Mimi ni dereva natafuta kazi ya udereva. Nipo Dar Es Salaam, Kijichi
Leseni Yangu ni Class C1,E,D. Nina Uzoefu Wa Miaka Miwili
Cv
(1)Elimu Form 4 cheti
(2)Cheti Cha Udereva
Umri wangu miaka 26
0756912507
Natafuta kazi ya utunzaji kumbukumbu.
Nina Diploma ya Utunzaji Kumbukumbu niliyopata katika Chuo cha Utumishi wa Umma (TPSC) na nina uzoefu wa miaka mitatu katika kazi hiyo.
Mwenye kuhitaji mtu wa kutunza kumbukumbu katika organization yake nipo tayari.
Habari Wakuu,
Kama kichwa kinavyosema, nahitaji nyumba ya kupanga inayojitegemea kwenye fensi yaani stand alone maeneo ya Mbezi Beach.
~ Nyumba ya vyumba viwili, sebule na jiko inayojitegemea.
~ Bajeti laki 5 (500,000).
~ Iwe maeneo tulivu
Nikipata ambayo haina udalali nitashukuru.
Najua...
Habari zenu.
Naitwa Steven Godlsten Natafuta ajira Mkoa wowote ajira ya halali... Elimu yangu ni Kidato cha Nne. Mofisini, Kampuni, Madukani hata Mashirika pia
Mimi niko Mkoa wa Kilimanjaro.
Habari,
Natafuta mwanamke wa kuoa, mwenye umr 32-39, mwenye mapenzi ya kweli, mvumilivu, mcheshi, mwenye hekima na busara.
Sifa zangu
Umri-37
Dini -Mkristu
Kaz-mfanyabiashara wa mazao
Kimo-mrefu wastani.
Karibu pm tuyajenge
Habari zenu great thinkers. Natafuta mshirika/washirika ambao tutafanya kazi kwa pamoja katika kutengeneza softwares zitakazotupa utajiri. Ukweli ni kwamba ajira zimekuwa ngumu lakini tuna wataalamu wengi mtaani wenye utaalamu wa kutosha.
Kwa sasa natafuta software developer(full stack) na...
Habari zenu
Natafuta room ya kupanga maeneo ya bunju karibu na stendi au mapinga karibu na shule ya baobab
Mwenye kufahamu naomba anisaidie au aniunganishe na dalal wa maeneo hayo asanteni
Habari wakuu,
Natafuta mwekezaji ambaye atawekeza kwenye gharama za uendeshaji wa Kampuni. Kampuni inadeals na Engineering works na supply of materials. Kwa sasa, Kampuni ina investor ambaye anawekeza hela kazi ikipatikana. Upatikanaji wa kazi unapungua kwa kupungua kwa fedha za uendeshaji wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.