Binafsi nilioa nikiwa na 28 mke wangu muda huo akiwa na 18, Kwa sasa naenda 36 mwenzangu yupo 26
kumekuwa na pattern kubwa ya vijana kutafutana waoane kwa kigezo cha kukaribiana ama kulingana umri.
Sababu kuu huwa ni "nioe binti mdogo tutaongea nae nini"
Niwajuze tu kwamba kwenye ndoa ni tofauti kabisa na urafiki ama uchumba, kuna natural adjustments zinafanyika ambazo hukuwahi kuzifikiria kabisa, mnajikuta mpo karibu zaidi, mfano mimi na gap langu la miaka 10 tuna vingi sana vya kuongea na mke wangu, adjustments zimefanyika mimi na yeye tukikaa sehem moja naweza kuona naongea na best friend wangu wa kike wa rika sawa, n.k.
Heshima at least ipo, ile resistance ya jeuri, ujuaji, kiburi inaweza kuwepo mimi nikizingua na ninajua wazi kwamba nimekosea lakini nje ya hapo ipo automatically, ukioa mwezako mnaekariiana umri kuna kuwa na resistamce kubwa sababu anajiona mpo sawa
Kwa umri nilionao ingekuwa nae mwenzangu yupo kwenye 34, 35 ama tunalingana tayari angekuwa kaanza kuonyesha dalili za kupoteza mvuto, hili nahisi huwa linafanya wengi zaidi kuanza kuchepuka nje na wanawake ambao bado wapo kwenye 20s hadi 30s mbichi (30 - 32)