,762
16,518
Nataka kumiliki gari na mm.hv sasa Nina guta ila nimeona Kaz zangu inahitaji pro box

Naombeni Kam Kuna . member anato aniuuzie

Bajeti yangu Ni 4m ,

Nataka niuuzr guta nimiliki pro box

Faida za probox Ni kuwa hyo Ni gari tofauti na guta siwezi kula starehe nayo ila probox Nitabeba mizigo wkt huohuo Nita Tumia kama usafiri binafsi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom